Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Sugu nae huwezi kumbeza mashairi yake ni ya hit n nail on it na misamiati pia ya kidibaji dibaji inapobidi.Hi.. Every one ....?
Before sija-zungumza chochote katika uzi huu please hii thread ni kwa ajili ya fans of HIP HOP MUSIC tu please over please [HASHTAG]#TeamMziwanda[/HASHTAG] LOL, if you don't know any thing about Hip Hop Music its better ukawa msomaji tu acha wenye kuelewa huu mziki kuweza kukosoa na kuchangia kitu katika uzi huu lengo ni kukuza utamaduni huu wa mziki wa HIP HOP..
Pia haya ni mawazo yangu binafsi mimi pia na wewe unaweza kuwa na ya kwako unaweza share na sisi sio dhambi, Pia ruksa kukosa list hii ana kuzungumzia chocho kuhusu uchambuzi huu wa makala hii..
VIGEZO VILIVYOTUMIKA KUAANDA HII LIST HII NI PAMOJA NA;
Sorry nisikuchoshe acha tuanze kuihesabu list yetu ya rapper(Wafokaji) bora wa tano katika mziki wa bongo hip hop wenye uwezo binafsi wa siku zote ;
- Uwezo binafsi wa uwasilishaji wa ujumbe kutipia matamshi na mitambao ya mdundo
- Utumiaji wa misamiti na lugha ya kiswahili ki ufasaha katika utuzi wa maishairi
- Uwezo binafsi wa ku stick katika maada husika wakati wa ku rap
- Ujuzi binafsi wa mitambao tofauti tofauti katika midundo
- Na mengine mengi..
5. NIKK MBISHI
Watu wengi wanaweza niuliza why ?, Nikk Mbishi, Jibu ni dogo tu "UWEZO BINAFSI" Nikk ni moja kati ya rapper wenye confidence na uwezo binafsi katika utunzi na kusimamia kile anacho kiamini katika maisha yake ya mziki pia ni moja kati ya rapper bora wanaozungumziwa sana katika era hii ya Bongo Hip Hop kwa utunzi wake wa kiutofauti, Nikk ni moja kati ya rapper wenye uwezo wa ku stick kwenye maada husika hasa pale anapo rap na kuvaa uhusika kisawia kama alivokwisha fanya kwenye nyimbo mbalimbali kama HISIA na KIJUSI, Moja kati ya nyimbo ambazo nikk alishawahi fanya na kuwa bora kuwahi tokea ni pamoja na KIJUSI, AU, HISIA, KILA SIKU, PLAY BOY, SAUTI YA JOGOO na pia ni rapper mwenye nyimbo nyingi zenye ubora katika misingi ya HIP HOP.
4. JCB MAKALLA
Ukisikia Paaa!! Ujue imekukosa...!!!! Jcb makalla moja kati ya rapper wakali tokea Arusha japo kwa sasa kifamilia yupo aboard. Watu wengi wana weza shangazwa na list hii but kwa wafatiliaji wa muda mrefu katika mziki wa bongo hip hop hawawezi bishana na mimi uwezo wa JCB ni mkubwa sana hasa kiuandishi na ku-rap JCB ni moja kati ya rapper pale unapo wapa topic ya kuzungumzia katika wimbo husika hufanya kitu roho inapenda, Pia kitu kinacho mfanya JCB kuwa bora na ni pamoja na flow yake katika nyimbo zake. Kama ilivyo kawaida HIP HOP inatengenezwa na vitu vingi, Pia katika vitu hivyo vingi ndivyo hufanya mapenzi na washabiki kuchangua rapper wanaowapenda na kuwapa kipaumbele katika kusikiliza nyimbo zao moja wapo ni pamoja na kuwa na flow tamu, aina ya uandishi wa mashairi, uwashilishaji wa ujumbe kwa hadhira na mengine mengi vitu hivi JCB anavyo.
