The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Ruben M ujue wabongo wengi ni washabiki hatujui kuanalyse. wengi wanadhani situation ya libya wakati wa gadafi ni sawa na yetu sisi huku ya vibaka uchumi(Magamba) . hawa magamba wangekuwa kama Gadfi kwa yale mema hata 20% tanzania ingekuwa mbali. Poleni sana watanzania kwa kutojijua kuwa njyie ni nani juu ya uso wa dunia.

 
U are realy a simple minded.Hujui NTC ilikuwa na Wagadafi wengi tu?. Hivi unadhani bongo yenu mngempa Uranium Russia mngekuwa salama. Mbona mmewanyima warusi Liganga. Acha kukata tamaa usije ukamsapoti mjinga kwa ujinga wake, eti walibya wanayajua machungu yao. Je unaweza Kugarantee ubora wa maisha yao baada ya Gadafi. Wataweza cost sharing kweli. Mi nadhani Gadafi alijisahau kutoweka makombora kuelekeza Washington kama alivyo Iran.

 

heshima kwako mkuu,

riz is too low kumfananisha na waliothubutu kupinga mfumo wa magharibi hata kama hawajafanikiwa
 
Matter of fact, ningependa kusikia maoni ya Yule charlatan Luis Farakhan kuhusu kifo cha Qaddafi..it will be fun to watch.
 
An old proverb says: "It takes a crook to know a crook", another one is about smelling the proverbial "rat". The ICC has managed to combine both when declaring that it needs forensic evidence before it will drop it´s manufactured charges for a show trial against Muammar Ghadafi, Saif Al-Islam Ghadafi, and Abdullah Al Sanussi. NATO declares an end to operation Unified Protector by 31 October. As previously reported, the fact that Libya will continue to experience fighting and destabilization for months if not years while under governance of a proxy government may very well have been the agenda of NATO all along. The global consequences of NATO´s end of operation Unified Protector as well as the legal after-play remain to be seen.

Zaidi hapa Libya; When Rats Smell A Rat. | nsnbc
 
Hizi nchi za NATO ambazo kwa sasa ni muflisi; bankrupt walitafuta "nguruwe aliyenona".

Kuna msemo unaohusishwa na waislamu usemao hivi, "ukiamua kula nguruwe, ule aliyenona"

Libya chini ya Gaddafi ilikuwa ni tishio ambalo lilikuwa ni dhahiri kabisa. Mwezi september 2011, ule mfumo wa kibenki wa Afrika ulikuwa uanze, ambao ungekuwa na mabenki ya aina tatu ili kuondoa utegemezi wa Afrika kwa IMF na World Bank. Kuna mtu ambaye hajui athari za mikopo ya IMF na World Bank? The Daily Bell - Gaddafi Planned Gold Dinar, Now Under Attack na Gaddafi's Plan To Make All Of Africa Self-Sufficient In Water & Food Production Could Not Be Tolerated By The IMF/BIS BANKSTERS! | Financial News

Lakini Libya chini ya Gaddafi ilikuwa na sovereign fund iliyonona, iliyowekwa dhahiri ni 160 billion US dollar kithamani.

Kwa hiyo, US-NATO kutumia kima hicho cha fedha kwa vita ya Libya..(.nimesahau..haitakiwi kusema vita ni operation protect civilians na No fly zone) ilikuwa ni kuwekeza mtaji ili wavune faida. Watajimegea pande kutoka fedha walizozigandisha(Libya (Gaddafi)frozen fund) lakini faida zaidi ni ile kujua kuwa bado shamba lao (Afrika na resources zake) halina mlinzi wala mthubutu wa kuwambia hapa hamchoti maji.

Kuna hii kitu imekaa vizuri They found no fault in Qaddafi so the media invented some for us
 

Mzee watu wanathink locally lakini wenzetu wanaact internationally ndio maana wanaweka EU union na NATO. Wanaunganisha nguvu. Kinachozungumuzwa hapo ni fikra za kuiunganisha afrika kuwa kitu kimoja. duniani wote hatufikirii sawa kuna wachache wenye akili ndio wanaobadili maisha na mara zote huwa hutawatambui mpaka waondoke. Ujinga tulio nao Tanzania ndio tunaoita amani. Na wazungu hawana haja ya kuvuruga ujinga huu maana tumewaachia rasilimali wabebe. Ukiangalia nchi zezote ambazo uchumi unakua kutisha amerika wamewekewa mtego ili wanase. CHINA haipo salama maana viongozi wake wanaitwa madikteta. Think globally mzee. Today mpe uranium CHINA muona kama CCM hawatukwa wabaya na waondoke madarakani aingie mtu wao, sisi ni WAKWAO BWANA WAMESHATUOA.
 

mkuu unatumia masaburi kufikiri nini?umejiunga JF lini?tafuta mtu akupe maana ya msemo jifunze kutokana na makosa ya mwenzako?ndiyo maana ikaitwa INTERNATIONAL FORUM.
 
