Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Mimi ni meneja mwenye uwezo wa kucheza mechi hizi katika hatua kubwa kama hivi. Ndio maana tupo hapa," alisema Pep Guardiola. "Nitafurahia mechi, ni wazi. Nasubiri kwa hamu kufika pale na kucheza. Napenda kucheza kwenye uwanja ule, tutafanya kila tuwezalo kuwafunga. Baada ya kushikana mikono.
"Kushinda, kusare au kufungwa, hatuendi kushinda au kupoteza Ligi ya Uingereza. Ni mechi muhimu kwa sababu tunaweza kushinda pointi, lakini ni hivyo hivyo kwao pia. Tunachowaza ni namna ya kucheza vizuri na kushinda mchezo."
Habari za Timu
Ingawa Ibrahimovic, Jones na Matic wapo kamili kwa upande wa United, kiung Marouane Fellaini atakaguliwa kwanza kuelekea mechi hiyo.
Paul Pogba anaanza kuitumikia adhabu yake ya kufungiwa mechi tatu Jumapili baada ya kadi nyekundu dhidi ya Arsenal, ataungana na Michael Carrick na beki Eric Bailly kushuhudia jukwaani.
Kiungowa Manchester City David Silva yupo fiti kwa safari ya Old Trafford baada ya kupata majeraha madogo lakini nahodha Vincent Kompany bado yu shakani kwa mechi hii kutokana na tatizo ambalo halijawekwa bayana.
Beki wa kushoto Fabian Delph amepona maradhi yake lakini mabeki John Stones na Benjamin Mendy bado wanaendelea kuuguza majeraha.