Kabisa mkuu, Phil Foden nae kapelekwa mchaka mchaka mpaka akawa mwekundu kama KDB [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Glealish na stearing Wana uchezaji was Aina moja, ambao unaifavor timu inayoongoza goli nyingi, lakini sio kwenye pressure kubwa Kama game ya leo
EPL hili hatuliachi, nyie mkakaze kwa UEFA, madrid akiwapiga knock out bas, imeisha hiyoooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi Liverpool pamoja na Chelsea kwa msimu huu tunakombe moja moja , je nyie? Alafu bado funapambania FA, UCL plus League.
Ndo tatizo la kusafiri kwa baskeli ya biskuti, msimu wenyewe masika huu[emoji4]Eti wameumaliza mwendo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sawa mshika takoTushakata mkanda wa bikini tunashika tako
Alijua ashamaliza mechi akafikiri anacheza na LeedsAaaaah wee game ilishaisha hii, yaan Pep anamtoa KDB na mahrez, anawaingiza wajukuu wa bibi elizabeth? Ndo nn khaaah.
Mkuu vipi saa 22:00 bado tu.Uwepo wa cancelo na walker ....
Yaani Sina wasi wasi na hii game kabisa ,kilichobaki ni psychology ya wachezaji na moods ....Madrid anaenda kufa mapema
Tukutane saa 22:00
Huko liverpool mkikaa nyie inatosha, hapa kwa Etihad bado nipo sana.Hamia Liverpool wewe, acha kuteseka na tim za uchochoroni
Phoden Dogo mzur Sana ,Kabisa mkuu, Phil Foden nae kapelekwa mchaka mchaka mpaka akawa mwekundu kama KDB [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Yaan huyu kipara kanitibua mnooo, khaaaahAlijua ashamaliza mechi akafikiri anacheza na Leeds
Hii Bora ya cancel, ila walker kachemka vibaya mno.Mkuu vipi saa 22:00 bado tu.
Makaburin mazur Sana Aya[emoji4][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huu utabiri mnautoaga wapi nyie???Fainali ni man city na liverpool, bonge moja la fainali
Kwamba mngepigwa na liver fainali?Daaaa Bora tumetoka mapema maana kupoteza final mbili mfululizo ingekuwa mbaya zaidi .....!
Let's go
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tunasubir kuona salah nywele zikinyonyoka na mvi za ukoo kuanza ghafla.Kabisa mkuu, Phil Foden nae kapelekwa mchaka mchaka mpaka akawa mwekundu kama KDB [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ww ni underdog Uefa ina wenyeweMpaka hapa pep kashafeli ,uefa haiwezi kabisa
[emoji16]Mpira hauna bahati ni uwezo
Wewe sindio ulikuwa unasema unaenda kuchukua UCL na EPL?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tunasubir kuona salah nywele zikinyonyoka na mvi za ukoo kuanza ghafla.
Rekodi hiyoMan City mna concede goal 2 ndani ya dk 1 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]