The last days of Prof. Kighoma Ali Malima, July/August 1995

Wewe shetani saidi naona unataka kuiteka JF kinanmna....you are a lie just like the person who brought the religion of your name!!! pretender, treachery and cheating....is who you are...wewe ni tawi la ISIS ila wengi hawakujui...
Kahollya,
Mbona unatukana ndugu yangu ilhali hapa tuko kwenye mjadala?
 
Kipaji chako ungetumia kwa maslahi ya nchi ungesaidia sana. Na siamini kama una upendo kiasi kwamba ukaingia gharama kuchapa kitabu na kisha kukitoa bure.. kuna ufadhili gani kwenye hili? Na wanaokufadhili ni ili wapate maslahi yapi?
Diranghe,
Kitabu kinachapwa na wachapaji kama Oxford University Press na
wachapaji wengine kisha wao ndiyo wananilipa mimi, ''royalty.''

Vitabu vyangu vyote vinauzwa na ''booksellers'' kama biashara yao.
Angalia hapo chini ujifunze:

1. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

2. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press 2006, Nairobi. (Children’s book).

3. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

4. Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.

5. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

Diranghe,

Ikiwa mambo madogo kama haya huyajui unataka mnakasha na mie utaniweza?
 

Ulimpenda Allah kampenda zaid..rip prof..
 

Tuletee ya Imran Kombe!
 
GuDume,
Bahati mbaya unanishambulia na kunitaja kwa kejeli na kutupa shutuma.
Hali inapokuwa hivi mie hujiweka pembeni.
Ukweli unauma na ni kweli unapotosha jamii na unachochea chuki zisizo na msingi
 
Ukweli unauma na ni kweli unapotosha jamii na unachochea chuki zisizo na msingi
Nra2303,
Hakika ukweli unauma lakini kati yetu nani mwenye ukweli na nani
anaumizwa na ukweli huo?

Ikiwa wewe una historia kinyume na hii niliyoandika basi iweke hapa
jamvini tuisome.

Hili litazamaliza na dhana ya kuchochea chuki na kupotosha jamii.
 
Munachukia historia yeyote nzuri na kuiita udini,hata ikiwa ukweli,kisa ametajwa muislamu.akili zenu finyu za kutaka watu wote waone ukristo siyo chanzo cha matatizo yaliyopo leo duniani wakati hata watoto wa malaya zenu wanajua hivyo.
 
Mzee said, huyu jamaa hapa anaitikisa imani yangu. Msaada sheikh
 
Prof Malima was one of the most bogus professors we ever had at UDSM. With his Ph.D, it is definitely that he was academically good in school, but after attaining that Ph.D. degree and hanging his doctoral certification on one of his welcoming walls, he flushed his brain and remained VOID. It seems that he was a typical of students who work hard to graduate by just following their advisors' instructions without contributing anything. Even his professorial inaugural lecture titled "The political Economy of Devaluation in Developing Countries" was a b/s bunch of stuff. He pushed himself to deliver it because of the pressure he was getting from UDASA after holding a professorial title for many years without delivering this important lecture.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…