Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 896
Gadafi ni Mwanaume wa shoka! Ni chuki tu za Ulaya na Marekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuki binafsi!si aondoke tu jamani. mwisho wake utakuwa nini kama siyo kuondoka?
Uchungu wa kweli wa nchi yake kwani akiondoka watakuja wale kama hawa! si umeona kilichotokea alipoondoka Mwalimu hapa kwetu?Mkuu! Kwa mazuri yote hayo ya nini kufia madarakani????
Ni wanafiki lakini ni ajabu viongozi wetu wanawakumbatia! Pia baadhi ya watu hapa JF bila aibu wala soni wanawashabikia.hata angeigeuza mchanga wote wa jangwani uwe wa dhahabu lakini yeye hayuko tayari kuwapa wamagharibi wanachotaka..lililobakia ni kumuondoa madarakani ama kumuuwa tu !! hakuna jengine kama kutetea raia mbona hawendi syria ? au kwa kuwa hawana mafuta ? mbona hawendi yemeni ? au kwa kuwa ni rafiki yao ? hawatasimama mpaka wahakikishe huyu jamaa kafa ...........ndipo watasimama na kuchukuwa watakacho kama irak, pesa tele za kuijenga ila hakionekani kilichojengwa...............
ni ya kawaida tu haya .....hakuna jipya ,(walianza kwa Savimbi , Saddam) leo kwa Libya na sijui kesho atakuwa nani ...........
Nadhani hilo wameliona!wakimchelewesha mpaka september 11, wataangamia wao.