The Truth Has Been Revealed (KQ wana ndege 3 tu)

Wezi tu.

Tusichekelee sana, sisi tuna ndege jee uwezo wa kuliendesha shirika la ndege likaleta faida tunao? Maana tukumbuke Air Tanzania ilishakufa kabisa na jitihada za Magufuli tu ndiyo zinalifufua shirika hilo. Litadumu?

Usijali sweetheart, nyie muna excuse. Tuliwaibia ndege zenu mwaka wa 1977. Kama sivyo mngekua mwaogelea kwa faida.
 
Wacha ujuha wewe. Unabishana nini hapa na Wakenya?

Una nini zaidi cha kuwashinda Wakenya? Shule imekusaidia nini?

Nakuona punguani tu.
 

ATCL leases planes from your government, KQ leases planes from Kenyan businessmen. What's the difference?
 
Fursakibao ukitaka kufika NYC lazima upitie NAIROBI upende usipende.
Tetesi: ACACIA yaikana BARICK GOLD mchana kuepe kwa press release na kusema haitambui makubalino kati ya barick na TANZAGIZA....Yani bado mnaliwa na beberu?
Jibu kwa fact au lah km hauna cha kujengea hoja yenye mashiko sio ucomment upupu
 
Jamaa isije ukajumlisha na ndege za KLM maana hamchelewi kusema zenu.

God save us
Kama wanasema brt ya udart iko kwao,mlima kilimanjaro uko kwao,bakhresa,ali kiba,diamond wanatokea kwao watashindwa vipi kusema ndege za klm nazo ni za kwao!mkenya akisema maneno 100 neno lenye ukweli ni 1 tu kabila lake,kwenye kabila uwa awadanganyi
 
Hawa wamevunja rekodi sasa

God save us
 
Kwahiyo tumekubaliana kuwa Serikali ya Kenya ina Ndege 3 tu.

God save us
The government of Kenya owns only one plane. The presidential plane. Kenya Airways is an independent parastatal that the government happens to have shares in.
 
Biashara ya ndege bila kua na kundi la watu wengi ambao ni 'middle class' ni bure kabisaa/hakuna biashara hapo.
 
We TAYO kwelii yaan una judge tu mtu simple simple kama vile unamfahamu.... Sasa Kenya wana Uchumi gani wakusema unatisha sanaaa.
Alafu unasema eti elimu imekusaidia nn ? Iv we una AKILI kweli ? Tazama LEMBA lako ilo utazani PAZIA la SINEMA
Wana uchumi karibia mara mbili wa Tanzania.
 
Nyie wa +254 njooni huku,maana mna kelele sana..
 
Wana uchumi karibia mara mbili wa Tanzania.
Uchumi wa makaratasi ww hamna chochote za kutisha kenya ... Labda useme Nairobi ni pazuri kuliko Bongo na sekta ya utaliii performance yake mwaka jana imetoka na taarifa zipo Tz imefanya vizuri kushinda Kenya kimapato .... Ila in real sense hamna cha kutisha Kenya ...maskini wa Kenya na waTanzania tena mbona wa Tanzania ana afazali mara dufuuuuu ....
 
JKIA handles more passengers than the whole of Tanzania combined.

Iyo kweli kbs maana kenya wana jitangaza vizuri ktk sekta ya utalii so wageni wanao shuka hapo ni wengi pia lkn kimapato yatokanayo na utalii Tz ipo juuu ndugu
 
Hahaha
..yani wanatia aibuu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…