Najua Topic za Waislam wazuri kwako na Uislam hazitakoma humu na kwingineko. Angalia hiyo picha ya chini kabisa kwenye thread starter yako Mwalimu alivyoishi na kufanyakazi na Waislam waliomuelewa.WildCard,
Unajiogopesha bila ya sababu.
Kwangu mie kuwapo duniani miaka 10 ijayo hayo majaaliwa ya Allah.
WildCard,Najua Topic za Waislam wazuri kwako na Uislam hazitakoma humu na kwingineko. Angalia hiyo picha ya chini kabisa kwenye thread starter yako Mwalimu alivyoishi na kufanyakazi na Waislam waliomuelewa.
GuDume,Tunafurahi kuwa tunapata muda wa kusikiliza story mbalimbali toka kwa bwana mohamed said na dhana zake mbalimbali. ni jambo jema maana anapata nafasi ya kupunguza mawazo na wengine pia wanapata muda wa kuburudika. sijajua katika hizi hadithi alizokuwa nazo kwa miaka kadhaa sasa zimesaidiaje sana kwenye jamii yake. maana mimi nlidhani alipaswa sana sana angejikitika kuwasaidia ndugu zangu wa kiislamu kwenye mikoa mingi ya pwani au ambayo ilikuwa chini ya mwarabu kupata elimu na kuacha kulalamika miaka na miaka.
mohamed said amekuwa mmoja ya waislamu ambao hawana msaada kwa waislamu wenzao hata kidogo. na hili ndo huwa linaniuma sana. badala ya kutafuta namna ya kuwasaidia waweze pata elimu, waelimike wajiweze waache kulalamika yeye amekuwa akiwaongoza kulalamika miaka kadhaa sasa.
ni aina ya watu kama wale viongozi wa boko haram ambao walipata elimu kiasi flan wakaja kuitumia kwa manufaa yao kuwadanganya wajinga. so ni vizuri kuwepo mtu kama huyu ili naye aweze kuwapotosha maamuma kwenye mambo haya akawapotezea muda wazidi kujikita kwenye malalamiko na siku zinaenda. "THERE IS NO FUTURE IN THE PAST" na huwezi badilisha historia. Na mbaya kwa kujichanganya umemzungumzia Mtikila kana kwamba eti alikuwa anamponda Mwinyi na hakuwa alishindwa kumponda Nyerere. Inaonekana humfaham Mch Mtikila. Mtikila ndiye kiongozi aliyekuwa akiweza msema Nyerere kwa uhuru kabisa na kumsema alitawazwa kuwa kiongozi wa nchi na washirikina na Nyerere anakiri kuwa alishawahi kufanyiwa zindiko na wazee flan flan akafukiwa akachinjiwa na mbuzi n.k na hao wazee unaowasema.
Ni mtikila aliyekuwa anampinga Nyerere kwa uwazi na kuukataa huu Muungano. Ni huyu Mtikila alimwita Rais Mmoja wa Tanzania kuwa ni GAIDI na akashinda Hiyo kesi mahakamani. So mtikila alikuwa akizungumza kitu anachokijua. Prof Kighoma Malima nini kilikuwa chanzo cha kifo chake? unadhani NRA ilikuwa tishio? la hasha.
Kighoma malima alikuwa amepewa pesa nyingi sana na mataifa flani kwa ajili ya kuchafua amani ya Tanzania na bahati mbaya alifariki akiwa katika harakati hizo. na pesa zake nasikia zilitaifishwa na serikali iliyokuwepo madarakani wakati huo ambayo utanikumbusha ilikuwa sijui ni ya Rais gani.
Ni upumbavu kudhani kuna chama kinaweza kuongoza tanzania kwa kupitia WAKRISTO peke yake. na Ni Upumbavu kudhani kuna chama kinaweza kuongoza tanzania kupitia WAISLAMU PEKE yake. ashakum si matusi nimetumia neno Upumbavu.
Said Mohamed mi napenda unapojaribu kila mara kuelezea historia yako au amabvyo ungetaman iwe kulingana na itikadi yako. ni jambo jema kabisa maana mimi binafsi hunisaidia kujua wengine wanawaza nini na je katika hayo wanaonekana wanasonga mbele au wanarudi nyuma. Nliwah kuuliza ni utawala gani waislamu hawakuwahi kuonewa hapa duniani? na kwa nini wao waonewe kila sehemu? kutakuwa na tatizo katika fikra za wahusika wa hayo malalamiko.
