The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Yes hakuna ubishi kabisa lakini ni nani ambaye si mkosaji na aanze kumpiga jiwe mwanamke huyu mzinzi? Kila mtu na dhambi lakini na tupime mabaya na mzauri yapi yatakuwa zaidi?
 
Mohamed Ghadafi, mtoto wa ghadafi ambaye ni 'less aggressive' ametoroka. Alipovamiwa ndani ya nyumba akawambia rebels yeye atakuwepo nyumbani, wakamuweka under house arrest. Something happen in between contributed by inexperience ya rebels, he has escaped.

Fierce fighting is still going on at Bab al azizia( compound). Still the whereabouts of colonel remains a puzzle.

Rebels pushed back in some areas.

CNN,AP,BBC
Fights going on in Zawiya also..Nadhani its the true beginning of the civil war.
 
Kumbe si kweli kuwa mtoto wa Gaddafi alikamatwa,kaenda hotelini kwa mwandishi wa CNN.This live now in CNN.
 
Kahojiwa na kasema Gaddafi na yeye bado yupo Tripoli.Alikuwa na convoy,akamruhusu mwandishi wa CNN ampige picha na kurekodi video.Sasa sijui kuhhusu huyo mmoja aliyebakia kama na yeye ni kweli alikamatwa.Mauza uza tu.Kumbe prapaganda miingi.
 
wavamizi tu hao Nato na washenzi wengine wanaoshobokea.mwenzio akinyolewa....
 
Kumbe hata hao magaidi hawakumkamata mtoto wa Gddafi.Kawaibukia CNN pale hotelini.Kamruhusu ampige picha na kumrekodi video.Propaganda hazisaidii lolote.Wangekuwa hawapendwi na wananchi isingekuwa hivyo.Mtoto huyo ni Sahif Al Islam.
 
Kumbe hata hao magaidi hawakumkamata mtoto wa Gddafi.Kawaibukia CNN pale hotelini.Kamruhu ampige picha na kumrekodi video.Propaganda hazisaidii lolote.Wangekuwa hawapendwi na wananchi isingekuwa hivyo.Mtoto huyo ni Sahif Al Islam.

Nilitaka kushangaa yaani Al Islam akamatwe kama kuku?, habari nyingine ni kuwa Mohammed Gaddafi naye kawatoka waasi under house arrest. This thing might be very premature to comment.
 
Hahahaaaaa sasa mbona ICC walikuwa na kimbelembele eti wameshathibitisha kuwa Saif tayari yuko kizuizini? Hahahahaaa hii kali kweli kweli! Yaani lijamaa nimeliona liko kwenye Land Cruiser linatanua tu....teh teh teh
 
yaani hawa waasi wametafuniwa kila kitu na nato but still hata kumeza wanashindwa
 
Hata kaka yake Mohammad kawatoroka, inaonekana tunalishwa propaganda na hizi media au miongoni mwa waasi kuna pro-Gaddafi wanaofanya usanii kupoza makali ya vipigo vya NATO. Jana msemaji wa upinzani alisikika akiomba NATO waache mashambulizi; eti kazi iliyobaki wangemaliza wenyewe!
Usishangae baada ya siku 2 wakafurushwa toka Tripoli!
 
Hii thread ndefu na ya muda mrefu nashauri ifungiwe mara moja kwani haijadiliki tena.
Muanzishaji wake ameonekana wazi kwamba ni adui wa Libya,Ghadafi na Africa.Ni mwepesi kuamini propaganda hivyo anavuta wachangiaji kujadili porojo.
Ushauri wangu nautoa baada ya kugundua kuwa muanzilishi ameshangiria kilichoitwa kushikwa kwa Tripoli na rebels na kwamba mtoto wa Ghadafi kakamatwa na rebels na anapelekwa kwa Ocampo.Ame-edit taarifa yake ya zamani alipoanzisha kwa kujaza propaganda za vyombo vya kimagharibi vinavyopanga kuikoloni upya dunia.
Ukweli ni kuwa Saif yuko Tripoli na baba yake.
Ushauri huu ukizingatiwa utamuokoa muanzilishi wa thread na fedheha zaidi na kutoa nafasi kwetu kujadili mada nyengine zenye uhusiano na Libya.
 
Kutokana na hali ya mauza uza ya Libya ipo haja wachangiaji sasa wakahamia hapa kwani kichwa cha habari ndio kina mantiki kujadiliwa.
 
Back
Top Bottom