NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Hivi wewe ni kichaa ama umeona mtandao kwa mara ya kwanza? Wapi kwa link yako kuna 70% ratio? Nionyeshe proof deni ni 70% kama unavyodai.2018-08 - Kenya’s public debt is rising to dangerous levels - Wits University
Soma uone jinsi Kenya ilivyo na hali mbaya kwa madeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuonyesha Tanzania debts to GDP ratio kwanza, ujue sisi sio ninyi kila kitu mkopo wakati mbajisifia na uchumi wa kwenye makaratasi.I asked the source that puts Kenya's debt at 70% idiot.
hawa jamaa ni malofa sana...kuna mmoja siku hyo alinimaliza...alidaisha internal debt ni sawa na madeni unayomdai jirani yako...nilicheka sana mkuuI asked the source that puts Kenya's debt at 70% idiot.
Wewe ni acha ukichaa, mpo na deni kubwa hamuwezi kulilipa, hiyo ndio kitu muhimu.Hivi wewe ni kichaa ama umeona mtandao kwa mara ya kwanza? Wapi kwa link yako kuna 70% ratio? Nionyeshe proof deni ni 70% kama unavyodai.
Nimekuonyesha Tanzania debts to GDP ratio kwanza, ujue sisi sio ninyi kila kitu mkopo wakati mbajisifia na uchumi wa
naona umeshaleta source joto la magu
Nimekuuliza unionyeshe pale ambapo debt to GDP ratio ya Kenya ni 70% kama ulivyodai. Acha kutapatapa. Unaenda mtoni wakati umetumwa dukani.Nimekuonyesha Tanzania debts to GDP ratio kwanza, ujue sisi sio ninyi kila kitu mkopo wakati mbajisifia na uchumi wa kwenye makaratasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
naona umekamata mtu makende...sasa hapo leo ataruka ruka hadi ushangae...si hawa ni wale wa 2%unemploymebt rateKama unataka total debt then why are you saying Tanzania's debt to GDP ratio is 36%? You're very stupid. Tanzania's total national debt is $28 billion. Is $28 billion 36% of 55 billion?
Please, bring us proof that Kenya's debt is 70% of GDP maanake naona ni kama una kichaa.
Haya, onyesha proof ni 70% kama ulivyodai. Leo niko na wewe. Uongo wako utaisha.😅😅😅Wewe ni acha ukichaa, mpo na deni kubwa hamuwezi kulilipa, hiyo ndio kitu muhimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehe, anajaribu kuingiza hoja zingine lakini wapi.😅😅😅😅naona umekamata mtu makende...sasa hapo leo ataruka ruka hadi ushangae...si hawa ni wale wa 2%unemploymebt rate
Hahahaha, mpo hoi kwa madeni unashikilia 70%, failed state ninyi.Haya, onyesha proof ni 70% kama ulivyodai. Leo niko na wewe. Uongo wako utaisha.[emoji28][emoji28][emoji28]
Hahaha............hawa achana nao. Sijui ni ujinga ama kusumbua tu.hawa jamaa ni malofa sana...kuna mmoja siku hyo alinimaliza...alidaisha internal debt ni sawa na madeni unayomdai jirani yako...nilicheka sana mkuu
blah blah blah...ATCL wanamiliki ndege sufuri...zilizobaki ni za CCM....Blaaah, blaah, blaah, hata hujulikani nini unachotaka kusema, points muhimu hapa ni mbili tu
1) KQ inamiliki ndege tatu tu, zilizobaki wamekodisha, hii si tatizo wala halina uhusiano wowote na kupata hasara wala faida kwa KQ, usijisikie vibaya kukubaliana.
2) Kwa miaka mitano mfululizo sasa, KQ inapata hasara, it makes losses, huu ni ukweli na haina uhusiano wowote na 70% share ya aviation industry wala kuchangia 5% ya GDP.
Haya maneno mengine yote ni kelele zisizo na maana, kanusha hizo point mbili hapo juu. Bunge lenu limekiri kwamba KQ ina ndege tatu pekee, wewe ni nani unapingana na bunge?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, nataka tu proof. Ukinipa nitakubali Tanzania ndio Babayao hili eneo.😅😅😅Hahahaha, mpo hoi kwa madeni unashikilia 70%, failed state ninyi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, nadhani somo limeingia kichwani, tupo pamoja jirani.blah blah blah...ATCL wanamiliki ndege sufuri...zilizobaki ni za CCM....
huyu hana kitu bro...ujuwaji mwingi tu...alafu atuletee data ya kuwa ATCL inamiliki ndege ngapi na inne lease ngapi pia ..Sawa, nataka tu proof. Ukinipa nitakubali Tanzania ndio Babayao hili eneo.😅😅😅
Muhimu ni kujinasua na hiyo hali inayowakuta, sio kuamini kwamba Tanzania ni baba yao, hilo linajulikana hata ukatae haisaidiiSawa, nataka tu proof. Ukinipa nitakubali Tanzania ndio Babayao hili eneo.[emoji28][emoji28][emoji28]
Hivi wewe kichwa chako umekunywa chang'aa au ni mpumbavu wa wakikuyu?, National debts ni jumla ya internal debts na external debts, kwanini wewe inazungumzia external bebts peke yake?, acha ujinga na mpumbavu wako.
Nchi huwa inakopa katika mabenki yaluyopo ndani ya nchi, kwa mfano, hapo Kenya kuna Bank kama Standard charter ambayo sio Bank ya Kenya kakini imefungua tawi hapo Kenya, serikali ya Kenya ikikopa hapo, hilo ni internal debts, lazima serikali ilipe hilo deni.
Kwahiyo ukichukua hayo madeni ya Bank za hapo Kenya, ukijumlisga na deni la Mchina na nchi zingine,(internal + external), ndio tunapata deni la Taifa.
Sasa wewe kwa ujinga wako unachukua external debts pekee haya madeni ya ndani unayakataa, acha ujuha wako wewe, Kenya hali ni mbaya sana. Total National debts ya Kenya ni 70% ya GDP yenu, soon mtaomba bail from Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
naona umeshalijibu swali langu ki ccm...hhhhh...hapa hutoki...ATCl ina ndege ngapi .na ime lease ngapi kama nalo ni shieika lenye hela
mkuu naskia hko bongo internal debt ni sawa na yale madeni unayomdai jirani yakoAhaaa haaa haaa
wamezoea kuwafanya lenders kuwa part of their indebted company like KQ. wana restructure debt kuwa shares. but for the national debt sipati picha itakuwaje.
Hivi washawahi tangaza faida?Kipi muhimu na Bora,kununua Ndege Kwa cash then zijiendeshe Kwa hasara Kwa kutumia Kodi za Wananchi au kukodisha ndege na kuziendesha kibiashara kwa faida kubwa?
Sent using Jamii Forums mobile app