Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fights going on in Zawiya also..Nadhani its the true beginning of the civil war.Mohamed Ghadafi, mtoto wa ghadafi ambaye ni 'less aggressive' ametoroka. Alipovamiwa ndani ya nyumba akawambia rebels yeye atakuwepo nyumbani, wakamuweka under house arrest. Something happen in between contributed by inexperience ya rebels, he has escaped.
Fierce fighting is still going on at Bab al azizia( compound). Still the whereabouts of colonel remains a puzzle.
Rebels pushed back in some areas.
CNN,AP,BBC
Kumbe hata hao magaidi hawakumkamata mtoto wa Gddafi.Kawaibukia CNN pale hotelini.Kamruhu ampige picha na kumrekodi video.Propaganda hazisaidii lolote.Wangekuwa hawapendwi na wananchi isingekuwa hivyo.Mtoto huyo ni Sahif Al Islam.
kazi ipo, naona CNN wamemwonyesha akihojiwa na reporters then akaingia kwenye SUV akiwa mtu huru kabisa.hizi habari bana....
kumbe hajakamatwa..
aljazeera wamemohoji.....
yupo tripoli bado
kazi ipo, naona CNN wamemwonyesha akihojiwa na reporters then akaingia kwenye SUV akiwa mtu huru kabisa.
usishangae kesho kusikia habari zingine...
hizi habari bana....
kumbe hajakamatwa..
aljazeera wamemohoji.....
yupo tripoli bado