Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo umesema kweli Wengi wangependa kupata dalili ya ukweli wa haya maneno.
Kama ambavyo tunajua hali zilivyo kwenye sayari ambako hatujafika kwa kutumia vile tulivyonavyo hapa ardhini.Vivyo hivyo kwa kutumia akili tulizonazo na matukio yaliyopita hatuhitaji kuingia mitaani Libya au ndani ya ngome za majeshi yanayopigana kujua hali inayofuatia baada ya hapa.
Ukweli tunaujuwa kwa kuangalia hali kule ambako US na allies waliingia kiulaini na hata kuungwa mkono na watu kabla hawajaerevuka baadae.Kwa sasa ni sahihi kusema Amerika na sera zote za vita tangu Bush kule Afghanistan hawajawashinda Taliban kiasi kwamba tishio lao linawafanya US washauriane kuondoka hata kwa aibu.
Iwapo hali kule ni hivyo, kwa Libya ambako mambo yamekwenda kombo tangu mwanzo itakuwa mbaya zaidi.Haitowezekana kuiteka Libya na kuikalia kwa vyovyote na mafuta hayatochimbika kama ilivyopangwa.
Gadhafi kama binadamu hatodumu lakini uhakika atawacha umma ambao hauna urafiki na waasi wala NATO.Baada ya hapo kilicho sahihi ni kuwa UN,NATO na US watakuwa wamefanikiwa kuivuruga nchi ya Libya lakini malengo yao yako hewani kama ambavyo wamefanikiwa kujenga barabara Afghanistan lakini wananchi hazijawashawishi kukubali ukoloni.Nafasi ya kutungua helkopta wakiipata wanaitumia.
Swali ni jee na Amerika nayo ina uwezo wa kuhimili hali hiyo kwa muda gani huku ulimwengu tofauti na zamani wanawaangalia kwa mtazamo wa watu waovu badala ya wakombozi na watetezi?.
hahahahahaaa!!!Mimi niko upande wa gadaf, wazungu wanafiki wazandiki na wezi tu. AU hawana lolote wanashndwa take action so siko nao
Britain walisema "Gaddafi is on his way to Venezuela" PROPAGANDA William Hague Spreads False Intelligence Of Gaddafi Fleeing To Venzuela 02.21.11 - YouTube
Baadae Italy walisema Gaddafi has left Tripoli Gaddafi: You can't get me - YouTube
Hizi propaganda ni kiboko...Hii ni mara ya ngapi Gaddafi anakimbia?
Atakwenda wapi?
It is just a repeated call!
Unaikumbuka hii?
END WAR: Gaddafi's Message To Benghazi Saying He Offers Amnesty & Peace But Obama Says Bloodbath - YouTube
Kuna kitu hakiko sawa!
Siku za utawala-ng'ang'anizi wa Kanali Gaddafi zinaelekea ukingoni.
Libya conflict: Heavy gunfire erupts in Tripoli
![]()
Explosions and sustained gunfire have been heard in parts of Tripoli, as rebels close in on the Libyan capital.
Habari zaidi
Itakuwa vyema kama tutaanza kufikiria Africa baada/bila ya Gaddafi!
MkuuHalafu hii Channel ilikuwa wapi wakati Putin anafanyiza Chechnya? Wakati wa vita ya Chechnya ulikuwa unapata habari gani kwenye hii channel. Inapokuja Russia na Marekani obviously itakuwa ni propaganda tuu. Tafuta neutral sources of information Mkuu. Siyo Russia TV.