Black Mirror
JF-Expert Member
- Oct 17, 2019
- 919
- 1,192
Paskali unajishushia heshima yako, wakati mwingine ni bora uwe unanyamaza tu. Wakati mwingine Mpumbavu akinyamaza huweza kuonekana ana busara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu Yangu;Wanabodi,
Hili ni bandiko la Swali, Gazeti la The New York Times, la Marekani, ambalo ni la tatu duniani kwa ukubwa, lasambaza uongo kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze tuu au ni uongo tukanushe?
Kwenye bandiko hili, natumia kanuni ya samaki kwenye tenga la samaki, hata ukiwa na samaki 100 kwenye tenga la samaki, wengine walivuliwa asubuhi, wengine mchana na wengine jioni, ukawaweka kwenye tenga moja, yule samaki mmoja wa asubuhi akioza, then samaki wote wanakuwa wameoza, hata wale wa mchana, hata wale wa jioni, Wazanaki wana msemo wa Kizanaki usemao "wote manzi ganyanza"
Vivyo hivyo ndivyo uongo ulivyo, ukisema vitu vya kweli 99, halafu ukachomekea kitu kimoja tuu cha uongo, huo uongo mmoja, unabatilisha zile kweli zote 99, na zote kuonekana ni uongo mtupu!
Kabla ya kuanza makala yangu hii, naomba ku -hare info kuhusu magazeti makuu 10 ya dunia hii yanaongozwa na gazeti la The Guardian la UK, likifuatiwa na The Wall Street Journal la USA, gazeti la The New York Times la USA ni la tatu, mengine ni 4. The Washington Post (USA) 5. China Daily (China) 6. The Times of India (India) 7. The Sydney Morning Herald (Australia) 8. The Asahi Shimbun (Japan) 9. Dawn (Pakistan), 10. Zaman (Turkey)
Gazeti la The New York Times, la nchini Marekani ambalo ndilo gazeti kubwa la 3 duniani, limeanza kueneza uongo kuhusu uchaguzi Mkuu wa Tanzania, kwa kuiambia dunia kuwa uchaguzi mkuu wa Tanzania haukuwa huru na wa haki.
Katika toleo lake la leo, gazeti hilo limechapisha makala kuhusu Tanzania, kwenye makala hiyo, wamesema mengi mabaya kuhusu uchaguzi mkuu wetu, japo kuna mengine ni kweli yalitokea, na kuna mengine ya kuibiwa kura yanasemwa tuu lakini hayana ushahidi, lakini kuna mengine yamesemwa ni uongo mtupu wa mchana kweupe!.
Gazeti hili limefanya mahojiano na Mtanzania mwenzetu mmoja, naomba nisimtaje humu maana huyo jamaa ni kipenzi cha baadhi ya watu humu JF, na ana followers wengi kwenye mitandao ya kijamii, hadi wengine ni kana kwamba wanamuabudia, hivyo ukimkosoa tuu jamaa huyo, kuwa vitu vingine, jamaa anawadanganya wazungu kupitia media zao za kibeberu, watu wake watakushukia kwa matusi as if umemkufuru mungu wao!.
Naomba kwanza nikuwekee makala yenyewe, na wewe ujisomee uone tunavyoanza kusingiziwa uongo, na kwa faida ya wale wenzangu na mimi ambao hizi kwao ni lugha za watu, nitawachambulia huyo samaki aliyeoza katika tenga hili ni yupi.
![]()
Tanzanian Opposition Leader Leaves Country After Police Bar Protest (Published 2020)
Tundu Lissu, an opposition leader, had called for protests after the country’s October presidential election was marred by allegations of fraud.www.nytimes.com
Hii ni story ya pili kwa The New York Times kuizungumzia Tanzania within one week, story ya kwanza ni hii
As Tanzania’s President Wins a Second Term, Opposition Calls for Protests
Oct. 31, 2l020
Uongo katika story ni kuhusu kufungwa kwa SMS, japo ni kweli wakati wa kipindi cha uchaguzi Mkuu wa Tanzania, kutokana na Watanzania wengi kuwa na simu janja na kila mwenye simu janja akanunua bundle ili kufuatilia uchaguzi kwa kutumia simu yake kwa mtandao wa internet, masikini mtandao wa internet ghafla ukaelemewa hivyo ukawa slow na sometimes ukawa haupatikani, hivyo watumiaji wa WhatsApp, Facebook, Twitter, YouTube etc ikawa haipatikani kirahisi, lakini SMS zilikuwa zinapatikana kama kawaida kwasababu SMS hazitumii internet hivyo mtu huhitaji kuwa na bundle kutuma au kupokea SMS!, hivyo walioathirika na go slow hiyo ya internet ni Watanzania matajiri na vipato vya kati wenye uwezo wa kumiliki simu janja, na huduma zilizotegemea internet ya mitandao ya simu, lakini kwa taasisi zinazotumia private network, VPN, hazikuathirika, na Watanzania walio wengi wanaotumia simu za vitochi, wao waliendelea kudunda tuu as if nothing happened!, hivyo hawa New York Times ni waongo!. Uongo ndio huo mmoja tuu!.
