trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 744
hahahahaaaaaSasa ndio tujiepushe na bangi za CDM pia ipo siku watamuua mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaaaaaSasa ndio tujiepushe na bangi za CDM pia ipo siku watamuua mtu
Hivi hao wanamgambo ninaowaona hapo pichani hawajavaa mabuti ya kijeshi?
Simwoni hata mmoja aliyevaa sendos za nylon.
Acha hasira,kama kuna mnaobandika mabaya aliyofanya,mimi kubandika yale mazuri kwa nchi yake unaita pumba?Haikuwa lazima kuchangia.Mkuu hayo yote alifanya kwa pesa za walibya na ni si kutoka mfukoni mwake hata Adolf hitler nae alifanya tena mazuri zaidi yake! Lakini je! Hatakama ni wewe ukapewa kilakitu lakini ukakosa uhuru itakuwaje? Ukapewa vitu ukanyimwa utu itakuwaje? Just try to think before write this pumba.

hahahahaaaaaSasa ndio tujiepushe na bangi za CDM pia ipo siku watamuua mtu
Unaumwa wewe! Hivi unajua jinsi ilivyo vigumu kumzushia mtu kifo? Kama ni mzima kweli si ajitokeze watu tumwone,arushe hata video kukanusha kifo chake, inauma sana lakini ukweli ni kwamb mzalendo wetu is no more
Mkuu Gang Chomba.
Utasubiri sana gaidi Gaddaf habari zake zilishamalizika tangu jana asubuhi.
I hope Mugabe is listening to your piece of advice