Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,777
Kabisa mkuu, Phil Foden nae kapelekwa mchaka mchaka mpaka akawa mwekundu kama KDB [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Glealish na stearing Wana uchezaji was Aina moja, ambao unaifavor timu inayoongoza goli nyingi, lakini sio kwenye pressure kubwa Kama game ya leo