3. JAY MOO
Jay moo, mzee wa stori tatu tofauti, hit maker wa PESA MADAFU kwa sasa . Jay moo ni moja ya wasanii wa zamani kwenye mziki wa BONGO HIP HOP, Kutokana na uwezo wake binafsi chini ya usimamizi bora wa producer bora bongo a.k.a father of bongo fleva P-FANK MAJANI amekuwa msanii ambaye hutoma nyimbo zale kwa muda na kufanya vizuri kila baada ya nyimbo zake kuwa hewani.
Moja sababu ya Jay moo kuwa msanii bora ni pamoja na utunzi wake wa mashairi, Jay moo amewahi kukili kuwa hutumia muda mingi linapokuja swala la utunzi wa mashairi na upangiliaji wa mizani katika nyimbo zake ndio sababu ya nyimbo zake kuwa hit kwa muda mingi na kutochuja ki uharaka kwenye ramani ya mziki wa bongo.
2. FID Q
Fid Q a.k.a Jeshi la mtu mmoja, rapper toka mwanza rapper mwenye uandishi mgumu wa mashairi na utunzi wa hali ya juu kwenye nyimbo zake. Kitu kinacho mtofautisha Fid Q na rapper wengi bongo ni uwezo wa kutumia kiswahili na misamiati migumu kwenye mziki wake kufikisha ujumbe.
Watu wengi wameshasikika wakikili kuwa huwachukua muda kuweza kuelewa nyimbo nzima ya FID Q na nini alikimaanisha katika nyimbo husika.
FID Q ni moja kati ya rapper wa zamani kwenye mziki wa bongo ambao kila siku wamekuwa wakisonga mbele katika mziki wa bongo na kupata mafaniko mengi ya mziki huo.
1. PROFESA JAY
Pro Jay ni moja kati ya rapper waliofanya mziki huu wa bongo hip hop kufika hapa ulipo kutokana na uwezo wake binafsi, Pro Jay ameweza ku washawishi wazazi wa rapper wengi wa sasa katiaka bongo hip hop kuweza kufungua milango kwa watoto wao katika mziki huu wengi wazazi kwa sasa wana amini kuwa mziki wa BONGO HIP HOP sio uhuni, Pia ki uwezo binafsi Prof Jay ni moja kati ya wasanii ambao kila wanapotua nyimbo mpya huwa hit song katika media zote za hapa Bongo na kuwa msanii anae heshimika na rika zote na kwa sasa yupo kwenye ulimwengu wa SIASA napo anafanya vizuri..
Karibu kwa maoni mbali mbali na mapendekezo yako binafsi kuhusu makala hii. Pia unawezi soma makala nyingi kama hivi HAPA na kushare na rafiki zako karibu wote ? 😎
Mkuu ulinunuaga ile albamu ya "mkuki moyoni?" by afande sele, au ata ushawahi kujipa muda kusikiliza nyimbo zake? He is very good when it comes to deliver a message with exra ordinary rhymes. Yani vina kati na mwisho, that is good and needs a skilled rapper to do that.Hivi Afande nae anafanya Hip hop??
Na kua MC mkali ni kua nyimbo nyingi kwani??
Anyway, simpigii chapuo Dogo ila naona pia sio wa kumuondoa.
Langa alikua sana tu, ngwair pia. tunaongelea mashairi , hawa late upcomings pia kama Kala Jeremiah ila sasa sema ku classify hip hop na bongo fleva ya kawaida ndio panagomba. ila all in all mashairi wako vizuriLanga Kileo
Albert Mangwea
Afande Sele
Fid Q
Prof Jay
Mr ii Sugu
Huyo kubanda overrated tu.... Na Prof is a better lyricist kuliko huyo jamaa.Kazi kazi ni kazi gani ile? Au ule mchiriku wakipindi kile?to plain story, cant be a great hiphop huwezi mcompare na kubanda. Prof unge mpa nafasi ya tano
Unamfahamu Chuck D!?!?TRUE THAT I always wonder why Mr II anapewa heshima sana katika mziki huu wa HIP HOP up to now wakati kipindi chake kilisha pita kitambo sana. To be honest hata kwa STEREO hasimami kuanzia FLOW mpaka Utunzi wa mashairi!
