The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mim sio shabiki wa man Wala arsena l ila nashangaa unaruka maswali ambayo kimsingi umeyaleta mwenyewe,Ewew Ni mpnz wa timu ya man city ila sio shabiki wa mpira..maana unaongea vitu vya kustaajabisha!!!!
#DAVET# I sallute u bro unaongea facts Hadi raha ebu kaa na kijana wako muulezeee mpira sio mapenz atakufa mapema maana anaruhusu hisia zimfichee ukweli...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ntakuja na majibu yako
 
Hahah! Hii kawaida kabisa mkuu mana ata ukiulizwa kati ya Man U na Barca ulikua upande gani lazima utasema Barca au liver na Porto lazima utasema Porto. Tot akichukua CL trust me hakuna atakaeumia zaidi wote tutafurahia

Tottenham akiingia Final na Liverpool akachukua, nitaumia kwa kukosa kombe ila haitakuwa mbaya ukilinganisha na nifungwe na City.
 
Amina, japo simjui huyo Christian Er ni nani hasa ktk ulimwengu wa soka Chifu[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Christian Eriksen
20190418_104703_rmscr-1.jpeg
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Yan tayar mshaanza kutafutana.....kwahy saiv pochtno aje city et!! Lazima kikuuume mana msimu uliopita tot hakufanya usajili hata mmoja and yet kafika hapa, hata kama ni VAR lakin walipambana kuhakikkisha magoli hayazid...VAR ina sehem yake lakin kam timu walipambana wasifungwe zaid
Uefa kwa pep ni mtihan sana.
Mm sina hofu na epl akili zake huwa zinakaa sawa.
Ila uefa labda tumpate mtu kama pochtno
 
Hapa anayechukiwa ndani ya man city ni pep pekee
😂😂😂😂Wadau hua wanakuja kutukejeri humu kua uzi wetu hauna wachangiaji sijui umepoa, mimi huwa nawaambia kwasababu hatufungwi. Sasa tumepata matokeo mabaya jana ndio maana unaona uzi unakimbia
 
Mm nimejifunza kitu,hizi uefa zinaenda kwa ngazi. Sema wacha tupande hvyo hvyo taratibu. Japo itachukua miaka.
Lets fight to reach final next year.
Inasikitisha sana
Mwaka huu timu nyingi zilikuwa mbovu au hazikucheza vizuri, hizi timu zikisajili vizuri msimu ujao mnaweza kutoka hatua ya makundi
 
"What do you say to people who claim you've not won the UCL since Barcelona because you don't have Messi, Xavi, Iniesta..." "I completely agree! I was very lucky." Pep Guardiola on February 19th of 2019
 
Back
Top Bottom