Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Kwako Kipenzi cha moyo na roho yangu,In that total darkness... Naked...!!! With your sensational shyness.. Tender body softest skin kama nyuzi ya hariri.. What a feeling.. Demi tell me its real... View attachment 710802
mara baada ya kupata waraka huu akili imeruka kwa furaha,
hata niya ya kumkubali Mr Miller aliyening'ang'ania kunitongoza
kama ruba kumeyeyuka kama barafu kwenye moto wa Petroli!
Mie nakupenda unipendae wenye wivu wacha wajinyonge
kwenye kamba ya radio cassete!
Wako akutunziae penzi la ukweli lisiloyumbishwa.
Cha mdeko nakupenda pamoja na ulozi wakooooo hun.