Aliefile hii story kutoka Tanzania ni shirika la habari la AP. Kwa vile mimi ni mwandishi, na kwenye uandishi tulifundwa darasani ukipata story from a single source, kabla hujai publish, editor unapaswa kui verify kwa kufanya kitu kinachoitwa double checking na cross checking kwa watu wengine zaidi ya huyo single source wao, and it was as simple as ABC, unampigia mtu mwingine yoyote aliyeko Tanzania, una verify uliyoambiwa na source wako, jee ni kweli internet was down? Je, hata SMS? Wangepata majibu!.
Uongo kuhusu kutopatikana mawasiliano ya SMS ndio samaki mmoja aliyeoza, katika hili tenga la samaki wa story ya The New York Times kuhusu uchaguzi Mkuu wa Tanzania.
My Take
Kwa kawaida siku zote mimi huwa nashauri uongo ukisemwa na kuachwa kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, siku moja utageuka ukweli, lakini kwa makala hii, sishauri tukanushe uongo huu mdogo kuhusu SMS tuu, huu ni wa kuu puuzia tuu, maana kukanusha uongo wa gazeti kama The New York Times, ni kama kufungua the Pandora Box, kunaweza kufumka mavitu ya ajabu!.
Don't underestimate the powers of media, magazeti ya Marekani!. The Washington Post, limewahi kuandika story ya kashfa ya Watergate, ikampopoa rais wa Marekani toka White House, ikulu akaiona chungu, akabwaga manyanga na kuachia ngazi!.
Hata magazeti yetu, japo mengi ni ya kufungia samaki, lakini kwa mahitaji yetu ya Tanzania na uzalendo!, hakuna gazeti Tanzania linaweza kusema uchaguzi Mkuu haukuwa huru na wa haki, kwa mujibu wa magazeti yetu, uchaguzi mkuu wetu, licha ya kukabiliwa na dosari ndogo ndogo, uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, walioshinda wameshinda kwa haki na kihalali, walioshindwa wameshindwa kwa haki na kihalali, wakubali matokeo, uchaguzi sasa umekwisha , kazi iliyo mbele yetu ni kazi moja tuu, kuijenga Tanzania.
Namalizia na lile swali la msingi la bandiko hili kuwa Gazeti la The New York Times, la Marekani, ambalo ni la tatu kwa ukubwa wa kusomwa sana duniani, lasambaza uongo kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki!, Je ni kweli tunyamaze tuu au ni uongo tukanushe?.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Bwana Mayala tafadhali usiwe msemaji wa watu wote, jiwakilishe.Wanabodi,

Hapo utafeli,vipo vituo wali deal na watu wote ambao wamo kwenye daftali lakini hawakwenda kupiga kura,mawakala wote walikua robed wakawa kitu kimoja,wakawa wanapiga kura kwa kijani kwakufuata taratibu zote,walifanya kazi ya kuwapigisha kura wote ambao hawakujitokeza kwakuandika namba za kadi zao na kuweka tiki kwa kijani,kumbuka kila kwenye kituo walikua na register zenye majina,picha na namba za mpiga kura za wote waliojiandikishaMimi ninasema, hakuna haja ya kurudia uchaguzi ,turudie tu kuhesabu maboksi ya kura, tutakutana na vibutu vya kura vingi ambavyo vimetumika bila ya kuandikwa namba ya mpiga kura juu, hivyo ndio kira feki zza kuziondoa kwenye hesabu. Kwa kura hizo zilipigwa usiku sio rahis kuandika namba ya kadi ya mpiga kura juu ya kibutu,lakini pia idadi halisi ya waliopiga kura inapatikikana kwenyevdaftari la wapiga kura,ambapo msimamizi msaidizi anasema tick kwenye picha ya mpiga kura.sasa kura nyingi zilizotiwa ukienda kwenye daftari la mpiga kura wamesahau kutick labda nadhani sababu ya muda
Yani umemaanisha pascal amegeuka think sink!Ni ajabu Think Tank tuliyoitegemea humu siku nyingi za nyuma sasa imegeuka Think Sink!
