The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Hapo umesema kweli Wengi wangependa kupata dalili ya ukweli wa haya maneno.
Kama ambavyo tunajua hali zilivyo kwenye sayari ambako hatujafika kwa kutumia vile tulivyonavyo hapa ardhini.Vivyo hivyo kwa kutumia akili tulizonazo na matukio yaliyopita hatuhitaji kuingia mitaani Libya au ndani ya ngome za majeshi yanayopigana kujua hali inayofuatia baada ya hapa.
Ukweli tunaujuwa kwa kuangalia hali kule ambako US na allies waliingia kiulaini na hata kuungwa mkono na watu kabla hawajaerevuka baadae.Kwa sasa ni sahihi kusema Amerika na sera zote za vita tangu Bush kule Afghanistan hawajawashinda Taliban kiasi kwamba tishio lao linawafanya US washauriane kuondoka hata kwa aibu.
Iwapo hali kule ni hivyo, kwa Libya ambako mambo yamekwenda kombo tangu mwanzo itakuwa mbaya zaidi.Haitowezekana kuiteka Libya na kuikalia kwa vyovyote na mafuta hayatochimbika kama ilivyopangwa.
Gadhafi kama binadamu hatodumu lakini uhakika atawacha umma ambao hauna urafiki na waasi wala NATO.Baada ya hapo kilicho sahihi ni kuwa UN,NATO na US watakuwa wamefanikiwa kuivuruga nchi ya Libya lakini malengo yao yako hewani kama ambavyo wamefanikiwa kujenga barabara Afghanistan lakini wananchi hazijawashawishi kukubali ukoloni.Nafasi ya kutungua helkopta wakiipata wanaitumia.
Swali ni jee na Amerika nayo ina uwezo wa kuhimili hali hiyo kwa muda gani huku ulimwengu tofauti na zamani wanawaangalia kwa mtazamo wa watu waovu badala ya wakombozi na watetezi?.

Hapo kwenye red umeanza kumwaga manyanga eh?
 
Hali ya mchecheto ndani ya chumba cha habari



Presenter at state-run Libyan television waves gun and says she will defend the channel. She vows:

"With this weapon, I either kill or die today, you will not take al-Libiyah channel. You won't take Jamahiriyah channel, Shababiyah channel, Tripoli or all of Libya, and even those without a weapon are willing to be a shield in order to protect their colleagues at this channel. We are willing to become martyrs."

 
Last edited by a moderator:
Britain walisema "Gaddafi is on his way to Venezuela" PROPAGANDA William Hague Spreads False Intelligence Of Gaddafi Fleeing To Venzuela 02.21.11 - YouTube

Baadae Italy walisema Gaddafi has left Tripoli Gaddafi: You can't get me - YouTube

Hizi propaganda ni kiboko...Hii ni mara ya ngapi Gaddafi anakimbia?

Atakwenda wapi?


Mkuu hiyo ilikuwa enzi hizo, lakini kwa sasa Gadaffi ameelemewa kwa sana. Put aside all the propaganda, inaonyesha wazi kuwa hali si nzuri kwa Gadaffi. Mpaka umemwona yule TV presenter wa kike wa Libyan state TV akiwa studio na bastola na magwanda yake unafikiri mchezo? Whether or not you support Gadaffi inaonyesha kabisa kuwa he is hanging by a thread. I wish he had stepped down mwenyewe kabla ya revolutions hazijaanza. He could have stepped down but rule the country by a remote control kama anavyofanya.

Rebel wamerudishwa nyumba anyway when they wanted to enter the Western Gate to Libya.



Halafu hii Channel ilikuwa wapi wakati Putin anafanyiza Chechnya? Wakati wa vita ya Chechnya ulikuwa unapata habari gani kwenye hii channel. Inapokuja Russia na Marekani obviously itakuwa ni propaganda tuu. Tafuta neutral sources of information Mkuu. Siyo Russia TV.
 
Last edited by a moderator:
Libyan govt spokesman live on TV. He appeals for immediate ceasefire and halt of nato's agresssion
 
Kuna kitu hakiko sawa!
Siku za utawala-ng'ang'anizi wa Kanali Gaddafi zinaelekea ukingoni.

Libya conflict: Heavy gunfire erupts in Tripoli


_54720191_012695062-1.jpg

Explosions and sustained gunfire have been heard in parts of Tripoli, as rebels close in on the Libyan capital.

Habari zaidi

Itakuwa vyema kama tutaanza kufikiria Africa baada/bila ya Gaddafi!
Hiyo picha uliyotumia hapo juu ndiyo hiyo hiyo iliyotembezwa na bbc na aljzeera kutwa nzima jana.
Hebu askari fikiria! kweli hizo sporadic gunfire zinaweza kuporomosha maghorofa kama hayo?.Huoni kwamba hiyo ni kazi ya B52 na F16 fghter jets za siku za nyuma walizopelekewa Aljazeera na BBC..
Halafu na wewe huoni aibu kupaza sauti ya kitu cha uongo na propaganda za kivita kama hicho?


 
He says millions of Libyans are against the rebels. NATO has been attacking everything including schools, hospitals. Nato has been acting professional opening the way for the rebels.
 
He says NATO is preparing to kill everyone in Libya. Human lives is irrelevant to them, he says
 
As for the rebels, he says we know your names and faces. People are being executed in the streets. Taking people out of their homes and kill them on the streets. They setting fire to people houses.
 
Tripoli is a city 2 million people, who support the Leader and the government. The international community falsely said we were going to do a massacre in Benghazi. But the rebels are doing exactly the same. Rebels do not have any true political agenda. They are just greed. If they come to Tripoli, they will not have any political agenda to establish. When they come here it will be a revenge.
 
Halafu hii Channel ilikuwa wapi wakati Putin anafanyiza Chechnya? Wakati wa vita ya Chechnya ulikuwa unapata habari gani kwenye hii channel. Inapokuja Russia na Marekani obviously itakuwa ni propaganda tuu. Tafuta neutral sources of information Mkuu. Siyo Russia TV.
Mkuu
Wewe unapendelea kupata habari kutoka channels zipi?

Mimi huangalia na kusikiliza zote zote, CNN, BBC, Al jazzerah, CCTV, Press TV, RT, ABC news, MNSBc, VOA, RFI, Euronews na kuchanganya na zangu.

Tusaidie orodha na links ya hizo neutral sources of info. Natanguliza shukrani zangu kwako.
 
He says NATO has provided these rebels with weapons, logistics, and political support. So we hold Mr Obama, Cameron and French President, morally responsible. We have thousands of forces. The rebels have got nothing but for the support of Nato. They are not ligitimate people.
 
He says if Tripoli is capture, there will be blood every where. We want to achieve peace and justice through the African Road Map. 53 African states plus others Asian states support us. But NATO is blocking this. They are only interested for themselves, but not for Libyan.
 
He say today, we have credible information of executions of more than 34 people in the Western part of Tripoli. Most executed were women. He say some women were also raped today and they are seeking for help. You can go there and ask the victims. They want help.
 
Back
Top Bottom