The Inner voice: Sauti ndogo iliyo ndani mwetu ikitueleza kusudi la maisha yetu

"Ukijitambua utajua kusudi la maisha yako na maisha yako utayaona yana maana kubwa.
huko kujitambua kunatoka wapi.........?
unapoongelea kusudi la maisha hapo natikisa kichwa unadhani maisha yanaelezeka hivyo kama ni ndio vipi kuhu wanyama kama mbwa nao wanaishi maisha yao yanamaana gani .........?
 
Kenzy Mbona kama hiyo equation haijakaa sawa.

Labda ingekuwa
Lengo la kuishi + mwanadamu = Kumwabudu Mungu
Kwamba kwa kufanya purpose yako umemwabusu Mungu.
Mkuu siunajua mambo ya BALIMI..😅

Hapo umeiweka njema zaidi..
 
Swali lako la kwanza ndio ulilokuwa unatakiwa ulielezee kama njia ya kunijibu Halafu haya yanayofuata yatajibika nitakapo weka mtazamo wangu..
Kwahiyo unakubali umekosea kuweka mlinganyo ?

Nasubiri majibu sahihi siyo mtazamo wako, sababu akili yako haina uwezo wa kung'amua jambo hili, ndiyo umeanza kukosea mwanzo kabisa, na huna misingi kadhalika.
 
😅😅
Naona natumia lugha isiyoeleweka..

Hivi mkuu yale maswali yako kutoa lakwanza yanaendana nini na kile nilichokiuliza..?
Umeuliza kana kwamba unajua mtazamo wangu wakati mimi nimehoji usahihi kwa kutumia mfano 1+1=2

Halafu hili nilishaliuliza kwenye uzi wako fulani ila hukunijibu.. Kama hujanielewa kasome tena maana naona unaingilia vitu huvielewi!
 
Ni kweli hata mimi simfahamu mkuu, namsikia tu
eeenhe unilimaanisha nini pale uliposema
Kwa kweli kama “maraika” tu ni taabu huu uzi kwako ni “sikitiko kuu” niliona umesambaza 😡😡😡😡 nikajiuliza shida iko wapi😀😀
 
hua sinaga gadhabu mimi nilitaka kujua tu
 
Naona natumia lugha isiyoeleweka..

Hivi mkuu yale maswali yako kutoa lakwanza yanaendana nini na kile nilichokiuliza..?
Umeuliza kana kwamba unajua mtazamo wangu wakati mimi nimehoji usahihi kwa kutumia mfano 1+1=2
Safi kabisa, wewe sasa ndiyo hujaelewa maswali yangu yame mili katika nini. Maswali yangu yanakurudisha katika lengo la sisi kuwepo hapa duniani, kwa maana kila unacho kiona hakipo kwa bahati mbaya bali ni mpango na matokeo ya usanifishwaji wa hali ya juu. Ndiyo maana nikakutolea mfano mwepesi sana wa SIMU. Suali la 1 + 1 = 2 ni sawa sawa na utake ithibati je ni kwa vipi nusu ni ndogo kuliko kitu kizima, au je ni kweli moja ni mara mbili ya nusu ? Huu mlinganyo hautaki ushahidi wala shule, ni suala la kawaida.

kosa la ulinganishi lako ni kulinganisha asi na matokeo, siyo kila jambo linaelezeka kwa mtindo au mfano ulio utoa wewe, bali suala la lengo la kuumbwa kwetu linaelezeka kwa uzuri kwa njia za uhalisia na tafakuri zaidi.

Kwahiyo naona ajabu kwako kushindwa kujua kuwa maswali yangu yanalurudishs katika mambo matano na moja kati ya hayo matano ni lengo la sisi kuumbwa.
 
Halafu hili nilishaliuliza kwenye uzi wako fulani ila hukunijibu.. Kama hujanielewa kasome tena maana naona unaingilia vitu huvielewi!
Unaweza kuthibitisha hili ulilo andika ?

Ahsante.
 
Hii hali inanikuta hata Mimi
 
Sema umeharibu hapo ulipoanza mistari yako ya biblia. Inafanya stori kua ya kufikirika zaidi. Weka vifungu vya koroani basi.
 
Sema umeharibu hapo ulipoanza mistari yako ya biblia. Inafanya stori kua ya kufikirika zaidi. Weka vifungu vya koroani basi.
Tatizo sijui Quran kiasi hiko mate
Very sorry
 
Hongera sana dogo kwa mada nzuri. Hope Mungu atakujalia iufikia unachotamani kukitenda kama karama yako hapa duniani
 
Nashkuru sana mkuu umenijibu vyema, nitatafuta muda nipitie uzi mzima naamini nitajifunza mengi mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…