The so called 'GOD' from religions

You need to wake up....
 
Do you even know the meaning of ignorance??
who is ignorant here?The one question the true existence of something or the one who choose to believe what he was just told with someone else without having the prove?
Dont confuse spirituality with religion, religion is someone else experince while spirituality is your own experience...i have everything i need know and nothing to prove...your ignorant by choice, being smart without wisdom is chaos
 
Hawa watu tunaowaalika kwenye investigation, wanaokataa na kukimbilia kwenye imani isiyofuata logic ndiyo wanatulaumu sisi kwa ignorance?

Mwenye ignorance ni nani sasa, yule anayeamini kitu bila kuweza kukithibitisha wala kuondoa contradictions au yule anayeonyesha contradictions na kutaka uthibitisho?
 
Mkulu Kiranga
Hapo mjinga ni yule anayeamini kitu bila kuwa na uthibitisho wala kuondoa contradiction

Ukichunguza kwa makini,utaona sababu pekee inayowafanya watu waendele kushikiria Imani ambayo ni Logically inconsistent ni tamaa ya uzima wa milele

sijui ni sheria ipi ya Fizikia inayoruhusu kiumbe kuishi bila kuzeeka au kuishi milele?
 
Basi hawana tofauti na watu walioishi kabla ya siku za binadamu kuelimika.

Halafu wao ndio wanatusema sisi kwa ignorance?
 
Na ndo maana nikaandika kwa kingereza kabisa ili inisaidie kuchuja wavivu wakufikiri na pumba,ili hata wakitokea,wawe ni 'pumba' class 'A' sio 'Z',kumuelimisha pumba class 'A' ni rahisi zaidi

Ungeandika kiswahii ungeambulia matusi na vitisho vya kuungua moto siku ya mwisho! !!!!
 
Kusubiri uthibitisho hapa ni sawa na kutafuta usichokijua na hautokipata. Anayetaka uthibitisho kweli hawezi kuja humu.
 
Basi hawana tofauti na watu walioishi kabla ya siku za binadamu kuelimika.

Halafu wao ndio wanatusema sisi kwa ignorance?
Labda inategemea tafsiri ya neno 'Ignorance'

If Igorance is disobedience of God commandment and his existence,Of course we are ignorants

But if is Lack of knowlegde,then they are super-ignorants
 
Labda inategemea tafsiri ya neno 'Ignorance'

If Igorance is disobedience of God commandment and his existence,Of course we are ignorants

But if is Lack of knowlegde,then they are super-ignorants
One cannot disobey a nonexistent godhead.
 
Uthibitisho ni tool ya kuonyesha kwamba mungu hathibitishiki.

Na kwa sababu mpo humu ili kupinga tu, kwa sababu karibu wote mlikuwa mkiamini mungu na ndiyo maana unakuta mtu anahoji et mungu nae kaumbwa na nani.
 
Argument yako ime nigusa sana kwa sababu hata mimi sometimes huwa najiuliza maswali magumu sana kuhusu Mungu bila kupata majibu.
 
One cannot disobey a nonexistent godhead.
But mkuu Kiranga
One of my Friend,who is Theist,asked me this Question

"You[Atheists]are usually denying existence of god by using Logic
But Reality is not logical consistent.It can,in some extent,deviate from normal law of Logic
Because reality is far much superior than Logic after all.

so what if God actually exist?would you become upset?"

Kiranga what would be your response to such kind of question?
 
If reality does not follow logic, then there is no way to know anything.

One would not even know that reality does not follow logic.

So why would one believe in anything, let alone god?
 
Na kwa sababu mpo humu ili kupinga tu, kwa sababu karibu wote mlikuwa mkiamini mungu na ndiyo maana unakuta mtu anahoji et mungu nae kaumbwa na nani.
Mkuu hongera,una akili kama za Latifa mtoto wa Chibu Dangote!
 
Unaweza kuthibitisha kwamba mungu yupo?

Au mambo ya "hadithi, hadithi, hadithi njoo, uongo njoo, utamu kolea" tu?
 
Na kwa sababu mpo humu ili kupinga tu, kwa sababu karibu wote mlikuwa mkiamini mungu na ndiyo maana unakuta mtu anahoji et mungu nae kaumbwa na nani.

Complexity ni lazima iumbwe au si lazima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…