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Huu ndio uongo tunaouzungumzia,mbona husemi alizuiwa kwa sababu zipi?alikidhi vigezo vya kuwa wakala kama walivyokidhi mawakala wa vyama vingine?alizuiwa na nani?Hakuna uwongo hapo, walichoandika ni ukweli mtupu. Kituo nilichopigia kura mimi Wakala wa CHADEMA alizuiwa katakata kuingia ndani, hii nimeona kwa macho yangu kabisa sijaambiwa na mtu! - Sasa Uchaguzi gani huo!
NjaaWanabodi,
Hili ni bandiko la Swali, Gazeti la The New York Times, la Marekani, ambalo ni la tatu duniani kwa ukubwa, lasambaza uongo kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze tuu au ni uongo tukanushe?
Kwenye bandiko hili, natumia kanuni ya samaki kwenye tenga la samaki, hata ukiwa na samaki 100 kwenye tenga la samaki, wengine walivuliwa asubuhi, wengine mchana na wengine jioni, ukawaweka kwenye tenga moja, yule samaki mmoja wa asubuhi akioza, then samaki wote wanakuwa wameoza, hata wale wa mchana, hata wale wa jioni, Wazanaki wana msemo wa Kizanaki usemao "wote manzi ganyanza"
Vivyo hivyo ndivyo uongo ulivyo, ukisema vitu vya kweli 99, halafu ukachomekea kitu kimoja tuu cha uongo, huo uongo mmoja, unabatilisha zile kweli zote 99, na zote kuonekana ni uongo mtupu!
Kabla ya kuanza makala yangu hii, naomba ku -hare info kuhusu magazeti makuu 10 ya dunia hii yanaongozwa na gazeti la The Guardian la UK, likifuatiwa na The Wall Street Journal la USA, gazeti la The New York Times la USA ni la tatu, mengine ni 4. The Washington Post (USA) 5. China Daily (China) 6. The Times of India (India) 7. The Sydney Morning Herald (Australia) 8. The Asahi Shimbun (Japan) 9. Dawn (Pakistan), 10. Zaman (Turkey)
Gazeti la The New York Times, la nchini Marekani ambalo ndilo gazeti kubwa la 3 duniani, limeanza kueneza uongo kuhusu uchaguzi Mkuu wa Tanzania, kwa kuiambia dunia kuwa uchaguzi mkuu wa Tanzania haukuwa huru na wa haki.
Katika toleo lake la leo, gazeti hilo limechapisha makala kuhusu Tanzania, kwenye makala hiyo, wamesema mengi mabaya kuhusu uchaguzi mkuu wetu, japo kuna mengine ni kweli yalitokea, na kuna mengine ya kuibiwa kura yanasemwa tuu lakini hayana ushahidi, lakini kuna mengine yamesemwa ni uongo mtupu wa mchana kweupe!.
Gazeti hili limefanya mahojiano na Mtanzania mwenzetu mmoja, naomba nisimtaje humu maana huyo jamaa ni kipenzi cha baadhi ya watu humu JF, na ana followers wengi kwenye mitandao ya kijamii, hadi wengine ni kana kwamba wanamuabudia, hivyo ukimkosoa tuu jamaa huyo, kuwa vitu vingine, jamaa anawadanganya wazungu kupitia media zao za kibeberu, watu wake watakushukia kwa matusi as if umemkufuru mungu wao!.
Naomba kwanza nikuwekee makala yenyewe, na wewe ujisomee uone tunavyoanza kusingiziwa uongo, na kwa faida ya wale wenzangu na mimi ambao hizi kwao ni lugha za watu, nitawachambulia huyo samaki aliyeoza katika tenga hili ni yupi.
