The secretary nimewaleteeni beautiful ONYINYE(baby girl)

Ana maanisha usifiche kifanyio

mie unafikiri nina maneno mengi.......Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
nadhani umenisoma kliare
 
mie unafikiri nina maneno mengi.......Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
nadhani umenisoma kliare

Kwa kuwa umelijua hilo mi sina neno Asnam
Kula vibuti mwanzo mwisho...!
Usidanganyike.
Big up meeen! Kula raha ila sio lazma utumie kifanyio.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kuwa umelijua hilo mi sina neno Asnam
Kula vibuti mwanzo mwisho...!
Usidanganyike.
Big up meeen! Kula raha ila sio lazma utumie kifanyio.

thank you[MENTION]Erickb52[/MENTION] mie nakula bata batani
 
Okay, sasa mimba lini?
ha ha ha.. lazima niwatishe hawa babe Paloma.. wanapenda sana kusololea wake za watu.. wewe babe hata kukugusa unywele kwa shari ciwezi.. furaha yangu mwenyewe mie..
 
Last edited by a moderator:
Chocs nakupa pole in advance ,hivi hujui Erickb52 hana kizazi baaada ya mayai yake yote kuyakaangia chips?

Nawe kweli mshamba
Toka lini mwanaume akawa na mayai?
Mi nina MBEGU ZA KIUME na Chocs ndio ana mayai
Ila umenichekesha sana lol
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…