Ng`wanakidiku
JF-Expert Member
- Apr 18, 2009
- 1,195
- 232
Ila urais unaonekana mtamu! kwani kati ya waliodondoshwa kwa nguvu ya umma, ni jamaa wa Tunisia tu ndiye aliepata kuomba msamaha kabla hajatimua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nachoshangaa ni ile kujifanya wanasikitika wakati walibya wao wanafurahi kuondoka kwa mtu aliyekuwa kikwazo kwao.Umekurupuka mkuu,wana JF wanagawanyika sana kwenye hii issue ya Libya.
Wakurupukaji mnakuwa kama vipofu mkifunguliwa macho mkaona mkonga wa Tembo basi kila kitu kikubwa ni kama mkonga wa tembo.
Nasema hivyo cause mlishadai kuwa hii ni forum ya chadema ili kuishusha ionekane ni bias.
Sasa ni huu upupu,again,think before acting.
Kwani hapo cha ajabu kipi,magamba wanaodai siku zote kwamba wapinzani hawajawa tayari kushika dola mbona huwasemi? Wako tayari hata kuua na kuchakachua ili waendelee kung'ang'ania madarakani kwa kisingizio hicho...unajua kauli za Gaddafi ndizo zilikuwa za ajabu, wewe huwezi kuwaambia watu wazima na akili zao kwenye hi karne ya 21 eti hawapo tayari kujitawala!!
Wanao furahi ni hao wanaowekwa kwenye video za propaganda.Wasio furahi wako terrorized na unyama unaoendelea huko ambao huonyeshwi kwenye hizo video.Na kwahiyo wako kimya kwasababu hakuna anayewalinda kama mnavyoambiwa wanalindwa.Wanauwawa.Mie nachoshangaa ni ile kujifanya wanasikitika wakati walibya wao wanafurahi kuondoka kwa mtu aliyekuwa kikwazo kwao.
Nimeipenda hii....
Swali langu kwa wale wenye kuelewa;kama anataka azikwe kiislam,ni kwanini basi anasema asioshwe?
Mchongo huu hawa NTC wakishaibiwa sana mwishowe watashtuka na kujifanya kutokubaliana na hao washenzi wa kizungu,ndipo watachenjiwa kibao na kupewa kesi ya mauaji ya Gadhaf na wao kuondolewa madarakani. Huu ni utabiri wangu. Nalog offJamani hii dunia ina watu wa ajabu. Haka kabibi Kachawi kanasema hivi.
Secretary of State Hillary Clinton said on Sunday the United States supports a possible U.N. investigation into the death of Libyan leader Muammar Gaddafi.
"You know, I think it's important that this new government, this effort to have a democratic Libya, start with the rule of law, start with accountability," she said.
US backs probe into circumstances of Gaddafi death | News by Country | Reuters
Lakini ameshasahau hii Hilary Clinton says Muammar Gaddafi captured or killed justified. - YouTube
Pia amesahau hii Clinton sees Qaddafi news on BlackBerry - YouTube na hii Hillary Clinton on Gaddafi: We came, we saw, he died - YouTube
Huyu mwisho kabisa Hillary Clinton: Gaddafi death is start of a 'new era' for Libyans - YouTube
U.S. Wants Gaddafi Dead Or Alive, says Secretary of State Hillary Clinton in Tripoli, 18.10.2011 - YouTube
Umeshawahi jiuliza maswali hayo yote kila sikuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!Unajua gharama ambayo TZ inalipa kwa USA kuwa na embassy yao kubwa kwa East and Central Africa kuwepo TZ? Unajua gharama ambayo TZ inaingia kwa kupewa vyandarua na BUsh? Unajua gharama TZ inayolipa kwa Ujio wa Busha na kukaa na kulala TZ kwa siku 3? Unajua gharama TZ inayolipa kwa migodi ya madini kutwaliwa na Makampuni ya kigeni?
Those who do not have even a little brain only see problem of others even though theirs are at a brink of extinguishing their lives. Think globally, act locally.
Umeeleweka. Nalog offKatika Uislamu mtu anapokufa Shahidi katika uwanja wa mapambamano(Jihadi) huwa haoshwi anazikwa na damu yake na mavazi yake yaleyale aliyokufa nayo.
Nashukuru kwa ufafanuzi mkuu.Katika Uislamu mtu anapokufa Shahidi katika uwanja wa mapambamano(Jihadi) huwa haoshwi anazikwa na damu yake na mavazi yake yaleyale aliyokufa nayo.
nadhani libya wataishangaza dunia kwa utulivu baada ya vita.nawaona kama wamoja sana kwa taifa lao.nawaombea iwe hivyo itoe funzo.
Ndipo hapo napowashangaa hao rats..
Kama wao wameamua kumuua kwa kumdhalilisha Qadafi ..
Wanafikiri wao watakufaje? guess what hawa watauliwa vibaya sana na siku si nyingi
Watanzania kwa uwongo bana eti huyu ndio kamuua Gaddafi...Kweli JF imeishakuwa sehemu za porojo..
Gaddafi kauwawa na Nato tena Ufaransa..
Mtoto wa mtumwa ni mtoto wa mtumwa tu..