Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Hivi mkuu unajua kingereza kuwazidi waandishi wanaodili na lugha kila leo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wizara kupitia --- ministry to review'S' haina utata wowote, imewekwa s kwenye kitenzi 'review' kwa sababu Ministry ni Wizara na unaweza ukaireplace na It as a pronoun. Sasa Wizara/it unapoitumia katika nafsi ya 3 umoja lazima kitenzi kiwe 's'. As such, kwa Kiswahili hiyo heading inasomeka, Wizara kupitia sheria juu ya maendeleo ya jamii, shida iko wapi? Unaweza sema, Rais kutembelea Marekani (President Samia/She visits to America. Moja ya matumizi ya simple present tense ni kuelezea jambo ambalo halijafanyika, sio lazima utumie future.
Simple tu...nadhani umeelewa.Mbona sentensi ni sahihi ilivyoandikwa? Katika sentensi hii, 'ministry' ni subject; 'reviews' ni verb katika third person singular; 'laws' ni object; 'on community development' ni maneno yanayoainisha which laws were reviewed. Sentesi hii ni sahihi 100%.
Hapa bila shaka umemchanganya mtoa-mada mara ^me-a tar-know!^Simple tu...nadhani umeelewa.View attachment 2089800
Hata kama kakosea hastahili tusi zito kama hilowe jamaa ni bonge la kilaza.![]()
Reviews =present continuous tense
Review of law in the ministryMapitio ya sheria wizarani! Geuza sentensi hii kwa kiingereza
Sasa hapo kosa liko wapi? Au ulitaka aweke “The“ ili kusindikiza sentensi?Eti reviews laws. Khaa!!
Edition yenu ya 19th Jan 2022.
Fanyeni homework yenu vizuri hakuna Kizungu cha hivyo.
Usahihi hapo ni 'Ministry review laws on community development'
Kama wangetaka kutumia 'reviews' wangesema
Ministry reviews the au simply law on community development.
Editor anapobofoa kizungu inakuwa shida sana.
View attachment 2088535
Hahahahah mkuu uko makini kweli! “he is arrived in the US yesterday” hapo kweli kuna kipengele.Hawajakosea hapo bwana we. Usitupigie kelele usiku huu. Unajikuta unajua sana Kiingereza kumbe upo sifuri kabisa.
Hata hivyo kuna sehemu wamekosea kwenye habari ya hunting. Wameandika "he is arrived in the US yesterday...".
Kasomea Inglishi midia huyu.Mtoa mada una utaalam wa kusafiri kiwakati - maana umeweza kulisoma gazeti la Jumamosi ijayo.
Tukiacha utani kiingereza hicho hakina tatizo.
Hahahah kwenye maswala ya kujuaga tense hapo ndio huwa sielewagi ila kukosea sentensi ni nadra sana maana ubongo huwa unakataaga na kusema hapo sio sahihi😅 yani nikiyatindiga tu ubongo unafeliNi simple present mkuu sio continuous
Wewe ndio umeanguka na kiherehere chako hicho. Reviews laws ni kiingereza sahihi.Eti reviews laws. Khaa!!
Edition yenu ya 19th Jan 2022.
Fanyeni homework yenu vizuri hakuna Kizungu cha hivyo.
Usahihi hapo ni 'Ministry review laws on community development'
Kama wangetaka kutumia 'reviews' wangesema
Ministry reviews the au simply law on community development.
Editor anapobofoa kizungu inakuwa shida sana.
View attachment 2088535
kuzinduaInaugurate ina maana gani?
Atiii???!!!!😱😱😱😱Reviews =present continuous tense
"He has arrived in the USA yesterday." Nafikiri kuna tofauti kati ya "has" na "had."Hahahahah mkuu uko makini kweli! “he is arrived in the US yesterday” hapo kweli kuna kipengele.
“He has arrived in the US yesterday” hili ndio sahihi japo mie sijuagi kutofautisha tense ila pakikosewa huwa najua.