Achaneni hao kina Stereo wa Kukariri vina,TRUE THAT I always wonder why Mr II anapewa heshima sana katika mziki huu wa HIP HOP up to now wakati kipindi chake kilisha pita kitambo sana. To be honest hata kwa STEREO hasimami kuanzia FLOW mpaka Utunzi wa mashairi!
Johmakini afanyi hiphop bali anafanya commercial music jamaa anabana pua ana utofaut na juxkwanini Joh makin hayupo katika list hii?
Hit single za Jcb ni ngapi hadi kuingizwa katika list tena nafasi za juu kabisa?
mara ya mwisho Jcb alitoa hit tanfu lini
Mtoe dizasta hapo...n rapper mdogo saana...yan bado saaaaana1. AFANDE SELE
2. PROF JIZEE
3.JAY MO
4. MAREHEM ALBERT MANGWAIR
5. DIZASTA
6. NGOSHA
Mtoe Mr II muweke hata fa au langaList yangu yangu wafokaji wa mda wote ninao wakakubali
1)professor jay
2)Afande sele
3) Mr. II
4) solo thang
5)jay mo
6)fid Q
7)jcb
Hata young killah anamkimbizaTRUE THAT I always wonder why Mr II anapewa heshima sana katika mziki huu wa HIP HOP up to now wakati kipindi chake kilisha pita kitambo sana. To be honest hata kwa STEREO hasimami kuanzia FLOW mpaka Utunzi wa mashairi!
Nimeshangaa kuwa namba moja...!! The guy was not nowP
Profesa Jay yupo kwenye list kama umesoma uzi vizuri mpaka mwisho!
Ukiskia paah ft Jaymoe &fid q..Bwii ft jambo squadkwanini Joh makin hayupo katika list hii?
Hit single za Jcb ni ngapi hadi kuingizwa katika list tena nafasi za juu kabisa?
mara ya mwisho Jcb alitoa hit tanfu lini
Lunduno, Mexicana siwajui kabisa hebu tupia single zaoUnajua what makes this discussion harder, ni difference in generations/era in hip hop kwa apa tanzania.
On my side naona kuna generations kama tatu apa na kila generation had/has its talented and skilled emcees.
Kuna ile generation ya mwanzo( -1999 )kabisa ya akina kwanza unit, WWA, hard blasters(baadae prof jay aliingia kwenye hii crew), kikosi cha mizinga ( akina hashim dogo wakiwemo humo), balozi, de-plow-mats (akina saigon, stiggo, storm-armour shamte etc), sugu etc. Hii era walikuwa skilled, concious and mostly walichana kwa kiingereza( walikuwa wanyamwezi sanaaa)
Generation ya pili(2000 - 2005) ndo akina prof jay(when he started his solo career), jay mo, afande sele, nature, solo thang, fid ( as a late comer on this era), akina east coast team etc. Hii era ilikuwa some how concious, skilled, storytallers, walikuwa na flow nzuri and walipata nguvu kwa kurap in swahili.
Generation ya tatu(2006 -) ndo akina fid (as early comer in this era), chid, langa, joh makini, tamadun music ( akina nikki, stereao baada ya kutoka lunduno, illmatix ). Hii era ndo ina watu wana flow nzuri, very high skills, wanajua mambo mengi, watu wanachana kwa lugha zaidi ya moja(of course ICT inawasaidia sana). And to be honest, kwa upande wangu lunduno na mexicana walibadilisha upepo mzima wa hip hop tanzania. Apa ndo tulipoanza kuona flow kali za kuvutia (simaanishi kuwa zamani flow zilikuwa mbaya, dont get me wrong), skilled lyrics and rhymes.
Sasa tunapofanya comparison lazima tujua pia nyakati za hawa emcees. Leo hii siwezi kulinganisha hashim na one au fid afu niseme hashim mkali, huo utakua na uongo.
NB. Prof jay is exceptional, he has his own ground.
Maoni yangu.
Hashim Dogo ulimskiliza wapi wewe? Ntajie nyimbo kadhaa za Hashim dogoMoe
Jcb
Hashimu Dogo
Afande Sele
FA
In no particular order