Baraza la Mpito la waasi wa Libya, NTC, leo litatangaza rasmi kwamba harakati zao zimewezesha kuikomboa Libya kutoka katika utawala wa Marehemu Ghadafi. Tangazo hili limekuja baada ya kufanikiwa kuzikomboa ngome zote zilizokuwa zinashikiliwa na Ghadafi. Hatua ya pili itakuwa ni kukubaliana juu ya muundo wa serikali ya mpitoitakayoongoza nchi hiyo kuelekea kwenye uchaguzi.

Kwa hatua hii, imedhihirika kwamba kumbe nchi ya Libya ilikuwa bado haijakombolewa na wale waliokuwa wanajiita viongozi wa serikali ya mpito walikuwa hawana serikali na hata kitendo cha wao kupandisha bendera mpya na kutaka watambuliwe, kilikuwa pre-mature na hakikustahili kuungwa mkono. Sasa hivi tunapozungumza NTC limebaki kuwa genge la wapiganiaji ambao walikuwa hawajaitia Libya mkononi na wasio na legitimacy inayostahili kuwasikiliza.
 
[TABLE="class: wikitable"]
[TR]
[TD="colspan: 20"]Funds spent by Foreign Powers on War in Libya.[/TD]
[/TR]
[TR]
CountryFunds SpentBy[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]United States[/TD]
[TD]$664 million USD[/TD]
[TD]May 2011[SUP][217][/SUP][SUP][218][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Canada[/TD]
[TD]$26 million USD[/TD]
[TD]June 2011[SUP][219][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]United Kingdom[/TD]
[TD]$400 million USD[/TD]
[TD]June 2011[SUP][220][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]France[/TD]
[TD]$228.9 million USD[/TD]
[TD]July 2011[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]United States[/TD]
[TD]$896 million USD[/TD]
[TD]July 31, 2011[SUP][221][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]France[/TD]
[TD]$450 million USD[/TD]
[TD]Sept. 2011[SUP][222][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]United Kingdom[/TD]
[TD]$1500 million USD[/TD]
[TD]Sept. 2011[SUP][223][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]United States[/TD]
[TD]$1100 million USD[/TD]
[TD]Sept. 2011[SUP][224][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Sweden[/TD]
[TD]$50 million USD[/TD]
[TD]Oct. 2011[SUP][225][/SUP][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Source: 2011 Libyan civil war - Wikipedia, the free encyclopedia
 

Bado laana ya kumwua rais aliyewaongoza kwa miaka 42 badala ya kumshtaki. Damu ya Gaddafi iliyomwagika pamoja na hayo madeni itawafanya Libya wasione kamwe kitu kinaitwa amani wala hali nzuri ya maisha. Kwa mahesabu tu ya kawaida gharama ya kumwondoa Gaddafi ni kubwa kuliko faida Walibya watakayoipata. Kizazi kilichomwua Gaddafi kinaweza mpaka kinamalizika kisione kabisa matunda ya kazi waliyoifanya. Tuwape tu miaka 3 wataanza kugundua kuwa Gaddafi hakuwa mbaya kiasi kile walichomtenda.
 
Maji bure ,umeme bure ,nyumba bure ,mafuta bure ,ukioa au kumaliza shule unapewa mtaji ..benki unakopa/kuchukua hela unavyotaka...au binadamu wakipewa raha sana huwa wanakasirika na kuwa machizi?..Gadaffi hakustahili kufa kifo kama hiki alichokufa..hata kama alifanya mabaya. kuna rais gani amabaye hafanyi mabaya au haui..? mbona mkapa aliua kule visiwani Zanzibar? mbona mkulu kaua Arusha?......
labda wananchi wakikaa bila umeme au kwenye umeme wa mgao ndio huwa wanatulia kama hapa kweli Tanzania tulivyotulia?
i need some help and explanations:
 
Kitendo cha mwanaume kulishwa yeye na familia yake na mwanaume mwingine is the 'Ultimate' humiliation for any society let alone kwa waarab. Na hiki ndicho watu wa Libya wamekuwa wanapigania - wanataka UTU na sio kashfa ya kupewa tende na halua na zulia na mwanaume mwingine. Africa na hasa Tanzania tunatakiwa tujifunze toka kwa hawa Walibya. Ni aibu gani mwanaume mzima unaoenda kuomba vyandarua vya kuzuia mbu?
 
wananchi wanahitaji kitu kimoja tu; Equal distribution of wealth and power
kwa hiyo sasa hivi wameshaingia kwenye pure capitalism ..ndio equal distribution hio ambayo wameililia kwa mda mrefu?
na sasa hivi NATO wameshaanza kujilipa deni lao sijui dola trilion ngapi huko...unafikirihawa jamaa hawatakuja kujuta?
 
hapo umenena mkuu..kweli watu hawapendi kununuliwa suti hivi hivi
 
Reactions: FJM
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…