The New York Times lasambaza uongo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze, au uongo tukanushe?

ni kweli sms zimezuiliwa na kuna kampuni walikua wakinitumia kwa ajili ya uactivate program fulani ziligoma ndipo baada ya uchaguzi wakanieleza ukweli hivyo ni ukweli sms zilizuiwa kipndi cha uchaguzi
 
Pascal is a definition ya IDIOT
Is KNOWING the TRUTH
SEEING the TRUTH and STILL BELIEVING the LIES
And spreading the LIES

Una tofauti gani na hii definite?
 
Pascal anajua ukweli wote.Sasa mnataka naye aseme haukuwa Huru na haki kesho aitwe Central ntaenda mtolea dhamana?? Ni akili kubwazi.Waliosomea Literature wataelewa Ni Kama Poem sometime sio ilivyoandikwa Kifupi anajua ukweli hapo anapima Kama mnajua kikichotokea but nzuri mpo vizuri Ndo lengo lake.Nyie mnadhani why huwa hateuliwi? Washansoma yupo mlengo gn.Huyu Ni akili kuubwa
 
Msome Tena aneandika kinyume.Anatutega tu ili asiitwe central asubuhi
 



Uchaguzi wa haki ndio huu kwa maonii yako Pascal mganga njaa ??

Your browser is not able to display this video.
 
Labda nikuulize swali kabla sijaongea lolote kwa maoni yako na mtazamo wako uchaguzi ulivyoendeshwa ilikuwa HURU na HAKI?tuanzie hapa....
 
Mkuu Paskali nyuma ya pazia la madai hayo ni Amsterdam. Soma barua iliyoambatanishwaView attachment Amsterdam Brief letter to EU - Iham.pdf
 

Mkuu Pascal Mayalla naon kadri siku zinavyoend unajitahidi kwa nguvu zote kushush heshima yako (sijui kwa maslahi yapi).

Umeanza kwa kusema kwa ilo gazeti linasambaza habari ya uongo juu ya uchaguzi wa Tz (hapa tayari umeshaconfirm kwamba ni uongo), ila mbeleni unauliza kama wanachosema ni kweli au uongo?


Ulipoamua kujitoa ufahamu ni pale unaposema mtandao ulizidiwa na watu wengi kujiunga na vifurushi ili kufatilia uchaguzi, hapa ni kweli upo serious broh? Siku kadhaa kabla na baada ya uchaguzi ulikuwa ukituma msg yoyote inayohusu siasa ilikuwa inafeli. Twitter, whatsapp, youtube na insta zote hazikuwa zinafanya kazi hadi utumie VPN, unataka kutuambia mtandao bongo ulizidiwa ila social medias tu ndio zikawa hazifanyi kazi?

Ukiwa unaongele jambo ni vizuri ukawa wazi usimame upande mmoja, kuliko kujifanya upo neutral wakati uhalisia haupo hivyo.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
P.
Hivi umeitafakari Ile kauli ya magu kwa kina kabudi, lukuvi na majaliwa kuhusu ushindi wao? Kama aliweza kuwaambia kuwa bila yeye kutia mkono na nguvu zake wasingeshinda, wewe umezitafsiri vipi hizo kauli?
Huoni Kama unalionea gazeti kwa kuandika ukweli zaidi ya aliousema magu kwa kina lukuvi?
Uache huu unafiki wako ili uiokoe nafsi yako! Ni ushauri tu.
 
Jinsi unavyomtetea jiwe na wafuasi wake uteuzi mwaka huu hukosi, japo wa kufua chupi ikulu.
 
Pascal Mayalla Blaza wangu hizi njaa zinakupeleka wapi?

Mbona unaishusha thamani yako kwa vitu vidogo? Ipo siku watoto wako watakuja kuona jinsi ulivyo mlamba viatu na watakuchukia maisha yao yote.

Usikubali njaa itawale akili yako kaaangu.

MUDA HUWA NI HAKIMU WA HAKI NA KWELI.
 
Pascal Mayalla Watabirie tena hawa Ufipa kuhusu miaka 5 ijayo, na hasa hatima yao ya 2025, kama zile posti za "wakiambulia hata mbunge mmoja wapongezwe!" Au ndiyo hawako kwenye ramani ya siasa kabisa mazima???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…