The top five best couple in JF(MMU)

umeonaeee, bora umemtaja wewe maana sikutaka kuleta ugomvi na ndugu wa honey pie
Hawachelewi kukutoa kwenye list..siunajua gubu ya mawifii [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawachelewi kukutoa kwenye list..siunajua gubu ya mawifii [emoji23][emoji23][emoji23]
yaani hapo wamegonga mwamba kbsa hawatuwezi.

tulikaa tukajifunza ile fomula ya kuwa pamoja.

acha nifunguke hapa.

unajua kabla ya kuwa na mpenzi/mume/mke; Mungu ni wa kwanza, wazazi wa pili, ndugu, jamaa na rafiki wa tatu.

ila ukishakuwa na mpenzi/mume/mke; Mungu ni wa kwanza, mpenzi/mume/mke wa pili, watoto wa tatu, na nne ni ndugu, jamaa na marafiki.

so sisi tumekubaliana hilo. uko hapo mkuu.

LadyAj atajisumbua tu nimeshamwambia atuache.
 
LadyAJ et. al[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Idea nime create mwenyewe inanitokea puani sasa dah [emoji15] watu wanatajwa kuwa best kapo mimi siipo watu wanawataja wapenzi wao mimi sipo bhaasi hata wa kunyapianyapia pia sipo nitakuwepo waapi sasa mimi [emoji24][emoji24][emoji24]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wako namjua unampaishaga clouds fm..
 
[quote uid=244382 name="jje's" post=17490913]malovee hayajifichi ujue, na ndo vizuri ili kama una mwingine nijijue tuko wangapi
<br />Hahaha baby.... Jiamini, moyoni mwangu upo pekeako... Upendo unaonipa unanitosha, sihitaji mwingine ever....

huyo hapo [emoji23][emoji23][emoji23][/QUOTE]
Daah, Shkamoo Daby
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…