Wakristo/Waislamu ni dini ambazo tumezikuta zikiwa na misingi na imani tofauti, Mungu tofauti, saikolojia tofauti,mitizamo tofaut, tamaduni tofaut n.k sisi waafrika tulizipokea na kuchukua mpaka tamaduni ya asili ya dini hizo na mpaka saikolojia yake ikatukaa tukajikuta tunakuwa na dini ya Watu wakatili,Wenye kiu ya kumwaga damu, wenye chuki na tunakuwa na dini yenye watu wanaosisitiza upendo,mshikamano na kusameheana. hii imejengeka hivyo toka tangu na tangu.
na ndo maana ukimkuta mkristo ana ustaarab wake, ukimkuta muislamu ana ustaarab wake, ukimkuta baniani ana ustaarab wake. kwa sababi dini zinakuwa zinamjenga mtu mentally ,spiritually na hata emotionally. so kuna watu wana hulka flan kulingana na imani za dini zao ni saikolojia tu. malezi na makuzi au wanayoaminishwa.
mimi ninachosema kila siku tusijenge kuwa na tabata linaloamini lenyewe siku zote halina jema, na tusijenge tabata ambalo ni lalamishi miaka yote. kama John ataua mtu kwa kisingizio flan asisemwe mkristo ameua kwa sababu ukristo unakataza kuua kwa kigezo chochote kile(labda sasa iwe ni kuwa likuwa akipambana) but si kuwa eti Kristo ametukanwa basi huyu John Mkristo Mpumbavu akasema kwa kuwa wamemtukana Yesu basi anaenda kuwalipua. Huo si Ukristo.
nachotaka kusema ni nini? Hakuna Utawala wa kikristo duniani..popote pale. ila wapo watawala wenye majina ya Kikristo. Ukristo si jina au kwenda tu kanisani. Mimi sijui kama Nyerere alikuwa mfuasi wa Kristo. sijui kama mwishowe alikuja kutubu kwa mabaya aliyotenda kama binadamu.
But siwezi mtetea Nyerere au mshambulia kwa sababu ni mkristo. hali kadhalika siwezi Mtukana X kwa sababu ni Muslamu nikasema hafai kabisa kwa kigezo cha uislamu. ntakuwa MPUMBAVU nami naogopa kuwa mpumbavu.
Nyerere anapingwa hata na wakristo katika mambo kadhaa. Tumekuwa na Marais goi goi lakini sitaki kuamini ni kwa sababu ya dini zao. tumekuwa na marais/rais hopeless lakini staki kuamini ni kwa sbab ya dini yake.
Huwa nawatizama wanozungumzia dini na nawashangaa maana mafisadi ni hawa hawa akina john,mohamed,ali,frank,fatma,stella. hawa hawa huenda kanisani na misikitini. na hawa hawa hutumia viambaza hivyo kwa manufaa yao kisiasa nasi kwa kufunikwa na udini tunakuja hapa na kuwafanya mashujaa.
Prof kighoma malima amelifanyia nini Taifa hili? mbali na yeye kuwa muislamu? kalifanyia nini taifa hili? au ni zile zile story za kwnye vijiwe vya kahawa na kashata?
mi napenda uendelee na moyo huu huu . na pia kuna mengi ambayo naweza nikakupa dondoo uandikie kuwasidia "ndugu" zangu wa kiislamu. nashukuru mimi nina upande wa dini zote mbili kwa baba na kwa mama. so nafaham mambo haya na hulka ya dini hizi kwa kiasi kikubwa sana.
Mohamed you are pathetic...now at this error who do you think 'oud care 'bout Kigoma malima stupid muslim professor who worked so hard to sow the seeds of hatred between the two ethnicities? Damn you ..the like of you no way must be hunted...Nyerere's differences with Kigoma has nothing to do with the living...perhaps the AGENTS OF EVIL SUCH AS YOU AND SHEICKH PONDA NEED who so urgently must BE ANIHILATED possibly ...
tell us who thenUtahangaika sana kumsafisha Kighoma Malima.
He was divisive just like you.
