The New York Times lasambaza uongo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze, au uongo tukanushe?

Pascal tangu amekua msaka uteuzi analazimisha kuwafurahisha watawala hata kama ni kwa ulaghai ili mradi tu kutimiza malengo yake,nikimkumbuka polepole wa kipindi cha katiba mpya na polepole wa sasa huwa najifunza mengi sana kwa watu aina ya kina Pascal wa sasa.
Kuna jamaa huwa anasema mayala kwa kisukuma maana yake ni njaa
 
Mkuu Sms hazikuwa zikitoka Kwangu Kwa muda wa siku 4.na nilizokuwa natumiwa kufika ilikuwa mtihani pia.kwahiyo sidhani kama hilo ni uongo
Nusu ya waliojiandikisha hawakupiga Kura,hivyo ilikuwa rahisi kwao kuelewa kuwa wapo wengi ambao hawakuwa na muda na huu uchaguzi.nashangaa kwanini wametuhusisha wote kwenye huu ujinga wao.
 
Walichokiandika ni sahihi, huu uchaguzi haukuwa wa huru na haki, kilichofanyika ni uhuni tu, wa dakika za mwisho. Ccm na NEC wameshindwa kujibu hoja kwa nini majimbo mengi idadi ya kura za rais itofautiane na kura za jumla za mbunge? wakati mpiga kura anapewa karatas zote. Wajibu kwanza swali hilo.watu waliingiza kura bila hesabu
 
Ndugu Yangu;
Futa akilini mwako kufikilia kama kuna Mzungu anayekuwazia mema . Ukiona Mzungu anakuambia huyu hafai ujue huyo ndo anakufaa ndugu Yangu.
Hawa Watu wanayempenda ni yule anayewaruhusu kuiba rasili mali za asili, anayezipokea tamaduni zao mfano ushoga, ambaye yupo tayari kuwanyanyasa waafrika kulinda maslahi ya Wazungu.
Ebu fikilia kidogo:
CC Watanzania tumeikataa Sera ya Ushoga, ndiyo maana Tundu Lissu waliyemtuma kuwatetea Mashoga tumemkataa vilevile. Kwa hiyo wameumia kuona Tundu Lissu na Chama chake wamekataliwa. Ukiona Diwani ameshinda au Mbunge ni yule aliyeikataa sera ya Tundu Lissu ya Ushoga na kuunga Chama alichokibatiza kuwa ni cha Wasaliti cha Act wazalendo na akikiita CCM B vilevile.
 
Kuna kile kipindi cha Tibisii kinaitwa Bongo kama Ulaya.
Yaani Trump analalamika baadhi ya mawakala wake kuzuiwa kuingia ndani kushiriki kuhesabu kura, alaf na bongo kuna malalamiko kama hayo..
Bongo kama Ulaya kwakweli [emoji1787][emoji1787]
 
Mimi ninasema, hakuna haja ya kurudia uchaguzi ,turudie tu kuhesabu maboksi ya kura, tutakutana na vibutu vya kura vingi ambavyo vimetumika bila ya kuandikwa namba ya mpiga kura juu, hivyo ndio kira feki zza kuziondoa kwenye hesabu. Kwa kura hizo zilipigwa usiku sio rahis kuandika namba ya kadi ya mpiga kura juu ya kibutu,lakini pia idadi halisi ya waliopiga kura inapatikikana kwenyevdaftari la wapiga kura,ambapo msimamizi msaidizi anasema tick kwenye picha ya mpiga kura.sasa kura nyingi zilizotiwa ukienda kwenye daftari la mpiga kura wamesahau kutick labda nadhani sababu ya muda
 
mkuu paskal hapa kasema tu hamtaji huyo mtu.ila sasa wanapopoa mawe utafikiri embe bolibo.
siku zote ansyekutakia mabaya akiona hafurahishwi na jinsi unavyopambana kutaka watu wako wapate maendeleo,unatumia rasilimal ulizonazo ku push maendeleo lazima uwe adui.
gadyaf altumia utajir wa mafuta lbya kule hata kuoa kijana wa ki libya anajua serikal inmapa mpaka nyumba na mshahara na gdp ya m libya ilikua juu hata baadhi ya nchi ulaya hazikufika.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana Mayala tafadhali usiwe msemaji wa watu wote, jiwakilishe.
 
Hapo utafeli,vipo vituo wali deal na watu wote ambao wamo kwenye daftali lakini hawakwenda kupiga kura,mawakala wote walikua robed wakawa kitu kimoja,wakawa wanapiga kura kwa kijani kwakufuata taratibu zote,walifanya kazi ya kuwapigisha kura wote ambao hawakujitokeza kwakuandika namba za kadi zao na kuweka tiki kwa kijani,kumbuka kila kwenye kituo walikua na register zenye majina,picha na namba za mpiga kura za wote waliojiandikisha
 
Ni ajabu Think Tank tuliyoitegemea humu siku nyingi za nyuma sasa imegeuka Think Sink!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Yani umemaanisha pascal amegeuka think sink!
Ukweli huyu jamaa alishafeli kwenye mpango wake siku nyingi,angehamia Chadema kipindi cha hamahama,angefanya hivyo lazima kina polepole wangemtafuta wamlaghai kwakumpatia japo kacheo Ila kwa sasa ameshakwama.
 
Hakuna uwongo hapo, walichoandika ni ukweli mtupu. Kituo nilichopigia kura mimi Wakala wa CHADEMA alizuiwa katakata kuingia ndani, hii nimeona kwa macho yangu kabisa sijaambiwa na mtu! - Sasa Uchaguzi gani huo!
Huu ndio uongo tunaouzungumzia,mbona husemi alizuiwa kwa sababu zipi?alikidhi vigezo vya kuwa wakala kama walivyokidhi mawakala wa vyama vingine?alizuiwa na nani?
wacheni uongo,uchaguzi umekwisha,aliyeshinda kashinda.
cdm amlishashindwa kabla hata ya terehe ya uchaguzi.
 
Hii awamu ikiisha bila kupata uteuzi am.sure utakua chizi wewe. Umejitoa ufahamu kutetea majizi ili uteuliwe
 
Njaa
 
Anaapishwa January,
Anaapishwa JANUARY 20, hiyo ndiyo siku ya kuanza kazi zake officially LAKINI wao wana TRANSITION PERIOD, kuanzia siku mshindi anapopatikana kutokana na ELECTORAL COLLEGE VOTES hadi hiyo 20/01! Wakati wa kipindi hiki cha MPITO, "MILA ZAO" zinamtaka Rais Mshindwa A CONCED DEFEAT, kwa kumpigia simu Rais Mteule na hata kusema hadharani. Huo ndio UTARATIBU WAO. DJ TRUMP kaukataa utaratibu wao huo na kabaki kung'ang'ania madai ya kuibiwa kura, kama alivyofanya Lissu! Hata hivyo tusubiri tuone mwisho wa hii sinema ya Wamarekani ikiwa na D.J.Trump kama "starring".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…