OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
At least leo umetoa msaada. UmetishaWale msiotaka Usumbufu wa kupata Transit Visa ya ubalozi wa marekani ya kupitia new york nk miji ya marekani msipate shida.Nendeni
afrika ya kusini ukifika pale ziko ndege kibao zinaenda bahamas moja kwa moja non stop kutoka oliva Tambo airport pale johansburg.hadi bahamas ni kama mwendo wa masaa 14 angani
ukishafika bahamas mengine yaliyobakia ya kwako
Fanya kweli mzee..Kiukweli mimi nina dreams za kuzamia, nitasikiliza mtu, kuna mambo naweka fresh, mda ukifika siangalii nyuma.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Dah kweli mwanangu ..me nawachek wana kibao wametusua mbele, wanipe mbili tatu mzee wananikaushia kinoma ..ila ntatoboa tu manKiukwel vitu hivyo vipo sana kwa sisi wa Africa especially wa Tz ya mtz akitusua anaona kashamliza kila kitu hatak hata kuwashaur wenzake kwa ushauri very sad. Ukisha kua mweusi kwenye hii dunia hasa ukiwa Africa hiyo ni changamoto kubwa sana [emoji18][emoji18][emoji18]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi mkuu apo.Nitakuja kueleza kwa undani swala hilo, nitakutag mkuu.
Just Google Gigolo[emoji2]Have you already been there au bado upo uko utupe ushauri kwa mtu ambae anaenda huko akiwa hana anae mfahamu ila ana pocket money ya USD 20000 anawez ku survive vip mpaka atakapo pata hata kibarua cha kubeba box naomba ushare na sis expirience kama unajua lolote kuhus Bahamas. Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi vipi kuhusu Barbados nayo je ni Visa free countryYeah familia ni changamoto ingawa si kigezo cha kufuta ndoto zako.
Make it happen!
Yeah ni kweli lengo ni kuingia US, lakini ni kazi gani ambazo atleast unaweza kubahatisha kupata??I will there this year December...aljo nato street...nchi naipenda sana ,africast wametulia mno.ila juu ya kazi mkuu kupata ni issue,maana fursa nyingi wenyeji wamezichukua sana.labda mtu aende akazuge kutafuta channel yakuingia USA
Kwanini wewe huja Google kuhusu hili acha ukenge maji. Kama huna uhakika acha kuropoka mimi nilihitaj mtu mwenye expirience na huko kama hujawah kuish wala kufika ungesema tuu au unge kaa kimya
Kutoka Bahamas kuingia USA ni ngumu zaidi kuliko kutoka Tanzania kwenda CanadaI will there this year December...aljo nato street...nchi naipenda sana ,africast wametulia mno.ila juu ya kazi mkuu kupata ni issue,maana fursa nyingi wenyeji wamezichukua sana.labda mtu aende akazuge kutafuta channel yakuingia USA
Kwanini kuingia ni ngumu sana mkuu naomba utupe ufafanuzi ili tuwe aware maana kuna badhi yetu tunasubir coronavirus iishi tukaji lipue uko kutafuta channels yakuingia states please kama unajua lolote share na sisi information is power ili tusije tukaenda kuya kanyaga. Natanguliza shkrani za dhatiKutoka Bahamas kuingia USA ni ngumu zaidi kuliko kutoka Tanzania kwenda Canada
Sent using Jamii Forums mobile app
Laki na nusu hizi za mpyaPaspoti naipata bongo kwa gharama kiasi gani