The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Huyu bellingham huwa naona anakuwa overrated, tungeconcentrate kwa hawa.

1. McAllister
2. kovacic
huwa sioni kitu chochote alichonacho bellingham ambacho hawa watu hawana na bei zao ni ndogo kuliko Jude.
MacAllister ni mtu sana huyu.
 
Walinikera walipomng'ang'ania kane asije city, kane ilitakiwe awe kwenye timu zinazojielewa.
Now alitakiwa awe na mataji kwenye profile yake, kuendelea kukaa timu kama tottenham ni kupoteza muda, zaidi ya golden boots, hamna kingine atapata akiwa spurs.
 
Ila pep bana, yani pamoja na kwamba ile pasi ya ederson ilileta progression ya kwenda kuzalisha bao, yeye bado aka mind.
Me nilishangaa jamaa kaacha kushangilia goli kaanza kumfokea ederson, Piers Morgan twitter kaandika hiyo ndio sababu pep ni greatest coach kwasasa, jamaa hataki makosa hata kama hayajaleta madhara.

our pep [emoji123][emoji123]
 
Pep ni perfectionist.
Kuna pundit nimemsahau jina alishawahi kusema kwamba tactical perfectionism ya pep ndio inamfanya anahangaika Champions league.

Kwamba sometimes tactics zinakwama kwaiyo unahitaji individual brilliance kukuokoa, ukiangalia ile pasi ya ederson kwa stones ilianzisha series iliyopelekea goli lakini bado pep hakupenda sababu ilikua kinyume na tactical demand yake.

Kuna game tulicheza na leicester mwaka 2019 tulishinda 1-0, shuti la kompany likaturudisha kileleni lakin pep kwenye touchline alikua anamzuia kompany asishoot kwasababu ni pata potea, yeye tactical demand yake ilikuwa timu i hold & circulate mpira na kufanya movement za kutosha kutengeneza nafasi za uhakika.
 
Hakuna kocha asiye demand tactical perfectionism.
 
Hakuna kocha asiye demand tactical perfectionism.
Ndio, lakini ile strictness wakati wa ku execute tacticts ni kubwa mno kwa pep.

Bielsa na Pep hivi vichwa havitaki kusikia kitu kinaitwa "maamuzi magumu"
 
Nawambien nyie mwaka huu mngeikosa signature ya halaand msingefika popote pale na uefa ilikua mapema tuu hata uefa nawambien shukuruni hilo
 
Back
Top Bottom