Nilikuuliza, kwani mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya lakini binadamu bado akatumia akili yake?Kichothibbitishwa hakipo, kwa kuwa siwezi kuthiitisha akili zako ni kwa kuwa huna. Good.
Nimekwambia kama unataka kujua sababu za kuumba ulimwengu wa aina hii ni kutokana kumuumba binadam kwa mfano wake akijua Jema na baya ili atumie hekima aliyopewa kuishi katika dunia ya ainaa hii kwa kuzingatia viigezo na masharti.
Kama hutaki ni tatizo lako wewe
Kwa kuwa sielewi hata aina ya ulimwengu unaoutaka na aina ya binadam endelea kuuliza swali hilo kichwani mwako na ujijibu kwa kutumia "immanent critique " Nimekwambia kuhusu kushindwa kunaemdana na uwezo wala.sio sababu. Hakushindwa alikuwa ndani ya uwezo wake Bali aliamua kuumba ulimwengu WA aina hii.Nilikuuliza, kwani mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya lakini binadamu bado akatumia akili yake?
Hujajibu.
Nachelea hujaelewa kabisaaaa.
Wapi nimeongelea ulimwengu ninaoutaka?Kwa kuwa sielewi hata aina ya ulimwengu unaoutaka na aina ya binadam endelea kuuliza swali hilo kichwani mwako na ujijibu kwa kutumia "immanent critique " Nimekwambia kuhusu kushindwa kunaemdana na uwezo wala.sio sababu. Hakushindwa alikuwa ndani ya uwezo wake Bali aliamua kuumba ulimwengu WA aina hii.
Umetumia neno "kushindwa" linalonyesha matumizi ya uwezo nimekujibu kuhusu uwezo utakuja na hoja hukumaanisha uwezo.
Huna lolote kwanza siwezi kuthibitisha kwa unazo akili kwa hiyo Huna akili unanipotezea muda wangu adhimu
Mkuu,mbona unaonyesha upoyoyo wako?Context unayo wewe kichwani mwako hivyo unauhuru WA kukataa nyingine yoyote
Siwezi kuthibitisha uwepo wa Mungu
Nimekujibu kuhusu hicho ukiitacho contradiction of evils
Ficha upoyoyo wako. Mimi niliyeumbwa natambuwa Mungu kanipa hekima ya kujua hata tsunami na majanga mingine yote na namna ya kuyadhibiti. Kushindwa kutumia akili / hekima aliyokupa Mungu ndilo tatizo na mapoyoyo kama wewe lawama mnarudisha kwa Mungu.Mkuu,mbona unaonyesha upoyoyo wako?
Swali unaulizwa kila dakika,lakini hutoi jibu la kueleweka
Kuna aina mbili ya maovu,moral na natural
Moral evil,ni maovu anayoyatenda mwanadamu kama kuzini,kuua,kuiba nk.
[Hapa tunaassume kuwa Mungu yupo]
Natural evil,ni maovu ya asili kama tsunami,magojwa,mafuriko,matetemeko ya ardhi n.k
Kwa upande wa moral evil,unaweza kujitetea kwa kusema,Mungu amempa mwanadamu uhuru wa kuchagua mema na mabaya
Lakini swali jingine litakuja,ni kweli uhuru wa kuchagua mema na mabaya upo?au ni Kiini macho[illusion]
Kama Mungu mwenye ujuzi wote anajua,kati ya A na B,lazima utachagua A hapo kuna uhuru wa kuchagua kweli?
Tukija kwenye moral evil,huwezi kujitetea kwa kusema maji yanayoleta mafuriko nayo yana uhuru wa kuchagua
Kwanini Mungu aliyaruhusu?
Kwenye hilo Gazeti lako bado sijaona pointFicha upoyoyo wako. Mimi niliyeumbwa natambuwa Mungu kanipa hekima ya kujua hata tsunami na majanga mingine yote na namna ya kuyadhibiti. Kushindwa kutumia akili / hekima aliyokupa Mungu ndilo tatizo na mapoyoyo kama wewe lawama mnarudisha kwa Mungu.
Ulivyo poyoyo kwako ujuzi na uchaguzi ni kitu kimoja.
Lakini wewe na Kiranga nimeshindwa kuthibitisha kama mnazo akili kwa mujibu ya Kiranga nashindwa kuthibitisha kwa kuwa hamnazo
Mnanisumbua kwakuwa hamna akili
Nasisitiza ficha upoyoyo wako. Mungu aliumba ukimwengu wenye tsunami na mengineyo yote uyajuayo na usio yajua lakini pia Mungu alimkabidhi Binadam mwenye hekima na maarifa ya kuweza kuyatambua na kuyadhibiti, sasa kama hutaki kutumia akili yako na kwa kadri ya uwezo wako WA sasa unasema yako nje ya uwezo wako wakati kuna wanyama hawadhuliwi na mahanga hayo wao huondoka kabla ya kutukia una maana hao wanyama wamekuzidi poyoyo wewe ?Kwenye hilo Gazeti lako bado sijaona point
Unaposema Mungu aliruhusu tsunami,mafuriko matetemeko ya ardhi na vitu vingine vya kuogofya kama hivyo
Kwasababu tu,amempa mwanadamu hekima ya kuyatatua,hiyo ni hoja dhalili.
