The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

In that total darkness... Naked...!!! With your sensational shyness.. Tender body softest skin kama nyuzi ya hariri.. What a feeling.. Demi tell me its real... View attachment 710802
Kwako Kipenzi cha moyo na roho yangu,
mara baada ya kupata waraka huu akili imeruka kwa furaha,
hata niya ya kumkubali Mr Miller aliyening'ang'ania kunitongoza
kama ruba kumeyeyuka kama barafu kwenye moto wa Petroli!
Mie nakupenda unipendae wenye wivu wacha wajinyonge
kwenye kamba ya radio cassete!
Wako akutunziae penzi la ukweli lisiloyumbishwa.

Cha mdeko nakupenda pamoja na ulozi wakooooo hun.
 
atanivua nguo kwa kipi hizo pumba?? ananijua? bahati mbaya sina midomo michafu kama yake
Kuna mahali nimekuquote mkuu? Au umevurugwa? Au ni multiple ID's?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji382] [emoji382] [emoji382]
 
Hii pic ulivyozoom nilijua le mutuz nye nye nye......[emoji13] [emoji13] [emoji13] kumbe mwanga wa jf
Mkuu ziara za makabulini mnaanza lini na Demiss
image_search_1520698192944.jpeg

Nimeshapokea mikobaaaa tayar kwa safar ya uloziii na mme wangu mshana
 
Dogo hutu tu video hatu kujibii maswali niliyo kuuliza.

-Ni wazi umeanza kuyumba na taratibu pumba ulizonyonyeshwa utotoni zina karibia kutoka.

-Leo nitakusaidia kuzitoa aidha uzitapike pumba kwa njia ya 'kinywa' au lile 'tundu' lingine unalolitumia kama kitega uchumi

-Na kwakuwa waungwana wote sasa wanajua uliachishwa shule 2014 na katika kipindi chote hicho ulikuwa ukipakatwa na vijana wa mjini..

-Mpaka 2017 mwezi wa 11 ndio ukaweza kununua laptop na bila soni ukajitangaza mbele ya wanaume

-Ni muda wako sasa utueleze je bado unalala jikoni kwa dada yako ukikomba mboga za kisamvu au una pakatwa na watoto mjini huku ukichezea laptop

--Nataka majibu

TII KIU YAKO
 

Attachments

Kwako Kipenzi cha moyo na roho yangu,
mara baada ya kupata waraka huu akili imeruka kwa furaha,
hata niya ya kumkubali Mr Miller aliyening'ang'ania kunitongoza
kama ruba kumeyeyuka kama barafu kwenye moto wa Petroli!
Mie nakupenda unipendae wenye wivu wacha wajinyonge
kwenye kamba ya radio cassete!
Wako akutunziae penzi la ukweli lisiloyumbishwa.

Cha mdeko nakupenda pamoja na ulozi wakooooo hun.
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji322] [emoji322] [emoji173] [emoji125] [emoji173] [emoji323] [emoji8] [emoji322]
 
dem mwenyewe mcharuko hajulikani hata jinsia yke.
 
Wewe nijibu maswali yangu uyo Witness unaanza kumshobokea sijui ili iweje?? Hahaha Umeanza kuwehuka mapema hivi

Na bahati mbaya ni mtoto wa kike uyo labda atasaidia kukuonyesha magunzi ya mahindi yanapo patikana ili ujikune vizuri

Wewe tuendelee huku mpaka utapike ugoro uliolishwa na bibi yako leo.

NI mwendo wa

TII KIU YAKO.
 

Attachments

Back
Top Bottom