Arduino Sentinel
JF-Expert Member
- Feb 8, 2014
- 203
- 274
- Thread starter
-
- #161
Naomba unijibu maswali haya yafuatayo:your wrong ndugu,..
Mungu alimtuma YESU kuja ulimwenguni kukomboa kizaz kilichopotea
sababu hayo uliyoyaandika wewe leo na kupotosha watu
yalikuwepo tangu zamani,,,...
YESU Alikuja kukomboa kizaz kilichopotea na aliteseka kwasababu wanadam walikataa kumuamini na wakamtesa na wakamuua Yesu na alipokufa alienda kuzimu kuchukua funguo za mamlaka kutoka kwa ibilisi,..ALIKUFA ILI MAANDIKO YATIMIE ndugu,...
yote aliofanyiwa YESU yalitabiliwa na mitume waliofunuliwa na MUNGU mf:isaya,..sasa wewe unapotosha watu kuwa hamna Mungu,...
umepotoka ndugu,...
MUNGU YUPO Na evidence ni;
wewe umeumbwa na unapumua hiyo pumzi imetoka wapi ni MUNGU ndugu,...
pili,..utakufa tu wewe na jeuri yako ya uzima na kutangaza hakuna Mungu..
kitendo cha kufa ni evidence ya kuwa YAHWE yupo,.ambaye alikucreate wewe na aliye create ndo mwenye uwezo wa kukudestroy na kuchukua nafsi yake
hapo utakapofika kwake ndo utajibu vizuri..,..
jichunguze ndugu unatumiwa na shetani kuhubiri kuwa hamna MUNGU,...
MUNGU AKULEHEMU,..
Angalia unaweza ukaona kawaida unayoyaandika ila madhara yake ni makubwa,..
AKILI ZA KUGOOGLE CHANGANYA NA ZAKO,..MUNGU YUPO
From the bible,Huyo mungu alimtuma yesu kuja kuokoa ulimwenguni au wana wa israel??
How kama evidence ya kuwa nimeumbwa na mungu kuwa ni kupumua?embu nielezee vizur kwa kutumia hiyo biblia kua hewa ninayopumua imetoka kusikojulikana(from so called god),,hivi unajua hata basics of biology?
Kwa maelezo yako,,we unaogopa kifo sio mungu,,kwa maana nyingine umemaanisha kifo kwako ni mungu, unaweza kusibitisha kifo ni mungu??na kama ni mungu,huyo aliye mbinguni ametoka wapi?
Zingatia,ukibisha vitu uwe na facts,jenga hoja yenye mashiko,,ukomo wako wa kufikiri ndiko kunakofanya ujue kuna chanzo kimoja tu cha kujifunza(google),,naomba nikuweke sawa,,google si chochote bali ni search engine,ukiendelea kukariri google ni kitu kama kitabu unaenda kukisoma tu utakua ni mpumbavu!narudia tena,GOOGLE ni SEARCH ENGINE,,hii pia iende kwa watu kama wewe wanajua kuwa google ni a sort of kitabu.