Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23]hivi kweli semi final uefa ndio ya kulialiaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pain killer [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mshikeni huyu ameonekana duka la mangi ananunua sumu ya panya..
Huna lolote achana na Mimi mzee[emoji23][emoji23][emoji23]Usitulutee mahubiri jambo la umuhimu ni kwamba jana mmegongwa 3 basi.
MADRID NDIO DAWA YA MAKABWILI KAMA WEWE.
Sisi hatuamini katika huo ujinga mzee [emoji23][emoji23] yaan the boss pep guardiola awapigie magoti ,unaumwa nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pep Guardiola anatafunwa na laana,jina lake bado lipo kwny kifuu cha nazi kijijini Ivory Coast huko.View attachment 2212016View attachment 2212017
Kwa hii game tulishashinda, n kipara ndo katuangusha bas.Wewe sindio ulikuwa unasema unaenda kuchukua UCL na EPL?
Eeeeh nipo kwa team yangu, na huu ndo uzi wake. Kwan vipi?Endelea kushabikia timu yako ya UNDERDOG tu UEFA ina wenyewe.
Kheeeeeh we nae sasa suprise gan tena? KhaaahKwishnei........Kwisha habari yako na bado EPL subiri suprise nakuhakikishia.
Kiukweli hatuna bahati na UEFA, ila iko wakati wetu tutafurahi na sie.Mashabiki kama Nyie Mimi nawaita vilaza tu ,pep akiwin game 12 mfululizo utasikia ooh pep ni genius ,bonge la kocha ,Jana tu kapoteza semi final Tena game ambayo alikuwa kashamaliza ni vile tu hatukuwa na bahati ,ila unakuta kilaza kama huyo huyo et pep kafeli ,sijui atupishe .,,mothef**CK ..!
Mimi sina cha kumalaumu pep ,kamtoa kDB kamuweka gundogun na game ikabadika tukascore ..!,,kamtoa Jesus ,Mahrez kumweka grealish na frenandihno kudefence na kushambulia ...Kuna mikimbio ya jack kidogo ascore ....!
Walker kaumia mapema na kaingia zincheko na kafanikiwa plan ,...kiufupi tulimzidi kila kitu last minute defender wetu kujisahau tu et jitu linakuja humu pep kafeli ,sijui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....!
Hatuna sijui europian cup ,life goes on ,hatuna sijui uefa but we go ,this is over and we move on ...!
This is our city
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumetolewa sie, kupagawa wee inahusu? KhaaaahEndelea tu kupita majukwaa ya wanaume ukikata Viuno
Mbna unatesekaa sana wee kiumbe lol.Endelea kufurahi mpaka siku utakayopata akili
msimu uliopita man city aliliwa na chelsea akapumzike tu kenge yuleKabisa mkuu uefa ina wenyewe kama kina Chelsea
Acha kujipa moyo weweimagine tumetoka nusu final dunia nzima inatuzungumzia [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Big club in the world
This is Manchester city baby
Come on city
[emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
Uyu Jamaa kukosekana first leg,Jr huwa hataki mchezo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], yule dogo anaspeed kweli na pumzi ya kutosha
Duniani inawashangaa mlivopoteza kipumbavu Sana, mmezidiwa Hadi na nottingam forest na Aston Vila[emoji16]imagine tumetoka nusu final dunia nzima inatuzungumzia [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Big club in the world
This is Manchester city baby
Come on city
[emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
Kocha la dunia pep guardiola [emoji170][emoji170][emoji170]
Wee rafiki hapa unafanya nn? Tuache na team yetu.Duniani inawashangaa mlivopoteza kipumbavu Sana, mmezidiwa Hadi na nottingam forest na Aston Vila[emoji16]