Mr Ubwabwa
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 375
- 283
Muda huo haaland anakunywa supu sio?Anakabwa benzema anafunga rodrinyo tuko hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda huo haaland anakunywa supu sio?Anakabwa benzema anafunga rodrinyo tuko hapa
Wewe kichwa maji unaishi kwa kukariri ndio unajua mpira?
Ameen.Man city fans bila kumungunya maneno nawaombea this time mpate hii trophy. Naamini mnaenda kumfunga Real Madrid. Kila la kheri kwenu
Labda mngekutana na Madrid kwenye hatua ya makundi lkn sio hatua alipo Sasa.Ameen.
Kwamba madrid nusu fainali huwa hatolewi au una maana gani?Labda mngekutana na Madrid kwenye hatua ya makundi lkn sio hatua alipo Sasa.
Bahati ni sehemu ya mpira pia.City mna bahati sana bayern walimbadili kocha nagelsman siku chache kabla ya mechi ,, lasivyo mlikuwa hamtoboi .
Anyway , all the best mkapate kikombe cha kwanza cha UEFA
Hongereni wazee, tutasubiri msimu ujao, mna timu nzuri.Hii game tunakushika shati ukikaa vibaya hapohapo kwako unachezea.
Sasahivi wamebakisha bundesliga pekee, napo wanakimbizwa kinoma.Bayern sijui kwann hawakusubit msimu uishe ndio wamtimue Kocha watajuta
Mngemuacha nagelsmann amalizie msimu.Hongereni wazee, tutasubiri msimu ujao, mna timu nzuri.
Sidhani kama kutakuwa na rotation kubwa sanasana nadhani kutakuwa na mabadiliko matau tu, walker, mahrez na laporteGame ya FA tutarajie rotation ya hali ya juu maana baada ya hapo kuna Arsenal na tayari tuna injury ya Ake.
Pep kasema anaona wachezaji wamechoka na hana uhakika kama watarecover ipasavyo kuelekea kwenye hiyo mechi.Sidhani kama kutakuwa na rotation kubwa sanasana nadhani kutakuwa na mabadiliko matau tu, walker, mahrez na laporte
Ngoja tuonePep kasema anaona wachezaji wamechoka na hana uhakika kama watarecover ipasavyo kuelekea kwenye hiyo mechi.
Na ukiangalia ni kweli toka april imeanza ametumia kikosi kilekile day in day out na mechi zilikua za mikiki haswa.
Ukizingatia tuna game na arsenal, kuna haja ya kufanya refreshment ya kikosi kwenye game ya sheffield.