goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
Ntakuja na majibu yakoMim sio shabiki wa man Wala arsena l ila nashangaa unaruka maswali ambayo kimsingi umeyaleta mwenyewe,Ewew Ni mpnz wa timu ya man city ila sio shabiki wa mpira..maana unaongea vitu vya kustaajabisha!!!!
#DAVET# I sallute u bro unaongea facts Hadi raha ebu kaa na kijana wako muulezeee mpira sio mapenz atakufa mapema maana anaruhusu hisia zimfichee ukweli...
Sent using Jamii Forums mobile app