The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

maskini mwanaume alijenga mahekaru na mahekaru kila kona ya dunia lakini anajificha kwenye mtaro, kweli binadamu wote tuna limitations zetu hatu uwe na kiburi cha aina gani!
 
Walidhani wanaweza kuishi kwa kuwaua na kuwatesa wananchi wanaowapinga, sasa nao imekula kwao, mwisho mbaya
 
Every community on this mother earth has the right to choose its form of governance. So it was not wrong that Libya and other Arab countries have Feudalism while others have what is termed Democratic governments.

Mutassim found himself born and raised and adapted to that system. Why should he be killed?. For that matter why should his father be killed? That he refused democracy is no reason. These people have lived in feudalism for ages. One can't just go and dictate anything alien and expect positive response.

Just like if you go to America today and tell to do away with democratic governance they will fight. These are supposed to be evolutionary events. So I still say Why Kill Gaddafi; Why kill Muttassim?
 
OK, ni mtizamo wako binafsi, na binadamu huwa hatufurahii umwagikaji wa damu, lakini ...


Somalia na Sudan kufanya nini? Ulaya inapakana na Libya.. Waitalia na Wagiriki wana undugu wa damu na Walibya. Waafrika weusi tuna undugu gani na Walibya zaidi ya kuwa 'grouped' kama continent moja? Ndiyo maana nchi kama Morocco walijitoa AU.


Naona humjui vizuri Ghadaffi! Alikuwa mtu hatari sana. Alipandikiza chuki na kusponsor vita Africa magharibi (Liberia, Sierra Leone, Bukirna Fasso, etc.). Na tuzisahau wanajeshi wetu wa Tanzania wailouwawa na Majeshi ya Ghadafi kwenye vita vya Kagera.

Kwa kifupi, amemwaga damu na kuliza watuwengi sana kuanzia Afrika kwenyewe, Ulaya na Marekani pia.


Mugabe kwa lipi? Africa tuna viongozi wenye upeo mkubwa na rekodi za kueleweka kama Abdoulaye Wade na G. Jonathan. Siyo hao waliyochoka.
 
Hilo ni jukumu la yeyote yule. Nimetoa mapendekezo tu. Na nadhani hata kichwa cha hii thread kingebadilishwa na kusomeka The Libyan Crisis and Africa's options, tosha!


Haya mkuu,
Ongezea na mawazo yako.
 
Last edited by a moderator:
Ni vema viongozi wetu na watoto wao waliojaa viburi wakazitafakari hizi picha na kujifunza kuwa Umma unanguvu zaidi kuliko mamlaka na utajiri. Kiongozi anayejishusha na kuheshimu watu wake hata kama ni wenda wazimu hawawezi kamwe kumfanyia kama alivyofanyiwa Gaddafi na wanae.
 
...Mugabe kwa lipi? Africa tuna viongozi wenye upeo mkubwa na rekodi za kueleweka kama Abdoulaye Wade na G. Jonathan. Siyo hao waliyochoka.
Hapo kwa Abdoulaye Wade na G. Jonathan sidhani kama kuna ukweli wowote. Hao nao ni wale wale! Ayi Kweyi Armah's epic novel 'The beautiful ones are not yet born' (1968) still stands the test of time, id est until today!
 

What I Learnt about Libya .mp4 - YouTube
 
alikosea mahesabu alipotaka kuwasafisha watu wa Benghazi kwa kutuma majeshi yake,tankers,jet fighters na kuwaambia waziwazi there will be no mercy,no pitty na ataifanya door by door....ha hahaha hahaha NATO waliiona ile na kwa ujinga wake akafikiri utani au alikuwa deluded,lakini in a serious note kwanini 42yrs in power na kuendesha nchi kama mali binafsi na nani asiyeamini bila NATO kuingilia Benghazi watu wangesafishwa kama kuku...acha aende lakini no any justification kumua lakini naye kawafyeka wangapi?hii ni lesson kwa madikteta wanaojiona semi god,sijui kwanini wale mafisadi hawashughulikiwi namna hii sio kuwaua ila to parade them in our court na kuwapa loooong jail sentences na kuwafilisi mali zao zote na familia zao ingesaidia kupunguza umaskini kwa wengi
 
Reactions: EMT

Who killed them?
Why are Libyans celebrating?
Why should one family decide for the rest of 6m. + people of libya?
Figure out buddy!
 

Haya mkuu,
Ongezea na mawazo yako.
What is new here. Does this absolve Gaddafi? Huyo Gaddafi ndie haswa aliyewapa hao wakoloni 'ufunguo wa dhahabu'.
 
Last edited by a moderator:
...maficho ya mwisho baada ya NATO kusambaratisha msafara wa Comrade
 

Pata muda usome na hii halafu ulinganishe na hiyo ya Al jazeera.
Destroying a Country's Standard of Living: What Libya Had Achieved, What has been Destroyed
 
Fighting and dying for your country is not a shame!- rest in peace colonel ghaddafi!
 
So Obama and his Western allies are really progressing with their bid to try and recolonize Africa. They claim Gaddafi was a dictator. I agree. But is this the way to do things? How about BUSH. That man is the Hitler of our times. So much blood is on his hands yet he is a hero in America. I honestly feel bad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…