einstein newton
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,969
- 2,674
Teh,Mkuu ungekausha tuHujaelewa swali.
Sijataka mungu afanye chochote.
Nimeuliza swali.
Mungu mnasema nature yake ni uzuri.
Ana uwezo wote, ujuzi wote, uoendo wote.
Kaumba ulimwengu. Kwa nini kaumba ulimwengu ambao ubaya (kinyume na nature yake ya uzuri) unawezekqna wakati alikuwa na kila sababu, ujuzi, uwezo na uoendo wa juumba ulimwengu ambao ubaya hauwezekani?
Hujajibu hili swali.
Sababu yangu ni logical inconsistence which turns into a contradiction.Ha ha ha Kiranga bwana ha ha unarudia kulekule kusema neno VITABU VYENU .mimi shida yangu useme sababu zako ambazo usifanye reference za "uongo wa vitabu vyetu ". Sijui umeelewa swali langu?? Yan kwa mfano nataka useme huamini kama yupo kwa kuwa "nimejaribu kumuomba nionane naye hakutokea".huo mfano ni kukusaidia ujibu swali langu.
Umesema chochote kina hasi na chanya.Nimekuambia chochote kina hasi na chanya,kwa maana ya chochote,sikukuambia k urudi nyuma.Kurudi nyuma sio chochote,ungejuwa chochote usingesema kurudi nyuma.
Wewe ndiye huna uwezo wa kuelewa. Unayoita "Evils " ni sahihi Tu kama ni MTU anayeamini Mungu. Waamini Mungu ndiyo ambao huamini ya kwamba binadam anayothamani ambayo inatakiwa kulindwa na binadam mwenzake. Na matendo ambayo ni kinyume na mtazamo wa wenye kuamini juu ya thamani ya binadam ndiyo huitwa "Evil" na pia matendo ambayo ni kinyume na maamrisho ya "Moral God " pia huonwa kwamba ni Evils.Wewe contradiction ya the problem of evil hata hujaielewa, unaita kariri.
Unaweza kurudia hiyo contradiction kwa maneno yako kama kweli umeielewa?
Kwa nini unafikiri ni lazima mungu awepo ili evil iwepo?Wewe ndiye huna uwezo wa kuelewa. Unayoita "Evils " ni sahihi Tu kama ni MTU anayeamini Mungu. Waamini Mungu ndiyo ambao huamini ya kwamba binadam anayothamani ambayo inatakiwa kulindwa na binadam mwenzake. Na matendo ambayo ni kinyume na mtazamo wa wenye kuamini juu ya thamani ya binadam ndiyo huitwa "Evil" na pia matendo ambayo ni kinyume na maamrisho ya "Moral God " pia huonwa kwamba ni Evils.
Sasa wewe ambaye binadam ni matokeo ya ajali za kwenye ulimwengu habari ya Good and Evils umeitoa wapi kama sio umrkaririshwa na Atheist waliokuwa wavivu wa kufikiri ?
Unasema kuna Evils ukimaanisha kuwepo kwa Moral law unayotumia kutambua hayo mema na mabaya, ukiamini kuwepo kwa hiyo Moral law una maana kuwepo kwa Moral law giver, na huyo moral law giver ndiye Mungu .
Sababu ya msingi ni kuwa katika habari za Mungu ndipo thamani ya binadam hupatikana nje ya hapo binadam ni kiumbe sawa na viumbe wengine hana thamani yoyote ya ziada katika yeye ndiyo sababu Atheist ndiyo mawakili wa ushoga na utoaji mimba kwa kuwa wao hakuna jambo ambalo ni baya kwa kila binadam isipokuwa ubaya hutegemea MTU mmoja mmoja na mtazamo wake.
Tafuta hoja nyingine kupinga uwepo wa Mungu ili ufundishwe. Futa uliyokaririshwa Kiranga
Ficha uvivu wako wa kufikiri. Sijaandika Mungu ni Evil. Nimeandika ni kwa kupitia kuwepo kwa Mungu ambaye alimuumba mwanadam na kumpa uwezo wa kujua Jema na baya ndipo waweza kuleta na kuzungumzia habari za Good and evilsKwa nini unafikiri ni lazima mungu awepo ili evil iwepo?
Mungu wako ni evil?
Hujajibu swali langu.Ficha uvivu wako wa kufikiri. Sijaandika Mungu ni Evil. Nimeandika ni kwa kupitia kuwepo kwa Mungu ambaye alimuumba mwanadam na kumpa uwezo wa kujua Jema na baya ndipo waweza kuleta na kuzungumzia habari za Good and evils
Kwa ninyi Chip incarnate sijui habari ya evils and good imekujaje wakati ninyi ni matokeo ya kiajali Tu kwenye "time and space "
Moral God ndiye aliyeweka kanuni za kutambua mema na mabaya (good and evils ) Nje ya Moral God hakuna evils
Kama hutaki kuelewa subiri time and space ije ku format kichwa chako labda utaja kuelewa
Mungu anafanya atakavyo sivyo utakavyo wewe,kama wewe unavyofanya utakavyo,sivyo nitakavyo mimi.Hujaelewa swali.
