The secretary nimewaleteeni beautiful ONYINYE(baby girl)

Hongera mama,naweza kuweka booking kuanzia sasa mpaka atakapokua?
 





 
Last edited by a moderator:
Mungi, Arushaone, Nicas Mtei , nitonye na genge lenu la wakware kina Erickb52 najua vimewashuka,habari ndo hiyo super bishanga na uzee wangu shoka moja mbuyu chini.
Tulieni niacheni mimi na mzazi tupumzike,it has been a long labour.
King'asti, Mamndenyi, Chocs na Rich woman ahsanteni kwa salam zenu za upendo Mungu awabariki.............btw katika kipindi hiki cha mai waif kunyonyesha mnanisaidiaje?
Kopi: Madame B ( kan yu help?).........ngariba gfsonwin kaa mbali na binti yangu.
 
Last edited by a moderator:
Lea kwanza mtoto utambemenda
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…