Whom are quoting na ni rekodi gani hiyo Malima aliyoacha Princeton? Wewe Mzee tatizo lako una tabia ya ku-perpetuate myths, misrepresentations and straight out lies. Credibility yako katika uandishi is next to zero.
mimi ni msomaji mzuri sana wa mada zake japo sichangii mara kwa mara.trend ya mada zake hivi karibuni haipo kama zamani.i tell you this bila hao niliowataja kuchangia hapa,this topic wont even make to 20 pages.hao ndio wanaojua kum-challenge MS,nyie akina ritz huishia kumsifia tu.hamumuulizi hata maswali.kuna mada moja aliyoianzisha yeye mwenyewe, nilimchapa swali la kiuchokozi mpaka leo hajanijibu.mbaya zaidi baadhi yenu mkanikebehi kwa swali lile.
Whom are quoting na ni rekodi gani hiyo Malima aliyoacha Princeton? Wewe Mzee tatizo lako una tabia ya ku-perpetuate myths, misrepresentations and straight out lies. Credibility yako katika uandishi is next to zero.
Wewe kweli kichuguu,sijui faida ya kichuguu ni nini!!
Kama hii ni ilm, nawaonea huruma wanaoifyonza...ha ha haa! eti Mohamed Said anatoa ilm na wako wanaoifyonza, poleni na endeleeni kufyonza. Mimi nakitoa ila nikitaka porojo na umbea nitaingia humu mara moja moja, wikiendi njema.
he!naona thread imebuma.iam waiting to acquire for some "ilm".lol
he!naona thread imebuma.iam waiting to acquire for some "ilm".lol
Sasa wewe hapa ndio umeandika nini??!! Hata kama kuna ukweli katika haya unayosema lakini kwa watu makini sana sana watakudharau tu maana hujaweka maelezo yeyote ya kueleweka zaidi ya tuhuma zisizo na uthibitisho wowote. Hivi unadhani ni kazi sana kudai kitu fulani ni pumba bila kuonesha ni pumba kivipi? Unapoweka posti tumia akili.Kwanza Malima mwenyewe uprofesa wake ulikuwa wa mashaka sana; alipatiwa cheo cha Uprofesa baada ya kuwa demoted kutoka Katibu Mkuu wa Wizara ya Mipango, hivyo uprofrsa ukawa ndicho cheo cha karibu ambacho angeweza kubakishiwa heshima fulani kwenye jamii na mshahara wa Katibu mkuu wakati huo. Ile professorial inaugural lecture yake ya "The Political Economy of Devaluation" ilikuwa ni pumba tupu.
Taratibu mkuu, haya maneno tu, yasikuumize sana. Ukiona mtu hasomeki, tupa kule puuzia. Hivi unazidi kumpaisha.Elimu uitakayo ww ni ile ya harusi zenu na mbwa, ndio elimu sahihi kwenu sio hii
Sielewi kwa nini watu hawaweli jambo hili na mnanishupalia namna hii. Kuwa na Ph.D ni kitu kimoja, kuwa mtafiti bingwa hadi kuwa profesa wa kusimamia wataifiti wengine ni kitu tofauti kabisa. Iwapo Ph.D yoyote ingekuwa inaqualify kuwa mtafiti bingwa basi kila mwenye Ph.D angekuwa ni profesa; au kila aliyepata Ph.D yake MIT, Cranfield, Havard, Princeton, au Stanford basi angekuwa ni professor.
Malima alikuwa na elimu nzuri sana ya kiwango cha juu sana katika uchumi, na alipomaliza Ph.D alikuwa katibu mkuu wa wizara ya mipango. Malima hakuunganisha elimu yake na mipango ya nchi wakati huo alipokuwa chini ya Professor Adulharmana Babu, ndipo akaondolewa. Kwa vile mshahara wake wa Katibu mkuu ulikuwa mkubwa kuliko hata wa Vice Chancellor wa UDSm ndiyo maana Nyerere alimfanya kuwa professor moja kwa moja, bila kuwa amesimamia utafiti wowote; hakuwahi kuwa senior lecturer ambao ndio utaratibu uliokuwapo wakati huo kuwa utapitia senior lecturer na associate professor kabla ya kuwa professor kamili.
Wakati elimu yake haina mashaka, uprofessor wake una mashaka kama nilivyoeleza hapo. Kwa mnaojua kudadavua mambo, tafuteni makala ya professorial inaugural lecture yake aliyotoa mwaka 1987 au 88 hivi ndipo mtagundua kuwa ilikuwa pumba tupu.
Kwanza Malima mwenyewe uprofesa wake ulikuwa wa mashaka sana; alipatiwa cheo cha Uprofesa baada ya kuwa demoted kutoka Katibu Mkuu wa Wizara ya Mipango, hivyo uprofrsa ukawa ndicho cheo cha karibu ambacho angeweza kubakishiwa heshima fulani kwenye jamii na mshahara wa Katibu mkuu wakati huo. Ile professorial inaugural lecture yake ya "The Political Economy of Devaluation" ilikuwa ni pumba tupu.