Kuna vitu ambavyo vipo nje kabisa ya uwezo wa mwanadamu
Tsunami ipo nje ya uwezo wetu,matetemeko ya ardhi yapo nje ya uwezo wetu
Na kuna baadhi ya vitu hatuwezi kamwe kuvizuia
Lakini bado huyo Mungu mwenye upendo wote,ameyaruhusu
Kwanini?
Hata kwenye hii insha yako mpya inayokiuka taratibu za uandishi,bado hujajibu swali langu la Msingi.H1N1 said:Nasisitiza ficha upoyoyo wako. Mungu aliumba ukimwengu wenye tsunami na mengineyo yote uyajuayo na usio yajua lakini pia Mungu alimkabidhi Binadam mwenye hekima na maarifa ya kuweza kuyatambua na kuyadhibiti, sasa kama hutaki kutumia akili yako
Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna tsunami?Ficha upoyoyo wako. Mimi niliyeumbwa natambuwa Mungu kanipa hekima ya kujua hata tsunami na majanga mingine yote na namna ya kuyadhibiti. Kushindwa kutumia akili / hekima aliyokupa Mungu ndilo tatizo na mapoyoyo kama wewe lawama mnarudisha kwa Mungu.
Ulivyo poyoyo kwako ujuzi na uchaguzi ni kitu kimoja.
Lakini wewe na Kiranga nimeshindwa kuthibitisha kama mnazo akili kwa mujibu ya Kiranga nashindwa kuthibitisha kwa kuwa hamnazo
Mnanisumbua kwakuwa hamna akili
Totally Nonsense!Sina ata haja ya kusoma hivyo vya nyuma ulivoviandika maana najua vitakua zaidi ya nonsense hizi!!Nasisitiza ficha upoyoyo wako. Mungu aliumba ukimwengu wenye tsunami na mengineyo yote uyajuayo na usio yajua lakini pia Mungu alimkabidhi Binadam mwenye hekima na maarifa ya kuweza kuyatambua na kuyadhibiti, sasa kama hutaki kutumia akili yako na kwa kadri ya uwezo wako WA sasa unasema yako nje ya uwezo wako wakati kuna wanyama hawadhuliwi na mahanga hayo wao huondoka kabla ya kutukia una maana hao wanyama wamekuzidi poyoyo wewe ?
Hoja inaonekana dhalili kwa kuwa wewe huna utu ni sawa na dafu Tu lakini sisi wenye utu tunajua wajibu wetu kama binadam kwenye ulimwengu huh
Upoyoyo wako mwingine ni kuwa pamoja na ukweli kuwa ninyi Chips incarnate maisha yenu yanakomea kufa kwenu sisi wengine kifo ni tiketi kuelekea maisha mapya
Sasa kwa mtazamo wa destiny yetu kati yangu na yako upoyoyo wako ndipo unajionesha zaidi.
Nasisitiza usiseme baadhi ya vitu "hatuwezi kamwe" huo ni upoyoyo ! Huwezi na nani ? Jisemee wewe na upoyoyo wako acha kulundika watu wote kwenye kundi la mapoyoyo, wengine tunaweza kukemea kwa jina la Yesu Kristo na tsunami na mengineyo yakatii
Kama dhoruba ya bahari ilimtii u nani wewe kutuweka na sisi wengine kwenye kundi lako la mapoyoyo ?
Kuelewa kunategemea uwezo wa akili pia sio kwamba kwa kujua kwako kusoma basi waweza elewa kila kilichoandikwa ,
Wewe na Kiranga nimeshindwa kuthibitisha kama mnazo akili , hivyo nikifuata nadharia ya Kiranga ninyi nyote hamna akili ndiyo sababu hamuelewi
Kama huna uwezo wa kuelewa maana ya Upendo wote wala uwezo wote ni matatizo yako wewe. Mimi sioni hayo matatixo unayoyaona wewe chips incarnate unanilazimisha niwe na mtazamo sawa na wewe.Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna tsunami?
Kama alishindwa, kweli ana uwezo wote?
Kama hakushindwa, na mpaka leo hatuna uwezo wa kuzuia tsunami, ni kweli ana upendo wote?
Nimeandika wewe na Kiranga hamna senses sasa mtawezaje kutambua chochote ?Totally Nonsense!Sina ata haja ya kusoma hivyo vya nyuma ulivoviandika maana najua vitakua zaidi ya nonsense hizi!!
