The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Nadhani hili jukwaa liitwe mwilamvya English medium primary school sababu timu imeanza kujulikana 2010 na mashabiki wake ni under 18
 
City mna bahati sana bayern walimbadili kocha nagelsman siku chache kabla ya mechi ,, lasivyo mlikuwa hamtoboi .

Anyway , all the best mkapate kikombe cha kwanza cha UEFA
 
Labda mngekutana na Madrid kwenye hatua ya makundi lkn sio hatua alipo Sasa.
Kwamba madrid nusu fainali huwa hatolewi au una maana gani?
Acheni kuishi kwa mazoea, ndio madrid huwa ni hatari kwenye knockout stages sikatai lakini je madrid hajawahi kutolewa kwenye hizohizo knockout stages mnazomsifia?

Msi-overhype mambo kuonekana kama madrid akishaingia knockout ni untouchable wakati mara kibao tu ameshatolewa.
 
Eder militao wa madrid hatocheza first leg sababu yuko suspended baada ya kupata yellow card nyingine kwenye game ya chelsea.
 
Kevin De Bruyne has been nominated for the UCL player of the week award.

Other nominees are Rafael Leao, Federico Valverde and Lautaro Martinez.
 
Game ya FA tutarajie rotation ya hali ya juu maana baada ya hapo kuna Arsenal na tayari tuna injury ya Ake.
 
Game ya FA tutarajie rotation ya hali ya juu maana baada ya hapo kuna Arsenal na tayari tuna injury ya Ake.
Sidhani kama kutakuwa na rotation kubwa sanasana nadhani kutakuwa na mabadiliko matau tu, walker, mahrez na laporte
 
Sidhani kama kutakuwa na rotation kubwa sanasana nadhani kutakuwa na mabadiliko matau tu, walker, mahrez na laporte
Pep kasema anaona wachezaji wamechoka na hana uhakika kama watarecover ipasavyo kuelekea kwenye hiyo mechi.
Na ukiangalia ni kweli toka april imeanza ametumia kikosi kilekile day in day out na mechi zilikua za mikiki haswa.

Ukizingatia tuna game na arsenal, kuna haja ya kufanya refreshment ya kikosi kwenye game ya sheffield.
 
Ngoja tuone
 
Back
Top Bottom