![]()
Tanzanian Opposition Leader Leaves Country After Police Bar Protest (Published 2020)
Tundu Lissu, an opposition leader, had called for protests after the country’s October presidential election was marred by allegations of fraud.www.nytimes.com
Hii ni story ya pili kwa The New York Times kuizungumzia Tanzania within one week, story ya kwanza ni hii
As Tanzania’s President Wins a Second Term, Opposition Calls for Protests
Oct. 31, 2l020
Uongo katika story ni kuhusu kufungwa kwa SMS, japo ni kweli wakati wa kipindi cha uchaguzi Mkuu wa Tanzania, kutokana na Watanzania wengi kuwa na simu janja na kila mwenye simu janja akanunua bundle ili kufuatilia uchaguzi kwa kutumia simu yake kwa mtandao wa internet, masikini mtandao wa internet ghafla ukaelemewa hivyo ukawa slow na sometimes ukawa haupatikani, hivyo watumiaji wa WhatsApp, Facebook, Twitter, YouTube etc ikawa haipatikani kirahisi, lakini SMS zilikuwa zinapatikana kama kawaida kwasababu SMS hazitumii internet hivyo mtu huhitaji kuwa na bundle kutuma au kupokea SMS!, hivyo walioathirika na go slow hiyo ya internet ni Watanzania matajiri na vipato vya kati wenye uwezo wa kumiliki simu janja, na huduma zilizotegemea internet ya mitandao ya simu, lakini kwa taasisi zinazotumia private network, VPN, hazikuathirika, na Watanzania walio wengi wanaotumia simu za vitochi, wao waliendelea kudunda tuu as if nothing happened!, hivyo hawa New York Times ni waongo!. Uongo ndio huo mmoja tuu!.
Aliefile hii story kutoka Tanzania ni shirika la habari la AP. Kwa vile mimi ni mwandishi, na kwenye uandishi tulifundwa darasani ukipata story from a single source, kabla hujai publish, editor unapaswa kui verify kwa kufanya kitu kinachoitwa double checking na cross checking kwa watu wengine zaidi ya huyo single source wao, and it was as simple as ABC, unampigia mtu mwingine yoyote aliyeko Tanzania, una verify uliyoambiwa na source wako, jee ni kweli internet was down? Je, hata SMS? Wangepata majibu!.
Uongo kuhusu kutopatikana mawasiliano ya SMS ndio samaki mmoja aliyeoza, katika hili tenga la samaki wa story ya The New York Times kuhusu uchaguzi Mkuu wa Tanzania.
My Take
Kwa kawaida siku zote mimi huwa nashauri uongo ukisemwa na kuachwa kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, siku moja utageuka ukweli, lakini kwa makala hii, sishauri tukanushe uongo huu mdogo kuhusu SMS tuu, huu ni wa kuu puuzia tuu, maana kukanusha uongo wa gazeti kama The New York Times, ni kama kufungua the Pandora Box, kunaweza kufumka mavitu ya ajabu!.
Don't underestimate the powers of media, magazeti ya Marekani!. The Washington Post, limewahi kuandika story ya kashfa ya Watergate, ikampopoa rais wa Marekani toka White House, ikulu akaiona chungu, akabwaga manyanga na kuachia ngazi!.
Hata magazeti yetu, japo mengi ni ya kufungia samaki, lakini kwa mahitaji yetu ya Tanzania na uzalendo!, hakuna gazeti Tanzania linaweza kusema uchaguzi Mkuu haukuwa huru na wa haki, kwa mujibu wa magazeti yetu, uchaguzi mkuu wetu, licha ya kukabiliwa na dosari ndogo ndogo, uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, walioshinda wameshinda kwa haki na kihalali, walioshindwa wameshindwa kwa haki na kihalali, wakubali matokeo, uchaguzi sasa umekwisha , kazi iliyo mbele yetu ni kazi moja tuu, kuijenga Tanzania.
Namalizia na lile swali la msingi la bandiko hili kuwa Gazeti la The New York Times, la Marekani, ambalo ni la tatu kwa ukubwa wa kusomwa sana duniani, lasambaza uongo kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki!, Je ni kweli tunyamaze tuu au ni uongo tukanushe?.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Anaapishwa JANUARY 20, hiyo ndiyo siku ya kuanza kazi zake officially LAKINI wao wana TRANSITION PERIOD, kuanzia siku mshindi anapopatikana kutokana na ELECTORAL COLLEGE VOTES hadi hiyo 20/01! Wakati wa kipindi hiki cha MPITO, "MILA ZAO" zinamtaka Rais Mshindwa A CONCED DEFEAT, kwa kumpigia simu Rais Mteule na hata kusema hadharani. Huo ndio UTARATIBU WAO. DJ TRUMP kaukataa utaratibu wao huo na kabaki kung'ang'ania madai ya kuibiwa kura, kama alivyofanya Lissu! Hata hivyo tusubiri tuone mwisho wa hii sinema ya Wamarekani ikiwa na D.J.Trump kama "starring".Anaapishwa January,