The Tourist: Let's go to Bahamas, a way forwad to USA

The Tourist: Let's go to Bahamas, a way forwad to USA

Wale msiotaka Usumbufu wa kupata Transit Visa ya ubalozi wa marekani ya kupitia new york nk miji ya marekani msipate shida.Nendeni
afrika ya kusini ukifika pale ziko ndege kibao zinaenda bahamas moja kwa moja non stop kutoka oliva Tambo airport pale johansburg.hadi bahamas ni kama mwendo wa masaa 14 angani

ukishafika bahamas mengine yaliyobakia ya kwako
At least leo umetoa msaada. Umetisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukwel vitu hivyo vipo sana kwa sisi wa Africa especially wa Tz ya mtz akitusua anaona kashamliza kila kitu hatak hata kuwashaur wenzake kwa ushauri very sad. Ukisha kua mweusi kwenye hii dunia hasa ukiwa Africa hiyo ni changamoto kubwa sana [emoji18][emoji18][emoji18]

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kweli mwanangu ..me nawachek wana kibao wametusua mbele, wanipe mbili tatu mzee wananikaushia kinoma ..ila ntatoboa tu man

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duu mkuu unanipa moto sana ingawa nimeshaisha makali. Ingekuwa miaka kama 15 iliyopita ningezamia mkuu. Sema saivi Nina familia yabidi niilee

Yeah familia ni changamoto ingawa si kigezo cha kufuta ndoto zako.

Make it happen!
 
Have you already been there au bado upo uko utupe ushauri kwa mtu ambae anaenda huko akiwa hana anae mfahamu ila ana pocket money ya USD 20000 anawez ku survive vip mpaka atakapo pata hata kibarua cha kubeba box naomba ushare na sis expirience kama unajua lolote kuhus Bahamas. Natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
Just Google Gigolo[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I will there this year December...aljo nato street...nchi naipenda sana ,africast wametulia mno.ila juu ya kazi mkuu kupata ni issue,maana fursa nyingi wenyeji wamezichukua sana.labda mtu aende akazuge kutafuta channel yakuingia USA
 
Yeah ni kweli lengo ni kuingia US, lakini ni kazi gani ambazo atleast unaweza kubahatisha kupata??
 
I will there this year December...aljo nato street...nchi naipenda sana ,africast wametulia mno.ila juu ya kazi mkuu kupata ni issue,maana fursa nyingi wenyeji wamezichukua sana.labda mtu aende akazuge kutafuta channel yakuingia USA
Kutoka Bahamas kuingia USA ni ngumu zaidi kuliko kutoka Tanzania kwenda Canada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutoka Bahamas kuingia USA ni ngumu zaidi kuliko kutoka Tanzania kwenda Canada

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini kuingia ni ngumu sana mkuu naomba utupe ufafanuzi ili tuwe aware maana kuna badhi yetu tunasubir coronavirus iishi tukaji lipue uko kutafuta channels yakuingia states please kama unajua lolote share na sisi information is power ili tusije tukaenda kuya kanyaga. Natanguliza shkrani za dhati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom