The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Marytina.. We unajua lipi/yapi kuhusu Guadaffi? Maana hukumpenda tena umemchukia kutoka moyoni!
 
Hivi hao wanamgambo ninaowaona hapo pichani hawajavaa mabuti ya kijeshi?
Simwoni hata mmoja aliyevaa sendos za nylon.

428447398.jpg


Ndibalema unamwona aliye upande wa kushoto kwa Gaddafi mwenye bunguki amevaa sandos za nylone, upooooooooooo?
 
Mkuu hayo yote alifanya kwa pesa za walibya na ni si kutoka mfukoni mwake hata Adolf hitler nae alifanya tena mazuri zaidi yake! Lakini je! Hatakama ni wewe ukapewa kilakitu lakini ukakosa uhuru itakuwaje? Ukapewa vitu ukanyimwa utu itakuwaje? Just try to think before write this pumba.
Acha hasira,kama kuna mnaobandika mabaya aliyofanya,mimi kubandika yale mazuri kwa nchi yake unaita pumba?Haikuwa lazima kuchangia.
Huoni heading ya habari inasema "The other side"?
 
The car that Gaddafi himself designed!


The car can go hundreds of miles on a flat tire, a feature that could come in handy while driving in the vast Libyan desert. Other safety features include a device to cut off the fuel supply to avoid a fire in case of accident.
Domenico Morali, CEO of Tesco TS SpA, an automotive design company based in Turin, Italy, said Qaddafi joined in discussions about the car's styling and asked for an original car using Libyan materials including marble, leather and fabric.

The "Libyan Rocket", as the prototype is called, is described as an "elegant sedan" 17 feet long, more than six feet wide, with a 3-liter, V-6 gasoline engine Domenico Morali, CEO of Tesco TS SpA, an automotive design company based in Turin, Italy, said Qaddafi joined in discussions about the car's styling and asked for an original car using Libyan materials including marble, leather and fabric.
 
Marytina.. We unajua lipi/yapi kuhusu Guadaffi? Maana hukumpenda tena umemchukia kutoka moyoni!
 
Unaumwa wewe! Hivi unajua jinsi ilivyo vigumu kumzushia mtu kifo? Kama ni mzima kweli si ajitokeze watu tumwone,arushe hata video kukanusha kifo chake, inauma sana lakini ukweli ni kwamb mzalendo wetu is no more

We kweli punguwani na ni mgeni na yanayotokea Libya.
Hivi Hamissi Gadaffi amezushiwa mara ngapi kuuawa?
Tena sio na mkurupukaji kama wewe bali ni kwa hao vibaraka wenzako wa NATO?

Kama huna unalojuwa nenda kachukue kopo ukachambe
 
Mkuu Gang Chomba.

Utasubiri sana gaidi Gaddaf habari zake zilishamalizika tangu jana asubuhi.

Gaidi ni mtu gani?
Gaddafi ni kiongozi halali wa Libya...
Usitudhalilishie kiongozi wetu waafrika.
Tafadhali sana
 
so sad indeed! Angewaachia nchi yao kama walivyoitaka hope yasingemkuta.
 
libya7__058acr.jpg


Tripolli Intrernational Airport.....Mambo ni marbles tu!
Libya-Tripoli.Emhemmed_Elmgharief_Street_Tripoli.jpg

Above ni Emhemmed Elmgharief Street,Tripoli Libya
 
...Haya maisha yana maajabu yake! Khadaffi aliyewaita wapinzani wake Panya; tazama amefia wapi? Kwenye mtaro wa maji machafu...we all know hizi ni sehemu ambazo aghalabu panya hupatikana!
 
Walitakiwa wamchape kwana Viboko wenzake wengi wa africa hata kwetu waone na wajifunze kuwa nchi ni ya wananchi na si yao
 
428447398.jpg


Mabilioni yote aliyojilimbikizia hapa duniani ameyaacha, na mambo yalivyo hata watoto wake hawana nafasi ya kuchuma matunda yake wala kurithi. Yote ameyaacha hapa hapa na yeye zawadi pekee aliyopewa ni sanda tu. Binadamu jivunie ukiwa na nafasi na katu usiichezee. Najifunza mengi katika tukio la Libya nikilinganisha na yaliyotokea Misri, wa Mubarakh anaonekana kuwa na akili iliyotulia na kuamua kuachia ngazi kwa hiari bila kumwaga damu wala kujidhuru mwenyewe kuliko kukomalia kama Gadafi. Kwa mwendo huu hata mazuri mengi aliyofanya yamefukiwa pamoja yake.
 
Back
Top Bottom