The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

hata angeigeuza mchanga wote wa jangwani uwe wa dhahabu lakini yeye hayuko tayari kuwapa wamagharibi wanachotaka..lililobakia ni kumuondoa madarakani ama kumuuwa tu !! hakuna jengine kama kutetea raia mbona hawendi syria ? au kwa kuwa hawana mafuta ? mbona hawendi yemeni ? au kwa kuwa ni rafiki yao ? hawatasimama mpaka wahakikishe huyu jamaa kafa ...........ndipo watasimama na kuchukuwa watakacho kama irak, pesa tele za kuijenga ila hakionekani kilichojengwa...............
ni ya kawaida tu haya .....hakuna jipya ,(walianza kwa Savimbi , Saddam) leo kwa Libya na sijui kesho atakuwa nani ...........
Ni wanafiki lakini ni ajabu viongozi wetu wanawakumbatia! Pia baadhi ya watu hapa JF bila aibu wala soni wanawashabikia.
 
Ghadaff pekee ndie anaweza kukataa amri ya hawa mbwa wa Ulaya na Marekani..kiukweli inaniuma sana najiuliza kila saa nimsaidieje sina njia ama kweli unyonge kitu kibaya sana...hivi kweli Afrika inamuacha mtu kama huyu anaelekea kuuwawa bila sababu ni aibu sana na hili litasemwa kwa ubaya na vizazi vijavyo..
 
Hizi nchi za kiafrika zimeshindwa kabisa namna ya kumuokoa Gadafi?? Huu ni unafiki wa hali ya juu...
 
Mleta thread ametutahadharisha: "Kabla ya kupendelea upande wowote Libya: Soma hii"
amesahau kitu kimoja (kama alikuwa anakijua), kwamba wakati tunapambana na majeshi ya Idd Amin, alikuwa akimsaidia kwa silaha na hata askari ili atupige. Binafsi sina upande wowote katika hilo, nasikitika tu kwamba kuna baadhi ya wachangiaji hawajamuelewa vizuri huyu Ghadaffi, hivyo wanajitahidi kumtetea! Tafakari!
 
Africa tuna ma raisi watatu
1:Mandela
2;Mugabe
3:Ghadaffi
Wote waliobakia Wezi,wabinafsi na hawapendi maendeleo ya wananchi wao
 
Hizi nchi za kiafrika zimeshindwa kabisa namna ya kumuokoa Gadafi?? Huu ni unafiki wa hali ya juu...

Na kitu ninachojiuliza hii mikutano ya AU wanaendelea kukaa ya nini yaani 100% plastic!!! na unafiki mtupu...hata aibu hawaoni jamani oooh Africa....
 
Waafrica hisia ndio zinatupeleka pabaya. Naona wachangiaji wengi wanamtetea Gaddafi kutokana na hisia (sentiments) bila kuchambua kiundani sera za huyu dikteta. Of course NATO needs to be condemned lakini hiyo haina maana utawala wa Gaddafi ni wa kushangiliwa!
 
Jamani angalieni waandamanaji wenyewe!!! you now draw your own conclusion!!!

images
 
U.S. Wants Gaddafi Toppled By September
Paul Joseph Watson
Infowars.com
Friday, July 8, 2011

Gaddafi.jpg


The United States and France have set a deadline of September 2nd to topple Libyan leader Colonel Muammar Gaddafi, with NATO powers ready to inflict a crushing blow if Gaddafi refuses to step down peacefully, according to Israeli intelligence sources based in Washington.

As we reported on Monday
, NATO is reportedly preparing for a full ground invasion in order to oversee a final “coup de grace” that will manifest itself as a “large-scale, all-out military bid to kill or oust” Colonel Gaddafi. NATO powers are looking to end the war in Libya within the next two months so that the conflict will be over by the time Barack Obama and French President Nicolas Sarkozy convene for a crucial Israeli-Palestine peace summit in Paris on September 2nd. Obama and Sarkozy’s credibility as peacemakers will be completely undermined if they are still overseeing attacks on Libya, which is why a desire to bring the bombardment to an end is gaining greater urgency.

With Washington eager to prevent the Palestinian Authority from attaining full status as a member of the United Nations, as PA Chairman Mahmoud Abbas prepares to file a request with the UN Security Council next week, a ploy to defer the move that will allow the US government to negotiate a peace deal on its own terms is instead in the works.

However, Obama and Sarkozy’s plan to meet with Abbas and Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu in the French capital on September 2nd is wholly dependent on the war in Libya being finalized by that time.

“According to the US-French plan, it will take place shortly after the Libyan war is brought to a close – ideally by a four-way accord between the US, France, Muammar Qaddafi and the Libyan rebels or, failing agreement, by a crushing NATO military blow in which the United States will also take part. The proposed accord would be based on Muammar Qaddafi’s departure and the establishment of a power-sharing transitional administration in Tripoli between the incumbent government and rebel leaders,” reports DebkaFile, an Israeli intelligence-gathering outlet that has proven accurate in the past.

InfoWars.com
 
Kwani is HE (Ghadaffi) still strong kijeshi na kifedha?
Why wamagharibi wanamkhofia kiasi hicho?
 
Even if he go...hajapiga magoti kwao na hilo ni zuri,mwanaume unafia unachokiamini!! hakuna kulia lia anauwawa kwa ajili ya Mafuta and that is all..now Tanzania to follow once mkisema Barrick ilipe kodi kubwa zaidi mtaona cha moto..mana watu wenye akili wanajua Ghaddaff lazima aondolewe mana yeye hawatii hawa mambwa sio kwa ajili ya watu wa Libya....

Hii ni aibu kwa Afrika wala sio hata Libya ambayo watu wake wanaishi vizuri sana na sasa watajutia sana...
 
oil oil is bigger than what we believe..beautiful country like Libya destroyed by stupid westerner what a shame..kill them all Qaddafi if you get a chance.
 
Hizo kauli za Marekani na washirika wake tumeishazizoe! Iraq walisema vita itakuwa ya wiki mbili, leo kikowapi? Afghanistan, walisema vita itachukuwa Mwezi, leo wameishia kutawala Kabul peke yake, kila siku wanapokea majeneza ya maiti zao
 
Back
Top Bottom