Personal attack ? Wewe ndiye umeleta msamiati wa poyoyo ukionyeshwa ulivyo poyoyo unaanza kulalamikia personal attack.Hata kwenye hii insha yako mpya inayokiuka taratibu za uandishi,bado hujajibu swali langu la Msingi.
Sasa hivi umeegama katika 'Personal attack'
[Ya kuita waungwana mapoyoyo]
That's fallacy,you appeal to argumentum ad hominem
Mwanadamu hawezi kuzuia tetemeko la Ardhi,kwa sababu anaishi kwenye sayari ambayo tetemeko la ardhi halizuiliki.
Mwanadamu anachofanya ni kulikimbia,na kukimbia tatizo si kulizuia
Mwanadamu hawezi kuzuia jua lisiwe Red Giant
Mwanadamu hawezi kuzui tsunami,kwasababu yupo ndani ya Dunia ambayo 75% ni maji
Hivyo vitu vyote vinaua
Kwanini Mungu aliruhusu wakati ana uwezo na sababu ya kuyazuia?
Na mnasema Mungu hashindwi
Je Mungu anaweza kuumba kiumbe chenye nguvu kuliko yeye?
Mwanadam anaweza kujua matumiz yenye manufaa ya kile ambacho chips incarnate wamaona ni mabaya kwa kuwa katika imani tunatambua uwepo wa picha nzuri.kwenye kila negative chamsingi ni ujanja wa kuidevelop Tu.Hata kwenye hii insha yako mpya inayokiuka taratibu za uandishi,bado hujajibu swali langu la Msingi.
Sasa hivi umeegama katika 'Personal attack'
[Ya kuita waungwana mapoyoyo]
That's fallacy,you appeal to argumentum ad hominem
Mwanadamu hawezi kuzuia tetemeko la Ardhi,kwa sababu anaishi kwenye sayari ambayo tetemeko la ardhi halizuiliki.
Mwanadamu anachofanya ni kulikimbia,na kukimbia tatizo si kulizuia
Mwanadamu hawezi kuzuia jua lisiwe Red Giant
Mwanadamu hawezi kuzui tsunami,kwasababu yupo ndani ya Dunia ambayo 75% ni maji
Hivyo vitu vyote vinaua
Kwanini Mungu aliruhusu wakati ana uwezo na sababu ya kuyazuia?
Na mnasema Mungu hashindwi
Je Mungu anaweza kuumba kiumbe chenye nguvu kuliko yeye?
"Chips incarnate" ndiyo madudu gani hayo?Kama huna uwezo wa kuelewa maana ya Upendo wote wala uwezo wote ni matatizo yako wewe. Mimi sioni hayo matatixo unayoyaona wewe chips incarnate unanilazimisha niwe na mtazamo sawa na wewe
Umeulizwa.ni uwezo pekee unaoweza kufanya jambo litendwe kwa namna moja au nyingine ? Huezi kujibu simply huna akili kwa sababu siwezi kutbibitisha kwamba unazo akili.
Nani kazungumzia habari ya kushindwa ? Kuumba ulimwengu huu na kuwaweka wanadam ni sehemu ya matumizi ya uwezo wake na Upendo wake. Tulioumbwa yaani binadam tumatambua nafahamu kwa chips incarnate inakuwa shida kidogo
Upendo sio kuzlisha misukule kama ambavyo chips incarnate mgependa
"Chips incarnate" ndiyo madudu gani hayo?
Wewe ngumbaru usiyejua kuandika unataka kujibizana kuhusu uwepo wa mungu?
Bila uwezo, kitu kinawezekanaje?
Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote kwa nini hakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Hujathibitisha kwamba mungu yupo.Ninyi advance Sokwe ndiyo madudu hayo ili kukutofautisha na Mimi Binadamu.
Kumbe unajua sababu za kuwezekana kuwepo ulimwengu unaouhoji kumetokana na muumbaji wake kuufanya uwe hivi ulivyo
Ngumbaru lakini mafikiri wewe Prof zuzu unayejua kukariri pekee hujuhurumiii ?
Kwa nini ulitaka aumbe ulimwengu wa aina hiyo ? Mimi aliyeniumba na kunipa niishi ulimwengu huo kwa maarifa silalamiki wewe walalamika nini ?
Subiri time and space zitakuletea ulimwengu unaoutaka wewe
Atheist wa kizamani mwenyewe wajona mjanja JF
Hujathibitisha kwamba mungu yupo.Mtu anajikakamua kweli poovu linatokka kusema hamna Mungu bora usingezalliwa wewe mtu manna uutajuta
Katika Uumbaji wa Mungu binadamu wa Kwanza aliyeumbwa na Mungu ni Adamu ambaye alipuliziwa pumzi na Mungu na uhai ukaanza...hilo thibitisho la kwanza la uwepo wa Mungu....nataka wanaopinga Uwepo wa Mungu watoe uthibitisho uhai uliingiaje ulimwenguni!Hujathibitisha kwamba mungu yupo.
Halafu hata kuhubiri hujui.