Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Hii familia ina deserve kuwa navyo hivi vitu kwani wamekuwa madarakani zaidi ya miaka hamsini hivyo haishangazi....wapo viongozi bongo wana zaidi ya hicho tunacho ona hapo na wameapata madaraka miaka na tisini na sita "1996 kuja 2009.

pamoja na udikteta na Ufisadi uwezi linganisha Libya na Bongo, pia alikuwa alama ya umoja na mkongwe Afrika aliyepanika kuifanya afrika kuwa moja, kitu ambacho ni adimu kwa viongozi wa kiarabu

NENDA GADDAFI ILA WEWE NI MWAMBA...
Kukamatwa kwa mtoto zilikuwa medani za kivita ulikuwa uongo uliotengezwa kupumbaza watu imeshapita let us concentrate on the current situation unaonaje who is winning the war Gaddafi?

Sasa cha moto atakiona.asubiri kudhalilishwa na kunyongwa wakati wowote. jinamizi la saddam liko karibu yake.Baada ya GADAFI nani atafuata?
Tunajua alipojificha Gaddafi - NTC
Friday, August 26, 2011
A minister in Libya's National Transitional Council said on Friday rebel forces were surrounding an area of Tripoli where Muammar Gaddafi and his entourage were hiding and were monitoring their presence before attempting to capture them.
"The area where he is now is under siege," Justice Minister Mohammed al-Alagi told Reuters. "The rebels are monitoring the
area and they are dealing with it."
Alagi, a lawyer who said he had come to Tripoli to establish the new "legal authority" declined to specify where Gaddafi was. Other rebel officials have said they believe the fallen strongman has taken refuge in the Abu Salim area in the south of the capital -- an area that saw clashes in recent days.
Rebel fighters have said earlier this week that they thought they had Gaddafi cornered but these reports have turned out to be inaccurate, or at least premature.
- Reuters
Relax hasira hazisaidii kitu hivi neno medani ndilo limesababisha useme haya yote au una sababu zako, tulia babu yako anyolewe aliyataka mwenyewe.Medani za kivita unazijua ama unaropoka tu?!! Nenda katafute maana ya Neno Medani za kivita vizuri usije kusema hapa uongo labda unafukuzana na umeme usikukatikie kabla hujatuma hapa pumba zako!!! inaa ua kuandika vitu usivyojua...