The New York Times lasambaza uongo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze, au uongo tukanushe?

Anatarajia zile nafasi za raisi za kuteua wabunge.

Uchaguzi ulikuwa huru na haki kwa upande wa ccm pekee
Ingawa vyama vya upinzani ndivyo vinavyolalamika kuwa mawakala wao walizuiwa kushuhudia upigaji kura taarifa zinaonyesha kuwa mawakala wa vyama vyote walizuiwa!
Nani anaweza wazuia wa ccm na asitumbuliwe
 
Nakuunga mkono. Kuna msemo maarufu: "The guilty are always afraid".
 
Hili ni bandiko la Swali, Gazeti la The New York Times, la Marekani, ambalo ni la tatu duniani kwa ukubwa, lasambaza uongo kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze tuu au ni uongo tukanushe?
Mayalla, unataka kupinga nini hapo?
Kuwa ulikuwa huru na haki? kama unamuogopa au una hofu ya Mungu kamwe huwezi kupinga huu ukweli.
Kikubwa tuwe na hofu ya Mungu ktk mammbo yetu, tukumbuke kuna kiyama, wizi, dhuluma na unyanyasaji tunaokumbatia una mwisho wake na hukumu yake ni mbaya sana.
 
Gazeti linasema ukweli mtupu hongera sana wamarekani kwa kuona ushenzi wa serikali hii.
 
Mabandiko yako yatakuhukumu wewe mzadandiki pascal malaya wa siasa

Unajua ukweli kabisa uchaguzi haukua huru n haki kwa vigezo vyote
Wizi wa wazi wazi majibomboni
Mawakala kufanyiwa figisu za kutoruhusiwa kuingia kwenye vyumba vya kupigia kura
Hesabu za kura kutoakisi ukweli halisi wa wapiga kura..
Uchaguzi huu umekosa uhalali wa kuitwa uchaguzi wa taifa huru lenye demokrasia
 
Wewe mpiga Kura tu,huyo Wakala wa CDM ulimtambuwaje wakati mle ndani kulikuwa na watu si chini ya Watano!?
Kwani hajulikani yupi ni mtendakazi wa kituo na yupi ni wakala acha ushamba kulikuwa na sare za watenda kazi hivyo tuliweza kuwatofautisha na mawakala
 
Mkuu, nmekutumia ujumbe PM kwako kuhusu ile ishu tuliyoongea.
 
Ficha ujinga wako,wewe ndo utakufa maskini wa roho na mali.unafikiri risasi 16 mwilini ni sawa na manati??Mungu atamuinua mpaka mtubu dhambi
 
U. S wamemwibia kura trump, na amegoma kuondoka ikulu. Hilo lenyewe wamelizungumziaje
 
Hakuna uwongo hapo, walichoandika ni ukweli mtupu. Kituo nilichopigia kura mimi wakala wa Chadema alizuiwa katakata kuingia ndani, hii nimeona kwa macho yangu kabisa sijaambiwa na mtu! - Sasa uchaguzi gani huo!
Kwa ujumla uchaguzi huu, utamfanya Magufuli adharaulike na kila mwenye akili na hekima, maisha yake yote. Huu haukuwa uchaguzi bali ulikuwa ni uhuni uliofanywa na dila dhidi ya wananchi.

Mtu kama Mahera, miaka yake yote ya kuishi Duniani, ataonekana ni takataka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pasco, ukweli ni kuwa huu uchaguzi umetuvuruga Watanzania kuliko uchaguzi wowote ule tangu mfumo wa vyama vingi; hata kama tunajifanya kukubali kuwa ulikuwa fair, bado ulikuwa uchaguzi mbovu kuliko wowote na nashangaa sababu ni nini hasa maana sikuona mtu wa kumshinda JPM, labda ni hofu tu ndio zilitupelekea kubaka uchaguzi. Nashauri tu wanasiasa, viongzi wa dini na CBOs wakutanishwe, wakae pamoja na kuweka mambo sawa. Mwenye jukumu la kufanya hayo ni Rais wetu mwenye na Chama chake cha CCM.

Vv
 
Anawahi ukiwa niwamototo,kabla hajapitwa na muda wa teuzi.
 
Tumekuwa misukule ni kupelekwa pelekwa popote. Kama tulivyosema kuna ambao Magu ni kama Mungu na watakataa hata ukweli wa wazi! Ridiculous!
 
Mtihani ukivuja unafutwa,ila matokeo tokeo yakivuja hayafutwi, hii imekaaje wajameni.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…