Ntakuja na majibu yakoMim sio shabiki wa man Wala arsena l ila nashangaa unaruka maswali ambayo kimsingi umeyaleta mwenyewe,Ewew Ni mpnz wa timu ya man city ila sio shabiki wa mpira..maana unaongea vitu vya kustaajabisha!!!!
#DAVET# I sallute u bro unaongea facts Hadi raha ebu kaa na kijana wako muulezeee mpira sio mapenz atakufa mapema maana anaruhusu hisia zimfichee ukweli...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah! Hii kawaida kabisa mkuu mana ata ukiulizwa kati ya Man U na Barca ulikua upande gani lazima utasema Barca au liver na Porto lazima utasema Porto. Tot akichukua CL trust me hakuna atakaeumia zaidi wote tutafurahia
Ni Christian EriksenAmina, japo simjui huyo Christian Er ni nani hasa ktk ulimwengu wa soka Chifu[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uefa kwa pep ni mtihan sana.
Mm sina hofu na epl akili zake huwa zinakaa sawa.
Ila uefa labda tumpate mtu kama pochtno
😂😂😂😂Wadau hua wanakuja kutukejeri humu kua uzi wetu hauna wachangiaji sijui umepoa, mimi huwa nawaambia kwasababu hatufungwi. Sasa tumepata matokeo mabaya jana ndio maana unaona uzi unakimbia
Sasa uyo asiemjua ata fundi eriksen ni nanNi Christian EriksenView attachment 1074784
Wengi wao wanamchukia Pep, mwingine alisema anamchukia Aguero hasa ule ushangiliaji wakeHapa anayechukiwa ndani ya man city ni pep pekee
Mwaka huu timu nyingi zilikuwa mbovu au hazikucheza vizuri, hizi timu zikisajili vizuri msimu ujao mnaweza kutoka hatua ya makundiMm nimejifunza kitu,hizi uefa zinaenda kwa ngazi. Sema wacha tupande hvyo hvyo taratibu. Japo itachukua miaka.
Lets fight to reach final next year.
Inasikitisha sana
Sasa uyo asiemjua ata fundi eriksen ni nan
Shukrani mkuuPoleni sana wakuu
Kupata mafanikio UCL is a process na sio kama kuchukua EPL, FA ama Carabao
Lini kachukua FA!!?ndio maana nakwambia utulie mkuu unapotoa hoja usikurupuke..Sasa jamaa izo kombe si ata pep amezichukua.
Kasoro ilo la futuhi.
Aya gusia kuhusu ligi nako
Mdogo mdogo sahz yoyote atakae katisha halali yetu
Mdogo mdogo sahz yoyote atakae katisha halali yetu