Arsenal maneno mengi wakati timu hawana.[emoji23][emoji23] imagine tulivyokuwa kwenye race na liverpool, ilikua shinda nishinde hakuna mtu kudondosha point hovyo, sasa hawa vibwengo wanadroo wanaenda mechi 4 bila kushinda af wanataka kombe, ujinga mtupu.
MacAllister ni mtu sana huyu.Huyu bellingham huwa naona anakuwa overrated, tungeconcentrate kwa hawa.
1. McAllister
2. kovacic
huwa sioni kitu chochote alichonacho bellingham ambacho hawa watu hawana na bei zao ni ndogo kuliko Jude.
He is so hungry for more goals, hii ndio mentality ya striker anaejielewa.We call it a monster mentality.
Jamaa ana akili ya kiuaji sana, yan pale anaona kazingua kinoma [emoji28]
Hawa pundits watupunguzie kelele zao.Rio Ferdinand says it will be stupid to think city won't win treble this season.
"They can win everygame"- Rio
Walinikera walipomng'ang'ania kane asije city, kane ilitakiwe awe kwenye timu zinazojielewa.Hii spurs ndio ilikua inaitwa tittle contender mwanzoni mwa msimu.
Now alitakiwa awe na mataji kwenye profile yake, kuendelea kukaa timu kama tottenham ni kupoteza muda, zaidi ya golden boots, hamna kingine atapata akiwa spurs.Walinikera walipomng'ang'ania kane asije city, kane ilitakiwe awe kwenye timu zinazojielewa.
Jamaa anakiwasha sana.MacAllister ni mtu sana huyu.
Sidhani kama ni serious kihivyo.Injury ya KDB inaweza ikawa ni serious concern kuelekea mchezo wa fulham.
Pep atatoa updates leo kwenye press conference.
Me nilishangaa jamaa kaacha kushangilia goli kaanza kumfokea ederson, Piers Morgan twitter kaandika hiyo ndio sababu pep ni greatest coach kwasasa, jamaa hataki makosa hata kama hayajaleta madhara.Ila pep bana, yani pamoja na kwamba ile pasi ya ederson ilileta progression ya kwenda kuzalisha bao, yeye bado aka mind.
Pep ni perfectionist.Me nilishangaa jamaa kaacha kushangilia goli kaanza kumfokea ederson, Piers Morgan twitter kaandika hiyo ndio sababu pep ni greatest coach kwasasa, jamaa hataki makosa hata kama hayajaleta madhara.
our pep [emoji123][emoji123]
Ni speculations tu ngoja tumsubiri pep.Sidhani kama ni serious kihivyo.
Kuna pundit nimemsahau jina alishawahi kusema kwamba tactical perfectionism ya pep ndio inamfanya anahangaika Champions league.Pep ni perfectionist.
Hakuna kocha asiye demand tactical perfectionism.Kuna pundit nimemsahau jina alishawahi kusema kwamba tactical perfectionism ya pep ndio inamfanya anahangaika Champions league.
Kwamba sometimes tactics zinakwama kwaiyo unahitaji individual brilliance kukuokoa, ukiangalia ile pasi ya ederson kwa stones ilianzisha series iliyopelekea goli lakini bado pep hakupenda sababu ilikua kinyume na tactical demand yake.
Kuna game tulicheza na leicester mwaka 2019 tulishinda 1-0, shuti la kompany likaturudisha kileleni lakin pep kwenye touchline alikua anamzuia kompany asishoot kwasababu ni pata potea, yeye tactical demand yake ilikuwa timu i hold & circulate mpira na kufanya movement za kutosha kutengeneza nafasi za uhakika.
Ndio, lakini ile strictness wakati wa ku execute tacticts ni kubwa mno kwa pep.Hakuna kocha asiye demand tactical perfectionism.