The Inner voice: Sauti ndogo iliyo ndani mwetu ikitueleza kusudi la maisha yetu

Ahsante sana mate.
More.bless.to you too
Mkuu nashukuru kwa uzi na elimu nzuri ambayo kuipata ni nadra sana na jinsi ulivoielezea,barikiwa kwa ilo mkuu.
Pia nipende kusema kua nimebaki na maswali mengi sana kiasi cha kushindwa kung'amua wapi nakwama katika maisha haya ya kila siku mkuu mfano kujua life purpose yako pamoja na inner voice, may be nahitaji somo kidogo .
Pia nimepitia mojawapo ya andiko la mkuu lifecoded kaandika vitu pia nahisi katuacha na maswali wasomaje hivyo kama hatojali aleze kidogo kiupesi kidogo tupate kumwelewa au aweze tengeneza thread na kupata chakula cha ubongo
All in all be blessed Champ, I have a long way to go Champ👍👏🙏
 
Huu uzi ni nadharia tu za kufikirika ila hakuna evidence yoyote ya kuthibitisha hizi dhana.huyo alitesa hapa duniani unaishi pekeyako wengine unaowaona ni just personal manifastation sijui ndio muongo kabisa.
adi uwa natabasamu aisee
 
Da'Vinci nimeona sahemu umeandika kuhusu “Free Will”, wewe unaona (Fikiri, Dhani, Hisi) Free Will kwa binadamu ni kwa kiwango cha asilimia ngapi?
 
Da'Vinci nimeona sahemu umeandika kuhusu “Free Will”, wewe unaona (Fikiri, Dhani, Hisi) Free Will kwa binadamu ni kwa kiwango cha asilimia ngapi?
Nafikir ni kwa 80% mkuu
(Last time naona id yako ilikua expert. Umefanyaje kua platinum.?)
 
Mkuu sorry naomba nisaidie kitu
 
Nafikir ni kwa 80% mkuu
(Last time naona id yako ilikua expert. Umefanyaje kua platinum.?)
Personally naona ni 50/50 | 50% ni Free Will na 50% ni system (Chip/Card) binadamu anaendeshwa kwa programmed systems.

Last Time nilikuwa Platinum mkuu ilikuwa ni thread ya Director Spielberg,.. All in all kuwa Platnum ni Authentic 🙈 I think au kuwa na mchango kwa JamiiForums na Jamii yako. 🌚
 
Unamjua Saint Tomass Aquinas.? Most world's philosopher ranked no 6.
Aliandika kitabu hiki..Aliweza kua moja ya mwanafalsafa mkubwa duniani kutokana na kufunuliwa kwa hali ya juu kuhusu masuala ya Free will..
 
When the inner voice start to whisper to follow the furthest star..That voice inside is who you are
Mkuu huwa na appreciate Sana nyuzi zako. Ni mmoja wa watu wachache ambao nikisoma nyuzi zao ubongo Wangu unashiba.

God bless you
 
Mkuu Kuna sorry kwa kutoka nje ya mada

Naomba unitag kwenye ule Uzi wako ulikuwa unazungumzi clones. Nmejaribu kuutafuta Sana siupati .
Sorry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…