The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Ila urais unaonekana mtamu! kwani kati ya waliodondoshwa kwa nguvu ya umma, ni jamaa wa Tunisia tu ndiye aliepata kuomba msamaha kabla hajatimua
 
Umekurupuka mkuu,wana JF wanagawanyika sana kwenye hii issue ya Libya.

Wakurupukaji mnakuwa kama vipofu mkifunguliwa macho mkaona mkonga wa Tembo basi kila kitu kikubwa ni kama mkonga wa tembo.

Nasema hivyo cause mlishadai kuwa hii ni forum ya chadema ili kuishusha ionekane ni bias.

Sasa ni huu upupu,again,think before acting.
Mie nachoshangaa ni ile kujifanya wanasikitika wakati walibya wao wanafurahi kuondoka kwa mtu aliyekuwa kikwazo kwao.
 
..unajua kauli za Gaddafi ndizo zilikuwa za ajabu, wewe huwezi kuwaambia watu wazima na akili zao kwenye hi karne ya 21 eti hawapo tayari kujitawala!!
Kwani hapo cha ajabu kipi,magamba wanaodai siku zote kwamba wapinzani hawajawa tayari kushika dola mbona huwasemi? Wako tayari hata kuua na kuchakachua ili waendelee kung'ang'ania madarakani kwa kisingizio hicho.
 
Mie nachoshangaa ni ile kujifanya wanasikitika wakati walibya wao wanafurahi kuondoka kwa mtu aliyekuwa kikwazo kwao.
Wanao furahi ni hao wanaowekwa kwenye video za propaganda.Wasio furahi wako terrorized na unyama unaoendelea huko ambao huonyeshwi kwenye hizo video.Na kwahiyo wako kimya kwasababu hakuna anayewalinda kama mnavyoambiwa wanalindwa.Wanauwawa.

Na walichomfanyia Gaddafi ni unyama ili kuendelea kuwanyamazisha.

Kungekuwa na utoaji wa habari wenye mlingano sawa kutoka kwenye hizo source zako za habari unazoziamini,basi ungeshangazwa pi na umma wa walibya wasiosapoti hao waasi.
 
Jamani hii dunia ina watu wa ajabu. Haka kabibi Kachawi kanasema hivi.

Secretary of State Hillary Clinton said on Sunday the United States supports a possible U.N. investigation into the death of Libyan leader Muammar Gaddafi.

"You know, I think it's important that this new government, this effort to have a democratic Libya, start with the rule of law, start with accountability," she said.

US backs probe into circumstances of Gaddafi death | News by Country | Reuters

Lakini ameshasahau hii Hilary Clinton says Muammar Gaddafi captured or killed justified. - YouTube

Pia amesahau hii Clinton sees Qaddafi news on BlackBerry - YouTube na hii Hillary Clinton on Gaddafi: We came, we saw, he died - YouTube

Huyu mwisho kabisa Hillary Clinton: Gaddafi death is start of a 'new era' for Libyans - YouTube

U.S. Wants Gaddafi Dead Or Alive, says Secretary of State Hillary Clinton in Tripoli, 18.10.2011 - YouTube
Mchongo huu hawa NTC wakishaibiwa sana mwishowe watashtuka na kujifanya kutokubaliana na hao washenzi wa kizungu,ndipo watachenjiwa kibao na kupewa kesi ya mauaji ya Gadhaf na wao kuondolewa madarakani. Huu ni utabiri wangu. Nalog off
 
Unajua gharama ambayo TZ inalipa kwa USA kuwa na embassy yao kubwa kwa East and Central Africa kuwepo TZ? Unajua gharama ambayo TZ inaingia kwa kupewa vyandarua na BUsh? Unajua gharama TZ inayolipa kwa Ujio wa Busha na kukaa na kulala TZ kwa siku 3? Unajua gharama TZ inayolipa kwa migodi ya madini kutwaliwa na Makampuni ya kigeni?

Those who do not have even a little brain only see problem of others even though theirs are at a brink of extinguishing their lives. Think globally, act locally.
Umeshawahi jiuliza maswali hayo yote kila sikuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
nimecheck kaka Al jazeera. Watu ni wengi sana. Hii ni ishara utulivu na amani utakuwepo tu. Na inaonyesha walichoshwa na Gadaff
 
Ndipo hapo napowashangaa hao rats..

Kama wao wameamua kumuua kwa kumdhalilisha Qadafi ..

Wanafikiri wao watakufaje? guess what hawa watauliwa vibaya sana na siku si nyingi
 
Wakuu tunapaswa pia kuangalia upande wapili wa sarafu,
ikiwa hizi takwimu hizi ni sahihi lazima tuzame ndani kwa tafakari za kina kama GTS,na sikushabikia kuwa wa libya imekula kwao,tujiulize nani amewafikisha wa Libya hapo?

Kwa mtizamo wangu tunapaswa kuwaepuka watawala wa milele Afrika
Watawala kama hawa nijanga kwa ustawi wa demokrasia
ya na ustawi wa Afrika,waafrika hawawezi kunyamaza
pale wanapoona rasilimali zao zinageuzwa kuwa mali ya familia,

Lakini pia kuona utawala wa nchi unakuwa pia wa familia
ni nyie tu wabongo wachache mliofunikwa na blankent
la uoga mlio tayari hata kutii amri ya riz1.

Tuwaogope watawala mithili ya Gadafi mana wanaacha
mzigo usiobebeka kwa wananchi.

Niungane na wachangiaji wengine kuwa bora hasara hii
kwa funzo na faida kwa vizazi vijavyo,hii ni sawa na
mbegu ya haradali.


 
Hivi ni kweli ukikaribisha mende nyumbani hawaondoki tena?

The international community (US-NATO) is ending the military intervention in Libya, with both Nato and the United Nations taking steps to wind down the operation that helped bring down Muammar Qaddafi.

But discussions continue about possible follow-up missions to help Libya's interim government stabilise the country.

Zaidi hapa Nato and UN to wind down military intervention in Libya - The National
 
Ndipo hapo napowashangaa hao rats..

Kama wao wameamua kumuua kwa kumdhalilisha Qadafi ..

Wanafikiri wao watakufaje? guess what hawa watauliwa vibaya sana na siku si nyingi

Funga domo lako.Utaombeaje mabaya binadamu wengine.Waombee mema.
 
Nonda,wanajeshi watakuwa wale wale,ila jina tu litabadilika na kuwa chini ya mwavuli wa UN,yani "UN Peace keeping Forces"
 
Watanzania kwa uwongo bana eti huyu ndio kamuua Gaddafi...Kweli JF imeishakuwa sehemu za porojo..

Gaddafi kauwawa na Nato tena Ufaransa..

Mtoto wa mtumwa ni mtoto wa mtumwa tu..

Hiv ni kwa nini kila anayetoa hoja yake kama asio vile anataka msomaji LAWAMA zinaishia kwa JF?kwani akina invisible wana ukwelimita?????
Tuwe tunaangalia uhalisia.ukiona mtu kasema kitu sicho rekebisha kwa data zako zenye source.Sio kulalamika na kulialia kama....
 
Back
Top Bottom