Sijataka mungu afanye chochote.
Nimeuliza swali.
Mungu mnasema nature yake ni uzuri.
Ana uwezo wote, ujuzi wote, upendo wote.
Kaumba ulimwengu. Kwa nini kaumba ulimwengu ambao ubaya (kinyume na nature yake ya uzuri) unawezekqna wakati alikuwa na kila sababu, ujuzi, uwezo na uoendo wa juumba ulimwengu ambao ubaya hauwezekani?
Hujajibu hili swali.
Teh,Mkuu ungekausha tu
Hawa theists wa kibongo ni wagumu wa kuelewa
Utakesha,maana mtu anajibu swali asiloulizwa!
Wapi nimesema mungu afanye ninavyotaka mimi?Mungu anafanya atakavyo sivyo utakavyo wewe,kama wewe unavyofanya utakavyo,sivyo nitakavyo mimi.
Chief,mbona swali lako linamuwekea Mungu mipaka?Kiranga said:Kwa sababu huwezi hata kuelezea kwa nini mungu kaumba ulimwengu unaoruhusu mabaya kuwepo wakati alikuwa na uwezo, ujuzi, upendo na sababu zote za kuumba ulimwengu ambao mabaya hayapo
Tuseme 'Amen' kaka magagafuMungu yupo na hajawai kujipinga labda wewe ndo humwelewi!
Hoja za kutokuwako Mungu,hazina mashiko,huko kusema Mungu hayupo,ndio uthibitisho wa kuwa Mungu yupo.
Lakini kaka,Hoja za kutokuwako Mungu,hazina mashiko,huko kusema Mungu hayupo,ndio uthibitisho wa kuwa Mungu yupo.
Ni sawa na kusema Fulani hana akili,ni pale akili zinajulikana,zipo,lakini kwa fulani hazipo.Kwa hiyo kwa wanaosema Mungu hayupo,ni hayupo kwao kwa kutomjuwa kama yupo,lakini kwa wanamjuwa Mungu,wanajuwa yupo.
Tukiendelea na mfano wako.Chief,mbona swali lako linamuwekea Mungu mipaka?
Mungu si robot anayetufanyia kazi zote sisi,hata na yeye ana uhuru wa kuchagua
Mantiki ya msingi ya swali lako nafikiri ni hii
1.Mungu mwenye upendo wote,asingeruhusu mabaya yatokee
2.Mungu mwenye ujuzi wote,angefahamu namna ya kuyazui
3.Mungu mweye nguvu zote,asingeshindwa kuyazuia
4.Mabaya yapo,kwahiyo Mungu mwenye ujuzi,upendo,na nguvu zote hayupo
Nakubaliana na hizo zote,kasoro ya 1 na ya 4
Hiyo ya kwanza ilitakiwa kuwa hivi
1.Mungu mwenye upendo wote,asingeruhusu mabaya yatokee unless awe na sababu nzuri ya kuyaruhusu
Mfano mzuri ni wa mtoto mchanga anayechomwa sindano[chanjo]
Maumivu atakayoyapa wakati sindano inaingia,yataonekana kama kitu kibaya kwake
Lakini lengo la kuchomwa sindano lilikuwa ni zuri tu
Kumkinga na magonjwa!
Nani anataka wanaomjuwa mungu wawe kama yeye asiyemjua mungu?Kutokujuwa wewe kama Mungu yupo,sio sababu ya wewe,utake wanaomjuwa Mungu kuwa Yupo,
nao pia wawe,kama wewe usiyejuwa kama Yupo.Hata wewe ndani ya mwili wako zipo alama mwengine hana,kwa hiyo huyo mwingine kutoziona alama kwenye mwili wako,sio sababu yakufanya alama hizo,ziwe hazipo,na wakati zipo.
Ukisema kusema mungu hayupo ni uthibitisho kwamba mungu yupo, basi kusema mungu yupo ni uthibitisho kwamba mungu hayupo.Hoja za kutokuwako Mungu,hazina mashiko,huko kusema Mungu hayupo,ndio uthibitisho wa kuwa Mungu yupo.
Ni sawa na kusema Fulani hana akili,ni pale akili zinajulikana,zipo,lakini kwa fulani hazipo.Kwa hiyo kwa wanaosema Mungu hayupo,ni hayupo kwao kwa kutomjuwa kama yupo,lakini kwa wanamjuwa Mungu,wanajuwa yupo.