Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
haaa huu ni for u pindi tukiwa wawili utaniogopaje padri tena hata chumbani karibu pita tuuBasi sawa,sakrament muhimu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haaa huu ni for u pindi tukiwa wawili utaniogopaje padri tena hata chumbani karibu pita tuuBasi sawa,sakrament muhimu sana
Sawa pandre nakuja tusali rozarihaaa huu ni for u pindi tukiwa wawili utaniogopaje padri tena hata chumbani karibu pita tuu
umeonaeee, bora umemtaja wewe maana sikutaka kuleta ugomvi na ndugu wa honey pie
karibu sana sista usichelewe na njoo peke yakoSawa pandre nakuja tusali rozari
Jamani jamaniooh baby, hebu njoo unitumie,
moyo wangu upo kwa ajili ya kuliwaza mtima wako,
njoo ule raha za dunia mtoto mzuri,
Hakika soon nitakuja padrekaribu sana sista usichelewe na njoo peke yako
waoh sista kama nakuona vile wajaHakika soon nitakuja padre
Padre inaelekea macho yako ni kama tochiwaoh sista kama nakuona vile waja
hahaha kwa jinsi nilivyojiandaa kukupokea sista lazima jicho liwe makini hiloPadre inaelekea macho yako ni kama tochi
Ayii afu macho yako yana ushawishi flan amazinghahaha kwa jinsi nilivyojiandaa kukupokea sista lazima jicho liwe makini hilo
si unajuaa tena sista yamezoea kuchunga kondoo lakini kwako yananitekenya hadi imekuwa hivi tena njoo haraka sasaAyii afu macho yako yana ushawishi flan amazing
yaani hapo wamegonga mwamba kbsa hawatuwezi.Hawachelewi kukutoa kwenye list..siunajua gubu ya mawifii [emoji23][emoji23][emoji23]
LadyAJ et. al[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]yaani hapo wamegonga mwamba kbsa hawatuwezi.
tulikaa tukajifunza ile fomula ya kuwa pamoja.
acha nifunguke hapa.
unajua kabla ya kuwa na mpenzi/mume/mke; Mungu ni wa kwanza, wazazi wa pili, ndugu, jamaa na rafiki wa tatu.
ila ukishakuwa na mpenzi/mume/mke; Mungu ni wa kwanza, mpenzi/mume/mke wa pili, watoto wa tatu, na nne ni ndugu, jamaa na marafiki.
so sisi tumekubaliana hilo. uko hapo mkuu.
LadyAj atajisumbua tu nimeshamwambia atuache.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wako namjua unampaishaga clouds fm..Idea nime create mwenyewe inanitokea puani sasa dah [emoji15] watu wanatajwa kuwa best kapo mimi siipo watu wanawataja wapenzi wao mimi sipo bhaasi hata wa kunyapianyapia pia sipo nitakuwepo waapi sasa mimi [emoji24][emoji24][emoji24]
Binamu mengine unanisingizia, kweli vileIyo namba 5 na jje ndo sijamjua mkuu hahaha huyu binamu yangu ningependa kumjua couple yake maana ana ngebe na wadada balaa
<br />Hahaha baby.... Jiamini, moyoni mwangu upo pekeako... Upendo unaonipa unanitosha, sihitaji mwingine ever....[quote uid=244382 name="jje's" post=17490913]malovee hayajifichi ujue, na ndo vizuri ili kama una mwingine nijijue tuko wangapi