He was also corrupt.
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa waziri wa Fedha ndiye aliyeenda ku-freeze account zake za kifasadi huko UK na Malima akapatwa na shinikizo la damu lililomuua.
Na si kweli kuwa Malima ndiye aliye anzisha mfumo wa namba za mitihani (Najua baadaye utaleta hizo stories).
mambo ya namba za mtihani ni mambo wazungu waligundua siku nyingitell us who then
Huyu Mohamed Said hawezi kukupa jibu lolote hapo, Atuambie basi na Kikwete Kafanya nini ili kufuta ukandamizaji ulioachwa na Nyerere?Hizi historia kila siku ni Nyerere tu na uislamu ,sawa alifanya makosa ,ila Mwinyi alipochukua kiti kama Rais alifanya nini kuondoa Makosa ya Nyerere na uislamu ??
Kwani Colimba alikua muislam!? Mohamed Said amejikita zaidi katika siasa na historia za kumponda Nyerere na kuusifia uislam.Mzee Mohamed Said tuletee pia The Last Days of Horace Kolimba.
Teh teh teh.... i knew it. Ila angekua muislam ungekua nazo tena in details.Amalinze,
Bahati mbaya sina taarifa za Kolimba.
Mzee wangu Mohammed Said,Mwenyezimungu atakulipa kwa hekima,busara na subra ya hali juu sana,maandiko yako yamejaa utajiri wa historia ambayo huwezi kuipata popote,hakika wewe ni mja mwenye akiliKahollya,
Why the anger, insults and threats?
Let us debate:
Betrayal of Ideals
On 5 th November, 1985, before he stepped down as president, Nyerere delivered an emotional speech to elders of Dar es Salaam. Most of them were former members of TANU-the townsman who supported Nyerere during the struggle for independence[1] Nyerere acknowledged the role of Muslims in those difficult days. Nyerere told his audience that the imbalances between Muslims and Christians which his government had inherited from the British were rectified under his rule:
''And they (Muslims) gave us chance through our education policies, to correct the imbalances which we have done. I am now in the happy position of sometimes not knowing whether a new member of Parliament, a Minister, or a Principal Secretary in our government ministries, is a Muslim or a Christian or neither unless their first name happens to give it away. And even that is not a sure guide in Tanzania, for we have Christians with Muslim names, Muslims with Christian names. This religious tolerance and freedom is your creation; what I have done is to speak up for those values on your behalf. [2]''
The speech was a farce. The truth is that three decades after independence Muslims are not better off than they were under colonialism. Sivalon has revealed that the Church has been able to create its own lobby which controls 75% of the seats in the parliament. Among these seats 70% are held by Catholics and the rest are divided among Muslims and Christian denominations.[3]
(From: ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika,'' Minerva Press, London 1998.
[1] See footnote no.19.
[2] Daily News, 6 th November, 1985
[3] Sivalon, op.cit. p. 49.
Dilekeni,A
Mzee wangu Mohammed Said,Mwenyezimungu atakulipa kwa hekima,busara na subra ya hali juu sana,maandiko yako yamejaa utajiri wa historia ambayo huwezi kuipata popote,hakika wewe ni mja mwenye akili
Al gator,Kwani Colimba alikua muislam!? Mohamed Said amejikita zaidi katika siasa na historia za kumponda Nyerere na kuusifia uislam.
Al gator,Kwa jinsi Mohamed Saidi alivyo mdini hata ajali ya gari ikitokea na mkristu akawa kamgonga muislam atasema amemgonga kwa makusudi kwakua ni muislam. Na kama Muislam ndio kamgonga mkristo atasema huyo mkristo amemsababishia mwenzake ajali kwa makusudi kwakua ni muislam. Huyu mzee ni mdini mnooo.
Nani zaidi ya nyerere kazee kalikuwa na hila sana kaleKighoma Malima,, wat is the cause of his death?
We nawe. Kwani Kolimba Mwislamu? Mwanahistoria huyu huwa hajishughulishi na historia ya makafiri. Yeye ni waislamu tu kwani wao ndo waliteswa sana na kunyimwa nafasi za kusoma elimu dunia na utawala wa kigalatia wa Nyerere.Mzee Mohamed Said tuletee pia The Last Days of Horace Kolimba.