Ruben M ujue wabongo wengi ni washabiki hatujui kuanalyse. wengi wanadhani situation ya libya wakati wa gadafi ni sawa na yetu sisi huku ya vibaka uchumi(Magamba) . hawa magamba wangekuwa kama Gadfi kwa yale mema hata 20% tanzania ingekuwa mbali. Poleni sana watanzania kwa kutojijua kuwa njyie ni nani juu ya uso wa dunia.
Acha kubwata al Islam si sawa hao muwatajao, hao wanahukumiwa kwa usoshalist wao..... Muwatajao ni vibaraka Wa ubepari ambao wewe unashangilia alf unauona mbaya kmadhara ila bila kujua kuwa ni athari za huo huo ubepari.... Fungua mawazo...
Ooooh Tanzanite haileti faida kwa nchi mara Sekta ya madini inaingiza 3% Kama gawio la faida na 97% linaenda kwa mabepariiiiiiiii
Gaddafi na al-Islam ndio walilokuwa wanapigania pia akiwemo Hugo chavez, Fidel Castro na akina Che Quevara .....
VITA DHIDI YA USOSHALIST NA HAO MABEBARI